Uchaguzi 2020 Lissu: Watanzania sio kwamba hawana akili bali Lugha ya kufundishia ndio shida, Elimu yetu inabidi ifumuliwe na lugha ya kufundishiwa iwe moja

Uchaguzi 2020 Lissu: Watanzania sio kwamba hawana akili bali Lugha ya kufundishia ndio shida, Elimu yetu inabidi ifumuliwe na lugha ya kufundishiwa iwe moja

Kuna habari zinaelezwa chini ya kapeti kwamba chama chenu kipo hoi kifedha,chama hakina pesa za kuendesha kampeni nchi nzima .
Ndio maana humalizi kampeni mkoa mzima ,matokeo yake unadonoa mkoani mijini tu badala ya kwenda kwenye wilaya kama ambavyo anachofanya mgombea wa ccm John Pombe Magufuli.

Pia wabunge wengi hawajaanza kampeni kwa kukosa fedha wakihofia kutumia mafao yao wakati walitegemea pesa walizokuwa wakikatwa pamoja na ruzuku zingetumika kwenye kampeni hizi.

Je, Mwenyekiti kagomea pesa,mtashindaje uchaguzi huu kwa mfano?,ninachokiona hapa mmeingia kwenye uchaguzi huu bila maandalizi,mkijua hamtashinda ispokua mna ajenda ya siri nyuma ya pazia ,lengo ni hujuma dhidi ya mstakabali wa uchumi na amani ya nchi?

Kama ni hivyo mmekwisha fail mapema sana ,mmpo kwenye high surveillance kali sana ,msijarubu ,mtaadhirika sana
 
Ndugu hili nakukatalia kabisa, tena nakataa huku napiga kelele.
In primary courts official language ni swahili. Kuanzia Dc na kwenda mbele ni English

Kwa ufupi official Languages ni swahili na Emglish. Lakini je ni lazima mtanzania atamke English kama muingereza?
Why only in primary court ?!. Je shida za WaTz ni mahakama za mwanzo tu ?!

Ukweli mnauona mnakalia ushabiki wa vyama ?! Upumbavu gani huu ?!
 
Hivi mmeelewa alicho maanisha Lissu au?
Mbona mataga mna behave kama mmechomekwa cable, yaani wote akili zinafanana!!
Sasa si bora tumchague Ras Simba tu ili nchi nzima tuteme yai kwakua kuzungumza kingereza ndio maendeleo yenyewe hayo.
 
Why only in primary court ?!. Je shida za WaTz ni mahakama za mwanzo tu ?!

Ukweli mnauona mnakalia ushabiki wa vyama ?! Upumbavu gani huu ?!
Two official languages, swahili na english. Hii haimanishi High Court mtuhumiwa au mdai anaongea English. Lissu asikudanganye Swahili ni Lugha yetu.
 
Two official languages,swahili na english. Hii haimanishi High Court mtuhumiwa au mdai anaongea English. Lissu asikudanganye Swahili ni Lugha yetu.
Haikusaidii wala haikufanyi kuwa mshindani nje ya mipaka yetu.

Na hata hapa ndani bado interviews ni English . Sijui unatetea nini ?!
 
Kuna habari zinaelezwa chini ya kapeti kwamba chama chenu kipo hoi kifedha,chama hakina pesa za kuendesha kampeni nchi nzima .
Ndio maana humalizi kampeni mkoa mzima ,matokeo yake unadonoa mkoani mijini tu badala ya kwenda kwenye wilaya kama ambavyo anachofanya mgombea wa ccm John Pombe Magufuli...
Umewagusa kunako.
 
Kuna habari zinaelezwa chini ya kapeti kwamba chama chenu kipo hoi kifedha,chama hakina pesa za kuendesha kampeni nchi nzima.

Ndio maana humalizi kampeni mkoa mzima ,matokeo yake unadonoa mkoani mijini tu badala ya kwenda kwenye wilaya kama ambavyo anachofanya mgombea wa ccm John Pombe Magufuli...
Mwana ccm mwezangu mnatutia aibu na kutuabisha sana

Sasa Chadema kama hawana pesa ndio itapelekea watu kuwa na Maisha bora na kupata huduma za Afya bure

Kipindi Tundu lissu amelazwa na hajitambui Mzee wako aliacha kuvaa kandambili na kuanza kuvaa raba za "Nike"

Kuna mambo ni ya kitaifa na Maisha ya watoto wetu na vizazi vijavyo

Tatizo lenu mkishashiba makande mnajua ndio mwisho wa maisha,Maisha ni utambuzi na ugunduzi

Achane Taarabu na Mipasho wana ccm wenzangu tushauri chama kuhusu ushindi na kuboresha Maisha

Mbaya zaidi unaandika hapa ujinga halafu hakuna anayekufahamu ndani ya ccm,Mnaishia kuweka namba za simu kama yule anayejiita sasa leslie Mbena

Hii ni aibu kuu kuandika taarabu na mipasho karne ya science na Teknolojia

Nilitegemea utaongelea lini ccm itakuwa na kituo cha anga kama cha John F kenedy Marekani ili tuanze kurusha rocket
 
Chadema hawakujipanga na kama walijipanga wanahujumiana wenyewe kwa wenyewe ,wasitafute mchawi,uchaguzi huu unakwenda kuwavua nguo hadharani ,aibu ya maisha
 
Haikusaidii wala haikufanyi kuwa mshindani nje ya mipaka yetu.

Na hata hapa ndani bado interviews ni English . Sijui unatetea nini ?!
Ninachosema kuwa Lissu asitulazimishe kuonge English kama mother tongue yetu. Tutaongea English accordingly,iwe kwa ulimi wa kihaya au kijaluo. Sorry Jaduong!
 
Tundu Lissu asitufanye wajinga kiasi hicho. China wanajua kiingereza? Ujinga mtupu wala hatupotezi muda na mjiinga huyo, ajenda yetu kwa sasa ni kukiweka kiswahili lugha ya Kwanza Afrika halafu yeye anatuletea upupu.We want to make Tanzania great nation, kiswahili ni ajenda kuu
Mbona umetumia maneno ya kiengilish?
 
Ngoja tuone nani zaidi ,kati ya Mbowe na vijana wa Lissu waliompigania awe mgombea wakati mwenyekiti alikua na mgombea wake mwenye pesa ya kufadhiri uchaguzi wa chama chao
 
Sasa si bora tumchague Ras Simba tu ili nchi nzima tuteme yai kwakua kuzungumza kingereza ndio maendeleo yenyewe hayo.
Ukipractise ujinga, you will finally become so.
 
Nafikiri Uongozi wa juu wa chadema ulitaka Nyarandu apeperushe bendera ya chadema kwakua Nyarandu alikua anazo fedha za kampeni na anautulivu katika kujenga hoja, mashabiki wa chadema wao walimtaka Lisu. Kwakua uongozi hasa DJ na wapambe wake hawakumtaka Lisu wamemwachia apambane na hali yake.

Nyinyi chadema wa mitandaoni mnatakiwa mpitishe bakuli kuokoa Jahazi. Nyie ndio mlio shinikiza Lisu awe mgombea wa urais kupitia chadema. Siku nyingine wakuu wenu wa chama wakiamua jambo muwe mnaelewa wanakua tayari walisha lifanyia tathmini.
 
Hiki chama baada ya Dr Slaa kuondoka alikipa laana mbaya sana ,acha iwatafune tu
FB_IMG_1599477948750.jpg
 
Kuna habari zinaelezwa chini ya kapeti kwamba chama chenu kipo hoi kifedha,chama hakina pesa za kuendesha kampeni nchi nzima .
Ndio maana humalizi kampeni mkoa mzima ,matokeo yake unadonoa mkoani mijini tu badala ya kwenda kwenye wilaya kama ambavyo anachofanya mgombea wa ccm John Pombe Magufuli..
Kampeni za wilaya kwa wilaya zinaanza kesho zile zilikuwa kampeni za kikanda
 
Kuna habari zinaelezwa chini ya kapeti kwamba chama chenu kipo hoi kifedha,chama hakina pesa za kuendesha kampeni nchi nzima .
Ndio maana humalizi kampeni mkoa mzima ,matokeo yake unadonoa mkoani mijini tu badala ya kwenda kwenye wilaya kama ambavyo anachofanya mgombea wa ccm John Pombe Magufuli .

Pia wabunge wengi hawajaanza kampeni kwa kukosa fedha wakihofia kutumia mafao yao wakati walitegemea pesa walizokuwa wakikatwa pamoja na ruzuku zingetumika kwenye kampeni hizi.

Je? Mwenyekiti kagomea pesa,mtashindaje uchaguzi huu kwa mfano?,ninachokiona hapa mmeingia kwenye uchaguzi huu bila maandalizi,mkijua hamtashinda ispokua mna ajenda ya siri nyuma ya pazia ,lengo ni hujuma dhidi ya mstakabali wa uchumi na amani ya nchi?
Kama ni hivyo mmekwisha fail mapema sana ,mmpo kwenye high surveillance kali sana ,msijarubu ,mtaadhirika sana

Hiii lawama ataibeba mbowe, we we mtu kama Tundu Lissu ni mtu wa kumpa nafasi nyeti kama hiyo ya kugombea uraisi, kweliii??

Kwanza tuchunguze toka lisu afahamike kwenye ulingo wa siasa, ameshaongea lipi lamaana kwa taifa letu, fualitieni hata bungeni, hoja za lisu ni zakiuana harakatiharakatiii tuuuu. Mpaka Leo, bado anafanya yaleyale.

Baaada ya tukio lake lile alipaswa apumzikeee. Sasa chadema wamemuongezea machungu mengine ya kushindwa vibaya kwenye uchaguzi huuu..
 
Back
Top Bottom