thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,113
Kuna habari zinaelezwa chini ya kapeti kwamba chama chenu kipo hoi kifedha,chama hakina pesa za kuendesha kampeni nchi nzima .
Ndio maana humalizi kampeni mkoa mzima ,matokeo yake unadonoa mkoani mijini tu badala ya kwenda kwenye wilaya kama ambavyo anachofanya mgombea wa ccm John Pombe Magufuli.
Pia wabunge wengi hawajaanza kampeni kwa kukosa fedha wakihofia kutumia mafao yao wakati walitegemea pesa walizokuwa wakikatwa pamoja na ruzuku zingetumika kwenye kampeni hizi.
Je, Mwenyekiti kagomea pesa,mtashindaje uchaguzi huu kwa mfano?,ninachokiona hapa mmeingia kwenye uchaguzi huu bila maandalizi,mkijua hamtashinda ispokua mna ajenda ya siri nyuma ya pazia ,lengo ni hujuma dhidi ya mstakabali wa uchumi na amani ya nchi?
Kama ni hivyo mmekwisha fail mapema sana ,mmpo kwenye high surveillance kali sana ,msijarubu ,mtaadhirika sana