Pre GE2025 Lissu: UDSM na vyuo vikuu vingine vya Tanzania vimekuwa magereza ambako mijadala ya kisiasa imefungiwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
"Mjadala juu ya urithi wa Baba wa Taifa kwenye katiba na siasa za Afrika Mashariki kwenye chuo kikuu chake cha kwanza.

Wakati UDSM na vyuo vikuu vingine vya Tanzania vimekuwa magereza ambako mijadala ya kisiasa imefungiwa, Makerere, Chuo Kikuu cha , kimenialika kutoa mhadhara wa umma juu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na ushawishi wake katika siasa na katiba za Afrika Mashariki.

Kupigania demokrasia nchini ni kupigania pia uhuru wa taaluma na uhuru wa fikra na mawazo katika vyuo vikuu vyetu!" - Tundu Lissu, Mwenyekiti Chadema Taifa

1741151894011.png

Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ni nadra sana kumsikia Lissu akizungumzia issue zinazohusu.maisha ya kila siku ya wanachi.kama shida ya maji safi ya uhakika, shida ya umeme, elimu.bora, matatizo ya wamachinga kufanya biashara, kodi.zinazoumiza biashara, bei za.mazao ya mkulima, Usafiri wa shida mijini na vijijini n.k.

Yeye yuko busy na mambo ya sheria, uchaguzi etc. Ni.kweli sheria ni muhimu lakini kuna immediate things vinavyowafanya wananchi wapay attention zaidi, na vitu hivyo.vinahusu ugali wao.
 
Kunavitu vikiwekwa sawa,hayo maji ,umeme,Barbara elimu na nk. Vitakuwa sehemu ya maisha yetu kama nywele kichwani.
Tutanza kuzungumzia uwekezaji mkubwa nje ya nchi,uzalishaji na ukizaji wa viwanda Kwa level za kimataifa na mambo mengine mazito. Nchi ya uhuru miaka sitini tukae kulilia umeme,mara maji,mara shule Haina choo kweli bro,huu ni udumavu.

Ni kweli, lakini hayo maisha ya wananchi yana mahusiano ya moja kwa moja na sheria na uchaguzi. Labda useme unataka umsikie akitamka moja kwa moja mambo hayo.
 
Naam, ningependa kumsikia akiwa champion wa sheria, katiba na mambo yanayowapeleka resi raia daily, yaani yahusuyo Ugali wao.

John Heche anajitahidi kwenye issues hizo, But Lissu ndo mshika mikoba, itakuwa na nguvu sana akiyafanya hayo kuwa ajenda yake pia.
 
Ni nadra sana kumsikia Lissu akizungumzia issue zinazohusu.maisha ya kila siku ya wanachi.kama shida ya maji safi ya uhakika, shida ya umeme, elimu.bora, matatizo ya wamachinga kufanya biashara, kodi.zinazoumiza biashara, bei za.mazao ya mkulima, Usafiri wa shida mijini na vijijini n.k.

Yeye yuko busy na mambo ya sheria, uchaguzi etc. Ni.kweli sheria ni muhimu lakini kuna immediate things vinavyowafanya wananchi wapay attention zaidi, na vitu hivyo.vinahusu ugali wao.
Up in the air..

Na kuna watu wanamuita geneius akizungumza hizo theories na political master class debates...

Unamuona Tulia Ackson anavyovueza ngoma ya Wanyakyusa Mbeya?

Muda utasema.
 
Kunavitu vikiwekwa sawa,hayo maji ,umeme,Barbara elimu na nk. Vitakuwa sehemu ya maisha yetu kama nywele kichwani.
Tutanza kuzungumzia uwekezaji mkubwa nje ya nchi,uzalishaji na ukizaji wa viwanda Kwa level za kimataifa na mambo mengine mazito. Nchi ya uhuru miaka sitini tukae kulilia umeme,mara maji,mara shule Haina choo kweli bro,huu ni udumavu.
Kula mtori bili tuma tulipie. Watu wenye maono ya namna hii tunawahitaji sana.
 
Ni nadra sana kumsikia Lissu akizungumzia issue zinazohusu.maisha ya kila siku ya wanachi.kama shida ya maji safi ya uhakika, shida ya umeme, elimu.bora, matatizo ya wamachinga kufanya biashara, kodi.zinazoumiza biashara, bei za.mazao ya mkulima, Usafiri wa shida mijini na vijijini n.k.

Yeye yuko busy na mambo ya sheria, uchaguzi etc. Ni.kweli sheria ni muhimu lakini kuna immediate things vinavyowafanya wananchi wapay attention zaidi, na vitu hivyo.vinahusu ugali wao.

Lisu ni akili kubwa sana, ndiyo maana huwa anaongelea zaidi mambo yanayohusu chanzo cha matatizo yetu, kuliko kuongelea matokeo.

Kukosa maji, chakula, umaskini, ni matokeo. Tukitaka kutoka mahali tulipo, lazima twende kwenye chanzo cha matatizo.
 
Ni nadra sana kumsikia Lissu akizungumzia issue zinazohusu.maisha ya kila siku ya wanachi.kama shida ya maji safi ya uhakika, shida ya umeme, elimu.bora, matatizo ya wamachinga kufanya biashara, kodi.zinazoumiza biashara, bei za.mazao ya mkulima, Usafiri wa shida mijini na vijijini n.k.

Yeye yuko busy na mambo ya sheria, uchaguzi etc. Ni.kweli sheria ni muhimu lakini kuna immediate things vinavyowafanya wananchi wapay attention zaidi, na vitu hivyo.vinahusu ugali wao.
Amka ndugu yangu.......Kuna mahusiano makubwa sana kati ya kudai Katiba/uchaguzi Huru na Hako na hayo uliyoyasema.......Tazama Mh. Rais anawaweka Machawa/network yake katika vitengo mbalmbali vya huduma za kijamii bila kufuata utaratibu
 
"Mjadala juu ya urithi wa Baba wa Taifa kwenye katiba na siasa za Afrika Mashariki kwenye chuo kikuu chake cha kwanza.

Wakati UDSM na vyuo vikuu vingine vya Tanzania vimekuwa magereza ambako mijadala ya kisiasa imefungiwa, Makerere, Chuo Kikuu cha , kimenialika kutoa mhadhara wa umma juu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na ushawishi wake katika siasa na katiba za Afrika Mashariki.
Lisu mambo ya ndani hayajui kabisa ndio vigumu kwake hata kuwa Raisi

Tanzania kila mwaka hajui huwa kuna mjadala wa Kigoda cha Mwalimu UDSM?

Anaenda kushangaa Makerere wakati hajui hata kinachoendelea kwenye chuo chake alichosoma cha UDSM

Huyu Lisu diaspora ndio aweza jua yanayoendelea Tanzania wakati hata ya chuo tu alichosoma ambacho yeye ni Almni hajui

Hopeless kabisa
 
UDSM imnyang'anye digrii kwa kudhalilisha chuo

Chuo kimekuwa kikiweka midahalo ya kidiasa mingi tu mmojawapo ni wa Kigoda cha Mwalimu Nyerere inayofanyika kila mwaka

Chuo kikuu cha Dar es salaam kitoe tamko kujibu alichoandika Lisu ukurasa wake wa twitter yaani X
 
Ni nadra sana kumsikia Lissu akizungumzia issue zinazohusu.maisha ya kila siku ya wanachi.kama shida ya maji safi ya uhakika, shida ya umeme, elimu.bora, matatizo ya wamachinga kufanya biashara, kodi.zinazoumiza biashara, bei za.mazao ya mkulima, Usafiri wa shida mijini na vijijini n.k.

Yeye yuko busy na mambo ya sheria, uchaguzi etc. Ni.kweli sheria ni muhimu lakini kuna immediate things vinavyowafanya wananchi wapay attention zaidi, na vitu hivyo.vinahusu ugali wao.
Ukiwashauri hivi wanakuona una chuki!! Hata katika majukwaa Lissu huzungumzia sana mambo ya sheria na katiba na uchaguzi vitu ambavyo kihalisia humnufaisha yeye binafsi na wanasiasa!!
Lissu si rahisi kuuzika kwa umma kwa hizi ajenda za kibinafsi.
 
Ni kweli, lakini hayo maisha ya wananchi yana mahusiano ya moja kwa moja na sheria na uchaguzi. Labda useme unataka umsikie akitamka moja kwa moja mambo hayo.
We jamaa ni zezeta sana sidhani hata umefika chuo aisee!!
Hapo Kenya kwenye katiba mnayoita bora ni mambo ya siasa za uchaguzi!! Wanasiasa wa kenya ni matajiri kufuru tupu!! Kenya hakuna ajenda za maendeleo zaidi ya akina Odinga na Ruto kugawana vyeo!

Odinga ana kazi ya kumwaga hayawani wake barabarani kila baada ya uchaguzi ili tu aitwe na rais aliyepo madarakani wale keki ya taifa huku walioumia wakiishia kusikojulikana!!

Huu mnaoshabikia ni upumbavu ambao wananchi hawawezi ununua aisee!
 
Ni nadra sana kumsikia Lissu akizungumzia issue zinazohusu.maisha ya kila siku ya wanachi.kama shida ya maji safi ya uhakika, shida ya umeme, elimu.bora, matatizo ya wamachinga kufanya biashara, kodi.zinazoumiza biashara, bei za.mazao ya mkulima, Usafiri wa shida mijini na vijijini n.k.

Yeye yuko busy na mambo ya sheria, uchaguzi etc. Ni.kweli sheria ni muhimu lakini kuna immediate things vinavyowafanya wananchi wapay attention zaidi, na vitu hivyo.vinahusu ugali wao.
Wanaozungumzia na kuamua kuhusu maisha ya kila siku ya wanachi.kama shida ya maji safi ya uhakika, shida ya umeme, elimu.bora, matatizo ya wamachinga kufanya biashara, kodi.zinazoumiza biashara, bei za.mazao ya mkulima, Usafiri wa shida mijini na vijijini n.k. ni wanasiasa ambao wanawekwa katika nafasi hizo kisheria kupitia uchaguzi.

Sasa kama waliopo wanapatikana kwa njia haramu zinazokiuka utaratibu wa kisheria kupitia uchaguzi, basi Lissu yupo sahihi kuzungumzia changamoto za mambo hayo kwanza ya kisheria yanayosimamia uchaguzi.

Can you now see the link?
 
Ni nadra sana kumsikia Lissu akizungumzia issue zinazohusu.maisha ya kila siku ya wanachi.kama shida ya maji safi ya uhakika, shida ya umeme, elimu.bora, matatizo ya wamachinga kufanya biashara, kodi.zinazoumiza biashara, bei za.mazao ya mkulima, Usafiri wa shida mijini na vijijini n.k.

Yeye yuko busy na mambo ya sheria, uchaguzi etc. Ni.kweli sheria ni muhimu lakini kuna immediate things vinavyowafanya wananchi wapay attention zaidi, na vitu hivyo.vinahusu ugali wao.

Wapo wanaozungumzia hayo kama wasira na kibajaji, unataka watu wote waongelee matundu ya vyoo kwani chadema wanahusika vipi? Wanaolipisha kodi ndio kazi yao so usimpangie simba kuongelea yasiyomuhusu! Yani tatizo litengenezwe na ccm then Simba aje kuliongelea?

Utakula ulipopeleka mboga watoto wa kisasa wanasema!
 
"Mjadala juu ya urithi wa Baba wa Taifa kwenye katiba na siasa za Afrika Mashariki kwenye chuo kikuu chake cha kwanza.

Wakati UDSM na vyuo vikuu vingine vya Tanzania vimekuwa magereza ambako mijadala ya kisiasa imefungiwa, Makerere, Chuo Kikuu cha , kimenialika kutoa mhadhara wa umma juu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na ushawishi wake katika siasa na katiba za Afrika Mashariki.

Kupigania demokrasia nchini ni kupigania pia uhuru wa taaluma na uhuru wa fikra na mawazo katika vyuo vikuu vyetu!" - Tundu Lissu, Mwenyekiti Chadema Taifa

View attachment 3259484

Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Wanasiasa wa Africa waoga wa hoja ngumu. Hawawezi kuruhusu mijadala kwa watu wanaojiamini na wanachokijua.
 
Ni nadra sana kumsikia Lissu akizungumzia issue zinazohusu.maisha ya kila siku ya wanachi.kama shida ya maji safi ya uhakika, shida ya umeme, elimu.bora, matatizo ya wamachinga kufanya biashara, kodi.zinazoumiza biashara, bei za.mazao ya mkulima, Usafiri wa shida mijini na vijijini n.k.

Yeye yuko busy na mambo ya sheria, uchaguzi etc. Ni.kweli sheria ni muhimu lakini kuna immediate things vinavyowafanya wananchi wapay attention zaidi, na vitu hivyo.vinahusu ugali wao.
Bila siasa safi hivyo vyote ni bure
 
Back
Top Bottom