Lissu ukitufafanunulia kuhusu ushirika wako na Mbowe katika kumsafisha Lowassa utaeleweka sana

Mjiulize nyie pia baada ya kurudi mkampokea tena baada ya kumuita fisadi
Kwa kuwa CCM na ufisadi ni Damu Damu,

Alirudi nyumbani,

Sasa Lissu na Mbowe waliompokea, Wana swali Bado halijajibiwa na Wana chi.
 
Hellow Tanganyika!!

Katika mengi umejaribu kujitofautisha na mkt wako Ili kupata uungwaji mkono wananchi na wanachama,na umefanikiwa sana katika hili.

Sasa Kuna kihunzi Cha mwisho Cha kukiruka Ili urudishe Imani ya wananchi iliyoondoka baada ya ujio wa Lowwassa, mliotuambia kuwa ni fisadi mkishirikiana na Mh Mbowe. Baadae alipoingia CDM mkashirikiana kumsafisha.

Swali No 1:
Mh Lissu, Lowwassa alikuwa fisadi au la?

Swali No 2.
Kwanini ulikaa upande wa Mh Mbowe kumsafisha Lowwassa, kwanini hukukaa kimya kama Ndugu Mnyika?

Swali no 3.
Kuna mgao wowote nawe ulipokea katika ujio wa Lowwassa maana inaaminika kuwa alikuja na mapesa mingi?

Karibu Kwa majibu 🙏
Unaishi wapi mwenzetu? Lissu alishatolea majibu swali lako zamani sana.
Alijibu kwama Chadema wako tàyari kushirikiana hata na shetani ili kuiondoa CCM madarakani.
Halafu utasikià Chadema ni mpàngo wà Mungu!
Nyumbu hovyo kabisa.
 
Alijibuje?

Ikiwa alisema ni maamuzi ya vikao vya chama.

Basi hajaeleweka, na ni muhusika wa kupunguza Imani ya wananchi Kwa CHADEMA.
Kama kuna mjumbe unamfahamu mwombe amuulize swali hilo siku ya uchaguzi nafikiri ndiyo itakuwa sehemu sahihi kwani hata ukijibiwa hapa haitaleta maana yoyote maana wewe si mpiga kura.
 
Unaishi wapi mwenzetu? Lissu alishatolea majibu swali lako zamani sana.
Alijibu kwama Chadema wako tàyari kushirikiana hata na shetani ili kuiondoa CCM madarakani.
Halafu utasikià Chadema ni mpàngo wà Mungu!
Nyumbu hovyo kabisa.
Sasa Abdul na Lowwassa kumbe Wana tofauti Gani Hadi amtuhumu Mbowe kumleta Abdul akusaidie chama kifufuke na kupata nguvu ya kuitoa CCM madarakani?

Lissu jitofautishe na Mbowe katika hili.
 
Aliyekuambia Abdul ameleta hela kuisaidia Chadema amekudanganya na wewe kama umeamini basi una shida.
 
Nani ajuaye kuwa Kuna vikao vilishafanyika sirini kama tu vile vya kumleta Lowwassa na hatukuambiwa!
 
Kwa kuwa CCM na ufisadi ni Damu Damu,

Alirudi nyumbani,

Sasa Lissu na Mbowe waliompokea, Wana swali Bado halijajibiwa na Wana chi.
Swali hilo aulizwe mbowe, labda alishinikiza lowasa apewe nafasi hiyo baada ya kukata mpunga
 
Hellow Tanganyika!!

Katika mengi umejaribu kujitofautisha na mkt wako Ili kupata uungwaji mkono wananchi na wanachama,na umefanikiwa sana katika hili.

Sasa Kuna kihunzi Cha mwisho Cha kukiruka Ili urudishe Imani ya wananchi iliyoondoka baada ya ujio wa Lowwassa, mliotuambia kuwa ni fisadi mkishirikiana na Mh Mbowe. Baadae alipoingia CDM mkashirikiana kumsafisha.

Swali No 1:
Mh Lissu, Lowwassa alikuwa fisadi au la?

Swali No 2.
Kwanini ulikaa upande wa Mh Mbowe kumsafisha Lowwassa, kwanini hukukaa kimya kama Ndugu Mnyika?

Swali no 3.
Kuna mgao wowote nawe ulipokea katika ujio wa Lowwassa maana inaaminika kuwa alikuja na mapesa mingi?

Karibu Kwa majibu 🙏
sijaelewa, unayemuuliza hayo maswali ni Lisu mwenyewe? kwahiyo unasubiri Lisu aje hapa jamii forums aandike waraka kukujibu wewe?
 
Ndio anaweza kunijibu hata Kwa I'd ya kificho.
 
Back
Top Bottom