the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
"Mjadala juu ya urithi wa Baba wa Taifa kwenye katiba na siasa za Afrika Mashariki kwenye chuo kikuu chake cha kwanza.
Wakati UDSM na vyuo vikuu vingine vya Tanzania vimekuwa magereza ambako mijadala ya kisiasa imefungiwa, Makerere, Chuo Kikuu cha , kimenialika kutoa mhadhara wa umma juu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na ushawishi wake katika siasa na katiba za Afrika Mashariki.
Kupigania demokrasia nchini ni kupigania pia uhuru wa taaluma na uhuru wa fikra na mawazo katika vyuo vikuu vyetu!" - Tundu Lissu, Mwenyekiti Chadema Taifa