Mtu mpumbavu huwa hajui afanye nini kwa wakati gani!Baada ya kumkamata Tundu Lissu, hiki ndicho kitu ambacho serikali ya CCM watafanya katika kukabiliana na vuguvugu la NO REFORMS, NO ELECTION.
Anaweza kupewa mashitaka mazito na aakamnyima dhamana kama ilivyokuwa. Kwa Dr. Slaa na Mbowe au kama ilivyokuwa kwa Godbless Lema wakati wa Magu
All in all, Lissu wanaweza kumtesa lakini asiwe kama Mwamba alietoka mahabusu akaibukia Ikulu.
Lissu ni mpambanaji mwenye msimamo usiyoyumba mithili ya Mzee Mandela aliekaa jela miaka 27 na wanaharakati wengine.
Pia soma > Pre GE2025 - Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma
Hata hivyo, pressure ya humu ndani na ile ya kutoka jumuiya ya kimataifa, inaweza kubadili hali ya mambo.
Watuhumiwa wengine waliobaki watabaki huko huko Mbinga.
Sasa wataanza kumuwinda makamu wake, John Heche, ila yeye wakimkamata, hawatamleta Dar-es-Salaam. Hawawezi kuwashikilia wote wawili sehemu moja katika mkoa mmoja.
Uhaini unaujua au unausikia? Mbona wanaosema wataua kwa sindano za sumu bado hamjawakamata au kisa ni ccm? Jibuni hoja zake na sio kutumia mbwa wa kipoliccm.Mlipokuwa mnaambiwa msihamasishe uhaini na vurugu mlikuwa mnaptegemea nini?
Yeah ni vema kama leo wanapongeza basi iwe ndo wakati wa mzuri wa kutatuai au kuondoa kiini cha tatzo hasa kama kinajulikana na kusovika pia.Wananchi wanaipongeza serikali yao kuwa imara, mapumbavu km hayo yashughulikiwe
Ccm imezidiwa mapema Sana mpaka huruma dah lissu wahurumie😂😂Baada ya kumkamata Tundu Lissu, hiki ndicho kitu ambacho serikali ya CCM watafanya katika kukabiliana na vuguvugu la NO REFORMS, NO ELECTION.
Anaweza kupewa mashitaka mazito na aakamnyima dhamana kama ilivyokuwa. Kwa Dr. Slaa na Mbowe au kama ilivyokuwa kwa Godbless Lema wakati wa Magu
All in all, Lissu wanaweza kumtesa lakini asiwe kama Mwamba alietoka mahabusu akaibukia Ikulu.
Lissu ni mpambanaji mwenye msimamo usiyoyumba mithili ya Mzee Mandela aliekaa jela miaka 27 na wanaharakati wengine.
Pia soma > Pre GE2025 - Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma
Hata hivyo, pressure ya humu ndani na ile ya kutoka jumuiya ya kimataifa, inaweza kubadili hali ya mambo.
Watuhumiwa wengine waliobaki watabaki huko huko Mbinga.
Sasa wataanza kumuwinda makamu wake, John Heche, ila yeye wakimkamata, hawatamleta Dar-es-Salaam. Hawawezi kuwashikilia wote wawili sehemu moja katika mkoa mmoja.
We endelea na kubeba maboksi yako huko uliko chawa wewePigweni tu.
Btw, hivi wewe ushawahi hata kupigwa kirungu kimoja cha polisi?
Au wewe uanaharakati wako ni JF tu?
Hivi persona non grata kama wewe unapata wapi ujasiri wa kujadili mambo ya nchini kwetu badala ya kushughulika na ubebaji wako wa maboksi huko ulikoPigweni tu.
Btw, hivi wewe ushawahi hata kupigwa kirungu kimoja cha polisi?
Au wewe uanaharakati wako ni JF tu?
🖕🖕Hivi persona non grata kama wewe unapata wapi ujasiri wa kujadili mambo ya nchini kwetu badala ya kushughulika na ubebaji wako wa maboksi huko uliko
Baada ya kumkamata Tundu Lissu, hiki ndicho kitu ambacho serikali ya CCM watafanya katika kukabiliana na vuguvugu la NO REFORMS, NO ELECTION.
Anaweza kupewa mashitaka mazito na aakamnyima dhamana kama ilivyokuwa. Kwa Dr. Slaa na Mbowe au kama ilivyokuwa kwa Godbless Lema wakati wa Magu
All in all, Lissu wanaweza kumtesa lakini asiwe kama Mwamba alietoka mahabusu akaibukia Ikulu.
Lissu ni mpambanaji mwenye msimamo usiyoyumba mithili ya Mzee Mandela aliekaa jela miaka 27 na wanaharakati wengine.
Pia soma > Pre GE2025 - Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma
Hata hivyo, pressure ya humu ndani na ile ya kutoka jumuiya ya kimataifa, inaweza kubadili hali ya mambo.
Watuhumiwa wengine waliobaki watabaki huko huko Mbinga.
Sasa wataanza kumuwinda makamu wake, John Heche, ila yeye wakimkamata, hawatamleta Dar-es-Salaam. Hawawezi kuwashikilia wote wawili sehemu moja katika mkoa mmoja.
Chama cha majambazi hakikubaliki.Ccm imezidiwa mapema Sana mpaka huruma dah lissu wahurumie😂😂
Mi nikahisi mnaenda kumchomoa Polisi kumbe anatakiwa kujipambania mwenyewe? Haya!!Baada ya kumkamata Tundu Lissu, hiki ndicho kitu ambacho serikali ya CCM watafanya katika kukabiliana na vuguvugu la NO REFORMS, NO ELECTION.
Anaweza kupewa mashitaka mazito na aakamnyima dhamana kama ilivyokuwa. Kwa Dr. Slaa na Mbowe au kama ilivyokuwa kwa Godbless Lema wakati wa Magu
All in all, Lissu wanaweza kumtesa lakini asiwe kama Mwamba alietoka mahabusu akaibukia Ikulu.
Lissu ni mpambanaji mwenye msimamo usiyoyumba mithili ya Mzee Mandela aliekaa jela miaka 27 na wanaharakati wengine.
Pia soma > Pre GE2025 - Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma
Hata hivyo, pressure ya humu ndani na ile ya kutoka jumuiya ya kimataifa, inaweza kubadili hali ya mambo.
Watuhumiwa wengine waliobaki watabaki huko huko Mbinga.
Sasa wataanza kumuwinda makamu wake, John Heche, ila yeye wakimkamata, hawatamleta Dar-es-Salaam. Hawawezi kuwashikilia wote wawili sehemu moja katika mkoa mmoja.
Huyo ndio muasisi wa huu ushetani unaoendelea.JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Itafika 2050 bado mtasema hv hvHuyo ndio muasisi wa huu ushetani unaoendelea.
Lissu ni kichaa.period.Mbona una makasiriko?
Msemo wa mizengwe pindisha haujautendea haki.Tuliwaambia lakini mkajifanya wajuaji.
Mpigwe tu.
Huyo siyo MboweLissu ni kichaa.period.
Barabarani nenda weweUdhaifu ndio huu tupa hilo simu uende barabarani umekaa hapo kitandani kama baraka mpenja anahadithia mpira!