masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Sijui mlizaliwa kupitia milango ipi!Kwani wewe inakuuma nini akitukanwa J k Nyerere?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui mlizaliwa kupitia milango ipi!Kwani wewe inakuuma nini akitukanwa J k Nyerere?
Hilo sijalisikia mkuu 'eliakeem'.
Kama alisema hayo, basi alipotoka na bila shaka alishatambua hivyo.
Mkuu, kuna vijistatement vinavyotolewa na wanaodai wanaodai "Magufuliism' au wanavyojaribu kuibatiza 'Sukuma Gang'' wanaodai ' Nyereism" na kikubwa...hawana hoja wanapiga porojo ndefu ili mradi wabandike haya....namnukuu aliyoko karibu na wanasema hayaSoma historia mkuu, utaelimika na kuelewa kwa nini nchi zenye iconic leaders, wanawaenzi viongozi wao.
Lakini ninyi, ni kama wale waliomkashifu Gaddafi ili mchukue nchi kwa tamaa zenu.
Lincoln was an iconic leader
"Lincoln will go down as one of the greatest presidents in the annals of history. He epitomizes the American dream: He came from nothing to eventually becoming the president of the United States. Despite his personal demons, despite everything that was thrown at him – and these were significant traumas – Lincoln managed to soldier on. Such resilience and such strength of character are truly awe-inspiring,”
“Lincoln never gave up. He was a man who learned from his mistakes and had a drive inside of him that allowed him to overcome nearly insurmountable odds"
Mabaya yake lazima yasemwe ili kizazi cha leo na cha kesho kijifunze na kisije kufanya makosa kama yake.
Au huyu mtu alikuwa Mungu Kwa umbo la binadamu?
Karibu kila Uzi uliokuwa na Magufuli R.I.P au Nyerere R.I.P ndio unayaona hayo. "Hayatakiwi kurudiwa na yeyote" ni onyo? of some sort. Vilevile unakuta wanadai ' Watoto wasisomeshwe'!Lakini pia alifanya mengi mabaya na yaasiyofaa ambayo kizazi chetu na vile vijavyo havipaswi kuyaiga isipokuwa yatumike kama kumbukumbu ya kujifunzia kufanya mema zaidi.
It's true. Hakuna abishae kwa hili. Na ni vizuri kuwa una uelewa huuNitakujibu kiufupi tu.
Mwalimu Nyerere hakuwa mungu, alikuwa binaadam na mapungufu yake. "Mapungufu ya binaadam" hayapo sawa kwa kila binaadam aliyeumbwa, tunatofautiana kama ilivyo katika vipaji vyetu.
This also is trueHata katika vipaji vya kuona makosa ya wengine, tunatofautiana na ni hivyo hivyo hata katika tabia za uzushi za binaadam, kuona ubaya au uzuri katika wanayoamua wao wenyewe kuyaona kivyao.
Inapotokea mtu anaona mwenzake kafanya vibaya, si lazima iwe kweli kwamba anayoyaona yeye kuwa ni mabaya kwa kila mtu au kwa jamii inayohusika.
Tundu Lissu, kama tulivyo wengi wetu, pengine pamoja na wewe, anazo tabia za kuona ubaya hata katika mambo hayakulenga yawe ya ubaya, ari mradi tu amekuwa na "a contrary opinion/view" kwa mambo mengi; watu wenye tabia hii wapo sanana yeye ni mmojawapo.
I don't know if it's a weakness or the opposite.Niseme, licha ya uwezo mkubwa alionao, hili la kutochambua uzito wa jambo analolipinga ni 'weakness' kubwa kwake; na hasa kama kiongozi wa kisiasa.
Kuna walioumbwa ili waje wajenge chuo kikuu Singida.![]()
TUNDU LISSU " MWALIMU NYERERE ALIZOEA KUISHI KWA UONGO NA UDANGANYIFU"
Soma Habari Mbali Mbali za Udaku, Michezo, Siasa, Mapenzi na Mengine Mengi Kutoka Tanzaniawww.udakuspecially.com
Lissu crossed the rubicon.
Zaidi ya kusema kile anachofikiri hana kitu zaidi kichwani.
Ajenge hoja ya kuanziha chuo kikuu Singida, hawezi.
Nini hii?Usiwe kubwa jinga.
Kakukomboa nini kiakili na kimaisha?Kuna walioumbwa ili waje wajenge chuo kikuu Singida.
Wewe umejenga huko kwenu Mwamapalala Bariadi?
Jibu ni HAKUNA!..... Kwanini? Kwa sababu wewe umeumbwa kwa hilo au hayo ufanyayo sasa.
Hakuna mwenye uwezo wa kufanya yote. Kuna mgawanyo wa karama na majukumu kumbuka.
Tundu Lissu ni mwanasheria, mwana harakati na mwanasiasa. Amefanya makubwa kwenye maeneo haya
Usihitie mjanja wa kuweza kutafuna nazi na maganda yake.Nini hii?
Yaani ulichokiandikia thread kukikataa ajabu wewe ndiye unakifanya, kutukana na kukashfu wanajukwaa wenzako direct?
Kwa hili wewe unataka nikupe jinai gani kweli?
Mlevi? Mwendawazimu? Mpumbavu?.... Chagua moja linalokufit.
Ningeweza kujibu hoja zako very precisely, lakini kwa lugha yako nimekudharau, nitakuwa najibishana na mlevi wa kwenye kilabu cha pombe tu!
Itakuwa msemaji wa familiaKwani wewe inakuuma nini akitukanwa J k Nyerere?
Imebidi nicheke saaana. Usiku unaangukia wema.Usihitie mjanja wa kuweza kutafuna nazi na maganda yake.
Punguza kiherehere!
Nimekwishakuelewa unaposimamia mkuu 'Uzima Tele'.It's true. Hakuna abishae kwa hili. Na ni vizuri kuwa una uelewa huu
This also is true
Kwa sababu ktk jambo moja lile lile wewe waweza kuona hivi, Mimi nikaona vinginevyo.
Hapo pana ubaya kwani? Hoja ni kwanini wengine wakiwa na muono tofauti wa jambo lile lile itafsiriwe kuwa ni tusi au kashfa kama mleta hoja Jidu La Mabambasi aavyodai na nyie kuunga mkono?
Na je, kutukana au kumkashfu mtu mwingine si ni kosa la jinai? Kama kuna matusi au kashfa kweli, ni kwanini anayekashfiwa asichukue hatua za kisheria.
Yes. You are very right..
The question is, Kuna mahali Tundu Lissu alimlazimisha mtu akubaliane au aamini Kila akitoleacho maoni yake?
Obvious, the answer is big NO!!
Kama hivi ndivyo ilivyo, hoja yako ni ipi has hapa? Tatizo liko wapi hapo ndugu Kalamu?
I once again agree with you.
Nauliza tena, tatizo ni nini kwani? Je, ni kosa la jinai kuwa na contrary views/opinions about someone/something?
Na je, kuwa ktk position hiyo kumhusu Hayati Nyerere J. K au Hayati John P. Magufuli au kiongozi yeyote yule kumbe huko ndiko kunakoitwa siku hizi "kutukana" au "kukashfu" viongozi siyo?
I don't know if it's a weakness or the opposite.
Ninachofahamu Mimi ni kuwa, hayo ni maoni na mtazamo wako wewe. Nayaheshimu, sina tatizo nayo
Sisi wengine tunamuona ktk muono tofauti kabisa na Kwa sehemu kubwa tunamuelewa.
Na ninaweza kuupinga Kwa hoja kinzani tu lakini si kusema kuwa anatukana au ana kashfu mtu kama mfanyavyo nyie wengine
1. Ni vyema kuwa sasa tuanaweza kuwa tunaenda sambamba na tunaelewana. Vivyo hivyo kutofautiana kimitazamo na kihoja isiwe shida kiasi cha upande mmoja kudhani unatukanwa au kukashfiwa.Nimekwishakuelewa unaposimamia mkuu 'Uzima Tele'.
Andiko lako la mwanzo kabisa nililojibu sikuwa nimepata picha halisi.
Ninachoweza kumalizia nacho kumhusu Tundu Lissu ni ushauri tu, na ninautoa huu ushauri kwa sababu ninayo matumaini juu yake kuhusu hatma ya nchi yetu ambayo chini ya CCM hii tuliyonayo inaelekea shimoni.
Ushauri wangu kwake: Haimsaidii chochote yeye binafsi, wala maslahi ya chama chake au Tanzania kwa ujumla kupambana na yaliyofanyika enzi za Mwalimu Nyerere. Mengi yalifanywa kwa nia iliyolenga kuwakwamua waTanzania katika hali mbovu iliyokuwa inawakabili. Mazingira ya wakati huo ni tofauti kabisa na ya leo. Na kwa hakika kabisa, yapo mengi sana yanayohitaji kufanyika leo, kuliko kupoteza nguvu nyingi kupambana na yaliyomhangaisha Mwalimu Nyerere katika uongozi wake.
Tundu Lissu, anayo nafasi ya kujijengea heshima yake, na waTanzania watamtambua kwa hayo atakayokuwa ameyatimiza, kama wanavyotambua mapambano aliyosimamia Mwalimu Nyerere kwa wakati wake.
Ni kazi bure, na kwa kweli ni kupoteza muda kudhani kwamba kupambana na kivuli cha Mwalimu kwa wakati huu kitamwongezea heshima katika jamii.
Lengo lake, kama lilivyokuwa kwa Mwalimu Nyerere ni kuijenga Tanzania yenye heshima na kusimamia juhudi za waTanzania kujikwamua katika rindi la umaskini.
Kama anayo nia ya kufanya hivyo kwa dhati ya moyo wake, nami nipo tayari kuungana naye kwenye safari hiyo mhimu kwetu sote.
Nimemalizana na hili.
Pole, usiku mwema and I rest my case.Usihitie mjanja wa kuweza kutafuna nazi na maganda yake.
Punguza kiherehere!
Wewe jifunze spelling kwanza.Urguing on irrelevancies.
Wish u luck!
Just try catching ur tail, wont u?
U dont understand it, yer not worth it!Wewe jifunze spelling kwanza.
Kumbe ndiye huyo hutembea kwa kujiringisha huku amevaa kibukta?Tumekusikia Juma Lokole kachukue buku saba yako Lumumba
Kubali.Lugha imekutupa mkono.Andika hata kwa kikonongo itatosha.U dont understand it, yer not worth it!
Mkuu lugha na maudhui usiyoelewa wewe pita tu, hutakuwa na hasara.Kubali.Lugha imekutupa mkono.Andika hata kwa kikonongo itatosha.
Atafanyaje?Mkosoe Lissu halafu uone.