Lissu wanaweza kumtesa lakini asiwe kama Mwamba aliyetoka Mahabusu akaibukia Ikulu

Si mlisema kibabe mtazuia uchaguzi zuieni sasa Lisu kukamatwa wajinga nyie
 
Watamfungulia mashitaka yapi

au kamfufua kambona wamechanganyikiwa
 
Akalalemo, kamanda anakaa na ulinzi wa makamanda
 
Wameshafanya kosa lakimkakati hii No reform No Election ndio wameipalilia sasa na Kesho Mkutano upo pale pale watu wanachukua point 3 nyumbani kwa Katibu mkuu wa chama we huogopi
 
CCM hawana maarifa, wana maafa.
 
ndo maana reform inatakiwa!
 
Wameshafanya kosa lakimkakati hii No reform No Election ndio wameipalilia sasa na Kesho Mkutano upo pale pale watu wanachukua point 3 nyumbani kwa Katibu mkuu wa chama we huogopi
Nipasie Mpepe Hommie,,Ukishamaliza Kunyonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…