Lissu: Watoto wangu wote ni raia wa Marekani

Kawaida sana

George Weah ni Rais wa Liberia lakini mtoto wake ni raia wa Marekani na Juzi kaifungia goli nchi yake ya USA kwenye kombe la Dunia
Kwahiyo unaona sawa? Kwasababu rais ana mtoto asiye wa nchi yake....

Waafrika hatuna akili na hatuna uzalendo.
 
Akili za watanzania hizi!!!

Ndio maana tunapelekeshwa sana na wanasiasa.
 
Mnyalu Balali anadunda tu kama Elizabeth!

Lakini ni mtihani mkubwa sana Kwa kweli !
Inamaana hata Uhuru kamili wa kwenda popote.

Yaani mtu atangazwe kufa kwenye Taifa lake halafu isiwe kweli?! [emoji848]

Atakuwa ana -survive lakini kuishi bado hajaanza iwapo itakuwa ni kweli kuwa yupo hai!
 
Marisasi yote yale lengo lilikuwa kuuliwa ulitegemea aendelee kubaki nchini ili wammalizie ngoja yakukute na wewe.
 
Hata ningekuwa mimi nimepata nafasi ningewabadilisha ukoo wangu wote uraia wa marekani

Uliona wapi nchi ina vyanzo kibao vya maji ila inaingia kwenye mgao wa maji na umeme
 
Hata ningekuwa mimi nimepata nafasi ningewabadilisha ukoo wangu wote uraia wa marekani

Uliona wapi nchi ina vyanzo kibao vya maji ila inaingia kwenye mgao wa maji na umeme

Yaani watu wanapigika @ Mwanawane?!

Huku giza totoro huku maji hakuna! [emoji848][emoji848]

Na matumaini ya hali hiyo kuisha hayaonekani!
 
I wish angekuwa kweli huo mpango wa CIA ili atusaidie kuiondoa ccm madarakani.

Baada ya hapo tutajua cha kufanya. Ila kwa sasa adui wetu namba moja kama Taifa, ni ccm! Na siyo Tundu Lissu, au hao CIA.

Una sura na Mila za kibaraka wakutumiwa na wenye ngozi nyeupe
 
Nimeona nisihangaike sana kupoteza muda, kumbe jibu tayari lipo ukumbini.
Hebu tazama jibu sahihi hapo chini, kwa hisani ya mkuu 'Tate Mkuu'.
I wish angekuwa kweli huo mpango wa CIA ili atusaidie kuiondoa ccm madarakani.

Baada ya hapo tutajua cha kufanya. Ila kwa sasa adui wetu namba moja kama Taifa, ni ccm! Na siyo Tundu Lissu, au hao CIA.
 
Ni ushamba na uelewa mdogo tu wako. Ukizaliwa Marekani ni Raia na Marekani hakuna sheria za kikoloni za kukana Uraia. Marekani ni kama Kenya ukizaliwa Kenya ni Mkenya hakuna biashara za kunakana hili wala lile.
 
Wacha watu waangalie penye malisho mema, kwa ajili yao na familia zao, hii Tanzania ina maisha gani ya maana?
Sasa kama Tanzania haina maisha ya maana, kwanini mnang'ang'ania madaraka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…