Pre GE2025 Lissu: Sijui ilikuwaje CHADEMA tukamualika Rais Samia, ila mbeleni tutaelezana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hatukatai Samia ni Mzanzibari, ila kutumia asili yake ya Uzanzibari kumsema kuwa anafanya makosa haya na haya ndio kinachokosolewa
Huu Muungano upo kabla ya Samia hajawa Rais, hakuanzisha yeye, so laumu walioanzisha Muungano,
 
Hatukatai Samia ni Mzanzibari, ila kutumia asili yake ya Uzanzibari kumsema kuwa anafanya makosa haya na haya ndio kinachokosolewa
Huu Muungano upo kabla ya Samia hajawa Rais, hakuanzisha yeye, so laumu walioanzisha Muungano,
Hatuwezi kulaumu walioanzisha kwa sababu haya matatizo hayakuwepo. Bandari ni yeye kagawa, Ngorongoro nayo kagawa, na mpaka misitu anagawa. Nani: Samia mzanzibari.
 
Lissu ni mwanasheria; ningemwona mtu makini angeweka ushahidi wa vielelezo. Hii kutuhumu watu ni wahuni tu wa vijiweni wanaweza kufanya! Kwa hiyo Lissu ni mhuni flani anayewajaza upepo masela wake🙏🙏🙏
 

Jibu ni asali, Mbowe alitoka jela akaenda moja kwa moja Ikulu kupiga. picha na kukubaliana na SSH dili zao binafsi. Akatoa 150mn kuchangia harambee, akamwalika. SSH kwenye mkutano wa Wanawake wa chadema.. Akaingia kwenye maridhiano hewa ya kupoteza muda. Nafikiri Lissu machale yanamcheza kuhusu Mbowe mbele ya asali.
 
Ww ndio descpline master nini, au unataka kunifundisha uoga? Yaani mahali pa kumpa ukweli nampa, labda ww ndio umuhofie maana ni mwenyekiti wako.
Mbowe amepambana mno kwenye nyakati ngumu akiwa na Chadema, usisahau hilo.
 
Mbowe alinaswa hapo kizembe kwelikweli.
 
Sasa kigogo si ndio mtu wenu nyinyi
 
Mbowe amepambana mno kwenye nyakati ngumu akiwa na Chadema, usisahau hilo.
Hakuna anaye sahau hilo, lakini kanaswa kirahisi sana wakati huu!

Na inaelezeka kwa nini kanasa kirahisi mbele ya huyu mama.
 
Huyu mtu wenu angeachwa afe tuu maana Sasa habebeki.

Unalala kwenye matope mtu apite asichafuke then Asema kwanza ulilala vibaya 🤣🤣

Ndio maana hapa Duniani usijifanye mwema sana,ubinadamu ni kazi
Huyo watakuja kumfanya kama Chacha Wangwe. Kama vipi atoke chadema aanzishe chama chake kama alivyofanya Zito Kabwe au apumzike siasa kama dk Slaa.
 
Lisu akikohoa ccm wanaharisha. Nani kama Lisu?
Ni wakati sahihi kwa viongozi wengine huko ndani ya CHADEMA wasimame tujue wanakolalia, siyo kumwachia Lissu pekee.
 
Reactions: G4N
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…