Lissu ukitufafanunulia kuhusu ushirika wako na Mbowe katika kumsafisha Lowassa utaeleweka sana

Lissu: Chama Cha siasa ni money burning machine, sio money making machine.
 
Ameomba radhi Kwa DHAMBI ya kumleta Lowwassa.

Nimemsamehe Bure.

Mtu akiomba radhi, Hilo ni jambo jema sana.
Lissu ni muungwana sana. Ila hapa nae lazima alikunja. Ngoja slaa atoke gerezai aje ajibu hizi tuhuma dhidi yake.
 
Hellow Tanganyika!!

Katika mengi umejaribu kujitofautisha na mkt wako Ili kupata uungwaji mkono wananchi na wanachama,na umefanikiwa sana katika hili.

Sasa Kuna kihunzi Cha mwisho Cha kukiruka Ili urudishe Imani ya wananchi iliyoondoka baada ya ujio wa Lowwassa, mliotuambia kuwa ni fisadi mkishirikiana na Mh Mbowe. Baadae alipoingia CDM mkashirikiana kumsafisha.

Swali No 1:
Mh Lissu, Lowwassa alikuwa fisadi au la?

Swali No 2.
Kwanini ulikaa upande wa Mh Mbowe kumsafisha Lowwassa, kwanini hukukaa kimya kama Ndugu Mnyika?

Swali no 3.
Kuna mgao wowote nawe ulipokea katika ujio wa Lowwassa maana inaaminika kuwa alikuja na mapesa mingi?

Karibu Kwa majibu 🙏
Lisu siyo kiongozi wa kuaminika.Muongo muongo hivi
 
Back
Top Bottom