Lissu wanaweza kumtesa lakini asiwe kama Mwamba aliyetoka Mahabusu akaibukia Ikulu

Mbona una makasiriko?
Kakwambia ukweli wewe mwalimu Mpumbavu…. Unataka akupambanie ateseke peke yake wewe unawaza mpira na mbususu!! Lissu ataumia sana akiwaendekeza nyie wapumbavu wa mitandaoni.
 
Leo hii wewe unambeza Mbowe! Haya ngoja tuone huyo unayemsifia.
 
Turkey wamekamata mpinzani Mkuu na mgombea Urais na hajaachiwa licha ya maandamano ya Wapinzani sembuse Lisu?
Kwa hiyo hilo ndio mnalolipenda? Kumbe ndio maana once wale wavaa magwanda katika nchi zingine wakiamua kuchukua madaraka kwa nguvu na kuwaua viongozi waliokuwepo madarakani watu wanashangilia kama vile walio uwawa ni mbwa wenye vichaa mitaani?
Kuna sababu wanazosababisha wenyewe! Ndio hizi za kwetu.
Pengine yajayo hatuyajui na tunayadharau.
 
Lisu ni chuma cha mjerumani
 
Udhaifu ndio huu tupa hilo simu uende barabarani umekaa hapo kitandani kama baraka mpenja anahadithia mpira!
Toa mapendekezo ndugu chawa ya nini afanye hata kama ni kula mlungula kama mnavyofanya kwenye mambo yenu yote,ikiwa ni hata kuitumia hiyo mbeleko yenu ya wakati wote mnatangaza tumlungula kwao na mambo yenu yana wanyookea.
 
Lissu ni mpambanaji mwenye msimamo usiyoyumba mithili ya Mzee Mandela aliekaa jela miaka 27 na wanaharak
 
Si mlisema kibabe mtazuia uchaguzi zuieni sasa Lisu kukamatwa wajinga nyie
Wacha akae huko, kuna kazi ya kufanya pale mahakamani, hii ipo kwenye 18 ya plan. Usiite watu wajinga ikajakuthibitika wewe ndio mjinga. Tanzania ya jana sio hii ya mwaka ujao, ccm watajuta mana wote chamoto tutaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…