Pre GE2025 Lissu: Sijui ilikuwaje CHADEMA tukamualika Rais Samia, ila mbeleni tutaelezana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hatuwezi kulaumu walioanzisha kwa sababu haya matatizo hayakuwepo. Bandari ni yeye kagawa, Ngorongoro nayo kagawa, na mpaka misitu anagawa. Nani: Samia mzanzibari.
Ndivyo huyo "mkombozi" wako Lissu alivyokuaminisha?
 
Toka yale mambo ya kubadili gia angani na kumbeba Lowasa nikaona kumbe nao ni walewale
 
Malalamiko yaliyopo ni kwamba ile ilikuwa siyo kuleta maridhiano ila ni kujisafisha kwa upande mmoja katika macho ya jumuiya za kimataifa.

Note: Mimi sina chama.bali vyama vyote navipenda.Sababu kila kimoja kina "strength and weakness" zake
 
Hiyo ni mawazo yako finyu ya hisia usidhan wananchi wanafikiri kama wewe...fanya tafiti..usiwe mpuuzi..mtu mzima unatishiwaje nyau nawewe ukatishika...hahahah...wewe ungeweza kutishwa na hayo unayosema
 
Tundu LISU ameianika chadema lakini aelewe siasa siyo uadui
 
Wawe makini tu na pesa chafu ambayo CDM imekuwa mhanga mkubwa.Bora amesema mapema kukinusuru chama
Hiyo pesa kwanini wanaipokea?

Huoni kwamba wanakiri kwamba they are corrupt?
 
Hiyo ni mawazo yako finyu ya hisia usidhan wananchi wanafikiri kama wewe...fanya tafiti..usiwe mpuuzi..mtu mzima unatishiwaje nyau nawewe ukatishika...hahahah...wewe ungeweza kutishwa na hayo unayosema
Cha muhimu ni kwamba kafa
 
Ujinga Mtupu.

Lini Mdemocratic akaalikwa kuhutubia Kwa Republicans ??.

Hio itakua sio siasa na vyama vya siasa.
Sahihi,
Huwa nashangaa kuwaona ACT, CUF na UDP wakiwa katika mikutano ya CCM.
 
Yani ni ukongwe wake wote katika siasa bado hajui mwenyekiti wake ni nani? Politics is a good game hahahahaha
 
Mwenyekiti ameshazoea kulamba asali kutoka Magogoni
 
Mimi nimekuwa nasema humu kila mara,Lissu ni mkweli na amemchoka Mbowe.
 
Yuko sahihi
 
Thread closed
 
Mbona na wewe utakufa muda si muda..hahahah.....nani ataishi milele..jomba...au unadhan utaishi milele ....!!! Jidanganye..jiandae kufa!
Yeye katangulia, katuachia nchi yetu aliyotaka kuharibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…