Lissu ukitufafanunulia kuhusu ushirika wako na Mbowe katika kumsafisha Lowassa utaeleweka sana

Mbona mnamsakama sana na hoja ngumu, mara aombe radhi kwa watu wa magufuli mmkabidhi nchi, mara uhusiano wa lowassa na mbowe kwenda chadema. Atasema tu ikiwa kuna umuhimu ngoja kwanza awe mwenyekiti
 
Lissu ni mtu wa pesa akipokea michango anakaa kimya!
 
Mbona mnamsakama sana na hoja ngumu, mara aombe radhi kwa watu wa magufuli mmkabidhi nchi, mara uhusiano wa lowassa na mbowe kwenda chadema. Atasema tu ikiwa kuna umuhimu ngoja kwanza awe mwenyekiti
Basi sawa.
 
Lissu: ulikuwa msimamo wa chama si wa kwangu, mimi nilisema Lowassa fisadi ila chama kikasema ni msafi sasa mie nifanyaje ndugu mwandishi.

Huyu ndiye mtaka uwenyekiti CDM kwa njia ya mapinduzi.
 
Lissu: ulikuwa msimamo wa chama si wa kwangu, mimi nilisema Lowassa fisadi ila chama kikasema ni msafi sasa mie nifanyaje ndugu mwandishi.

Huyu ndiye mtaka uwenyekiti CDM kwa njia ya mapinduzi.
Dhamira yake haikumsuta ndugu Lissu!

Atoke tu kutuomba radhi watanganyika.
 
Aloyce Nyanda ahsante Kwa kuwasilisha swali hili la mada husika Kwa Mh Lissu.

Nasibiri majibu.
 
Lissu: Mimi na Mnyika tulikuwa wa mwisho kiambiwa juu ya ujio wa Lowwassa. Na tungekataaje ikiwa wengine wamekubali.
 
TUNDU: Lissu, nakubali dhambi ya kumpokea Lowwassa CHADEMA.
 
TUNDU Lissu: Mshenga wa Lowwassa kuja CDM ni Askofu Gwajima..
 
TUNDU Lissu: Dr Slaa ndiye aliyependekeza juu ya ujio wa Lowwassa.
 
Lissu: Kuhusu Mimi kutuhumiwa kuwa ombaomba ni Kweli, michakato yote tumekuwa tukichangishana.
 
Lissu: Kwenye chama, nimechangia muda na nimenusurika kuuwawa, huo ni mchango mkubwa sana kuliko hata Fedha za Mbowe ml 25.
 
Lissu: Mzee Mbowe kuchangiwa pesa ndani ya chama, hakumpi mamlaka ya kuwa Mwenyekiti wa kudumu ndani ya chama Retired
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…