Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Tena yalaaniwe kabisaaUnafiki ni kitu kibaya sana. Jamaa wamekuwa wakituhamasisha tuingie mtaani kuandamana kumbe wao familia zao ziko majuu. Chadema mlaaniwe kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena yalaaniwe kabisaaUnafiki ni kitu kibaya sana. Jamaa wamekuwa wakituhamasisha tuingie mtaani kuandamana kumbe wao familia zao ziko majuu. Chadema mlaaniwe kabisa.
Siyo kila mtu Ni chawa na kuongea ukweli siyo uchawa.Vipi na wewe wakupe hata dili la kupeleka Mchele wakula watoto na familia za viongozi wako waliopo ulaya halafu wanataka sisi watanzania tuandamane huku bongo.kweli wajinga ndio waliwaoHalafu uchawa wake kauweka penyewe hasa yaani !! ana akili sana .
[emoji38][emoji38][emoji38]Ropoka sana ila tambua mama hakupendi na haupati teuzi yoyote ile.
February akimwona anaweza kumpa ukatibu nishati sio kwa kujituma huku.Halafu uchawa wake kauweka penyewe hasa yaani !! ana akili sana .
machafuko kwa wapumbavu wa ccm na machawa wao ni sawa.Ndugu zangu siku zote Mwenyezi Mungu hamfichi Mnafiki ,Kwa miaka mingi viongozi wa chadema wamekuwa wakiwaita na kuwabatiza watanzania majina mbalimbali mfano utasikia wanasema watanzania Ni waoga,wajinga ,wamekosa Elimu n.k,Mara nyingi kukitokea mapinduzi ya kiraia kwa baadhi ya serikali za nchi fulani zinazokuwa zimeshindwa kusikiliza wananchi wake unakuta viongozi wa chadema wakitamani na kutoa maneno ya kutaka machafuko yatokee hapa nchini.
Sasa Imefahamika wazi kupitia Tundu Lisu kiongozi wa chadema wa ngazi ya juu kabisa akitamka kupitia mdomo wake ambao siku zote Hauna breki wala kuchagua maneno ya kutamka kuwa watoto wake Ni raia wa Marekani, Ndugu zangu kumbe ndio maana chadema imekuwa ikitaka kuona umwagikaji wa damu hapa nchini kwa kuwa wanajuwa kuwa wao na familia zao hawataathirika na chochote,kumbe wanafahamu kuwa Damu za familia zao zitakuwa salama,kumbe wanafahamu kuwa hakuna mtoto wao au mwana familia wao atakayebakia na kilema Wala upofu Wala majeraha Wala njaa Wala kuvunjwa miguu kwa kuwa wanafahamu kuwa wao siyo raia wenye uzalendo na nchi hii hata ikichafuka na kutiririsha Damu Kama chemichemi za maji jangwani zaidi ya kuhitaji madaraka tu hata kwa kushirikiana na shetani
Hii ndio sababu kumbe chochote kinachofanywa na serikali hii wanakibeza kwa kuwa wanajuwa watoto wao wanapata huduma Bora huko kwingine,Ndio maana wakiona mama yetu mpendwa mama Samia akitoa Elimu bure Hadi kidato Cha sita au kuwapa mikopo wanafunzi wote wa Elimu ya juu wenye sifa wao wanabeza,wanadharau ,wanatoa maneno ya kumkatisha Tamaa Mh Rais kwa kuwa wanajuwa watoto wao wanapata huduma bora huko nchi za magharibi na kwamba wanatamani watoto wa watanzania wazeeke bila Elimu Wala ujuzi,wanataka watoto wa watanzania wawe wanyonge,wajinga mbele za watoto wao,wanataka watanzania wasijitambue ili waje wawatumie kuleta machafuko hapa nchini kwetu
Ndio maana wakiona mama yetu na Rais wetu mpendwa mama Samia akijibidisha kujenga vituo vya Afya kila sehemu wao hawapendi kwa kuwa wanajuwa watoto wao wakiumwa hawatatibiwa hapa nchini kwa kuwa watakwenda huko nchi za magharibi na bima zao kubwa kubwa,hawataki kuona watanzania wakipata huduma Bora za kiafya,hawataki kuona watanzania wakipata maji Safi na salama kwa kuwa wanatamani waone watanzania wakihangaiika na magonjwa ya matumbo mpaka wapoteze ufahamu ili waje wasimame majukwaani kuwahamasisha watanzania waibomoe nchi yao kwa mikono yao
Ndio maana wakiona Rais wetu akiwainua wakulima wananuna na kumbeza kwa kuwa Wao chedema wanatamani wakulima wasilime na wakumbwe na njaa na hata kufa na njaa,wanatambua kuwa huwezi kumuongoza mwenye njaa Ndio sababu wanatamani watanzania wawe na njaa ili waje wasimame hadharani kuwatumia watanzania kuchinjana.ndio sababu ya kupandikiza chuki kwa watanzania dhidi ya serikali yao,ndio sababu wakati wote wamekuwa wakitoa maneno yenye sumu ili kuwamezesha watanzania waichukie serikali yao,ndio sababu wakati wote maombi yao yamekuwa ni kutaka kuona serikali ikishindwa ili ichukiwe na watanzania,Ndio sababu kuna wakati wamewahi kusema kuwa nchi haitatawalika
Chadema hawapendi kusikia habari za mama kutoa maelfu ya ajira kwa vijana takribani elfu 42, kwa kuwa wanataka kuona vijana wakihangaiika mitaani Kama vibaka kusudi wawatumie kubeba hasira na sumu mioyoni mwao ya kuvuruga amani ya nchi yetu kwa kuwa wanajuwa watoto wao wapo ulaya na familia zao na wao wenyewe watakimbilia huko halafu wawe wanarusha picha mitandaoni kwa makubwa zao,Hakika chadema Ni vibaraka, Ni wasaliti wa nchi yetu ,wapo Tayari kwa lolote ilimradi tu wapate madaraka,wanachoomba wao Ni machafuko tu yatokee ili watafute njia ya mkato
Kibaya zaidi Ni kuwa safu ya uongozi ya Chadema nidhaifu Sana kwa Sasa na iliyopoteza matumaini na kujikatia Tamaa,imejikatia Tamaa yakutwaa Dola kwa njia ya kidemokrasia,imepoteza ushawishi kwa watanzania,haionyeshi matumaini ya kesho,Hakuna anayeiunga mkono,imebaki Ni mkusanyiko wa watu waliokata na kujikatia Tamaa ndio maana wanaona njia fupi ni kama Ile aliyoitangaza Lisu uchaguzi uliopita ili watanzania waandamane mitaani wakati huo yeye Anayo tiketi ya kukimbia nchini na kajificha ubalozini
Watanzania Tumeshayajuwa ya sirini na dhamira ya Chadema,wamejiumbua wao wenyewe,Ndio hasara ya kuwa na kiongozi mropokaji Kama Tundu Lisu,Tusiwape nafasi chadema ya kuharibu Taifa letu kwa kuleta machafuko na kupandikiza chuki miongoni mwetu,wao hawatakuwepo hapa nchini na Wala hawataumia kwa chochote,Tusiwaunge mkono,Tuwapuuze na kuwadharau kwa lolote watamkalo maana hawana Nia nzuri na Taifa letu
Ushauri kwa Idara yetu ya usalama wa Taifa(TISS) Ni kuhakikisha wanakuwa chonjo na nyendo zote za viongozi wa chadema katika safari zao za nje ya nchi,wasiruhusu mapesa yakaingia kiholela hapa nchini ambayo yakaja kufadhili mipango Yao miovu,wawe makini na kufuatilia matamshi yao ,wasiwaruhusu wakapandikiza mbegu za chuki kwetu watanzania,Tumeona siku za hivi karibuni wakijaribu kutaka kupandikiza mbegu ya ukanda na ukabila Kama kete ya kupata uungwaji mkono ambao walisha upoteza muda mrefu
Watanzania Tuendelee kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani katika kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe,Nadhani tumeshatambua kwanini Chadema ipo msitari wa mbele kupinga juhudi za mh Rais,Tumeshatambua ni kwa kuwa hawana uchungu na sisi watanzania Bali wanaombea tuteseke ili waje watutumie kufanikisha ajenda zao, Tusiwape nafasi hiyo. Tuwe bega kwa bega na Rais wetu na Tusikubali watimize malengo yao kupitia mikono yetu,Tulipende Taifa letu na Tulipiganie kwa nguvu zote,Ni Rahisi kulibomoa Taifa kuliko kulijenga na kuliinua mpaka tulipo nalo hapa penye amani utulivu na usalama,Tukumbuke watu wengi wanatuonea wivu watanzania kwa namna tulivyo na mshikamano, hivyo tusije jiroga tukavuruga amani yetu tuliyo nayo
Mwisho tukumbuke kuwa matatizo yetu tutayatatua sisi wenyewe kwa kushirikiana na serikali yetu,matatizo na kero ndogondogo Tuwe wavumilivu na wenye subira wakati serikali yetu ikiendelea na juhudi na jitihada za kukabiliana nazo.serikali yetu ipo kazini muda wote na Rais wetu tunaona akifanya kazi usiku na mchana kututumikia watanzania.
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Jaribuni mlete hayo machafuko muone Kama mtafika hata uwanja wa ndege kabla hamjanaswa na kuwekwa ndanimachafuko kwa wapumbavu wa ccm na machawa wao ni sawa.
wewe ni shoga la ccm mlimuuwa akwilina akiwa kwenye gari kwa upumbavu wenu na siku chadema ikiingia madarakani mtatueleza vizuri na huyo mkurugenz fake wa kinondon aliyekatalia viapo.Yaani nikimkumbuka Akwilina machozi yanitoka, walimdanganya akaandamana, akauwawa, kumbe wao watoto wao wamewaficha USA
wewe chawa wao huna la kufanya utabaki kuwa keyboard worrior na wajinga wenzioJaribuni mlete hayo machafuko muone Kama mtafika hata uwanja wa ndege kabla hamjanaswa na kuwekwa ndani
Mimi naongea ukweli ambao viongozi wa chadema wameonyesha unafiki wao hadharaniMkuu una hakika uchawa huu utakulipa?.
Kwanini hukuandamana uchaguzi uliopita uliyooambiwa na Lisu uandamane? Bila Shaka na wewe ulimpuuza baada ya kutambua kuwa Ni mbabaishaji tu,ndio maana ulijifungia ndaniwewe chawa wao huna la kufanya utabaki kuwa keyboard worrior na wajinga wenzio
dira mnayo nyie na mamayenu matapel ya ccm miaka 61 ya uhuru umeme na maji mgao mnadira gan kama sio wajinga tu ndio maana kila chaguz mnagongwa mnabebwa na tume fake na polis wajingawajingaChadema Ni wababaishaji tu wasio na dira Wala muelekeo
Tanzania chini ya uongozi wa CCm inasonga mbele kimaendeleo kwa Kasi ya mshale, Hatua za Maendeleo zimepigwa kwa kila sectadira mnayo nyie na mamayenu matapel ya ccm miaka 61 ya uhuru umeme na maji mgao mnadira gan kama sio wajinga tu ndio maana kila chaguz mnagongwa mnabebwa na tume fake na polis wajingawajinga
mbabaishaji kuliko mamayenu empty brain anayekopa kwa mabeberu mliyokuwa mnawadanganywa nyie wajinga na baba yenu kuwa hakuna kukopa kwa mabeberu kumbe alikuwa anawapiga kamba wajinga kama wewe.Kwanini hukuandamana uchaguzi uliopita uliyooambiwa na Lisu uandamane? Bila Shaka na wewe ulimpuuza baada ya kutambua kuwa Ni mbabaishaji tu,ndio maana ulijifungia ndani
Tanzania inasonga mbele kwa failures wanaosababisha mgao wa umeme na maji huku wajinga kama wewe mnaimba mamayenu anaupiga mwingi huku mnalala mnanuka kwa kukosa maji.Tanzania chini ya uongozi wa CCm inasonga mbele kimaendeleo kwa Kasi ya mshale, Hatua za Maendeleo zimepigwa kwa kila secta
Ofisi Tu za chama zinewashinda kuzijenga licha ya mamillioni kwa mamilioni mliyokuwa mnayapokea Kama Ruzuku,mbabaishaji kuliko mamayenu empty brain anayekopa kwa mabeberu mliyokuwa mnawadanganywa nyie wajinga na baba yenu kuwa hakuna kukopa kwa mabeberu kumbe alikuwa anawapiga kamba wajinga kama wewe.
Matumizi mabovu ya mdaNdugu zangu siku zote Mwenyezi Mungu hamfichi Mnafiki ,Kwa miaka mingi viongozi wa chadema wamekuwa wakiwaita na kuwabatiza watanzania majina mbalimbali mfano utasikia wanasema watanzania Ni waoga,wajinga ,wamekosa Elimu n.k,Mara nyingi kukitokea mapinduzi ya kiraia kwa baadhi ya serikali za nchi fulani zinazokuwa zimeshindwa kusikiliza wananchi wake unakuta viongozi wa chadema wakitamani na kutoa maneno ya kutaka machafuko yatokee hapa nchini.
Sasa Imefahamika wazi kupitia Tundu Lisu kiongozi wa chadema wa ngazi ya juu kabisa akitamka kupitia mdomo wake ambao siku zote Hauna breki wala kuchagua maneno ya kutamka kuwa watoto wake Ni raia wa Marekani, Ndugu zangu kumbe ndio maana chadema imekuwa ikitaka kuona umwagikaji wa damu hapa nchini kwa kuwa wanajuwa kuwa wao na familia zao hawataathirika na chochote,kumbe wanafahamu kuwa Damu za familia zao zitakuwa salama,kumbe wanafahamu kuwa hakuna mtoto wao au mwana familia wao atakayebakia na kilema Wala upofu Wala majeraha Wala njaa Wala kuvunjwa miguu kwa kuwa wanafahamu kuwa wao siyo raia wenye uzalendo na nchi hii hata ikichafuka na kutiririsha Damu Kama chemichemi za maji jangwani zaidi ya kuhitaji madaraka tu hata kwa kushirikiana na shetani
Hii ndio sababu kumbe chochote kinachofanywa na serikali hii wanakibeza kwa kuwa wanajuwa watoto wao wanapata huduma Bora huko kwingine,Ndio maana wakiona mama yetu mpendwa mama Samia akitoa Elimu bure Hadi kidato Cha sita au kuwapa mikopo wanafunzi wote wa Elimu ya juu wenye sifa wao wanabeza,wanadharau ,wanatoa maneno ya kumkatisha Tamaa Mh Rais kwa kuwa wanajuwa watoto wao wanapata huduma bora huko nchi za magharibi na kwamba wanatamani watoto wa watanzania wazeeke bila Elimu Wala ujuzi,wanataka watoto wa watanzania wawe wanyonge,wajinga mbele za watoto wao,wanataka watanzania wasijitambue ili waje wawatumie kuleta machafuko hapa nchini kwetu
Ndio maana wakiona mama yetu na Rais wetu mpendwa mama Samia akijibidisha kujenga vituo vya Afya kila sehemu wao hawapendi kwa kuwa wanajuwa watoto wao wakiumwa hawatatibiwa hapa nchini kwa kuwa watakwenda huko nchi za magharibi na bima zao kubwa kubwa,hawataki kuona watanzania wakipata huduma Bora za kiafya,hawataki kuona watanzania wakipata maji Safi na salama kwa kuwa wanatamani waone watanzania wakihangaiika na magonjwa ya matumbo mpaka wapoteze ufahamu ili waje wasimame majukwaani kuwahamasisha watanzania waibomoe nchi yao kwa mikono yao
Ndio maana wakiona Rais wetu akiwainua wakulima wananuna na kumbeza kwa kuwa Wao chedema wanatamani wakulima wasilime na wakumbwe na njaa na hata kufa na njaa,wanatambua kuwa huwezi kumuongoza mwenye njaa Ndio sababu wanatamani watanzania wawe na njaa ili waje wasimame hadharani kuwatumia watanzania kuchinjana.ndio sababu ya kupandikiza chuki kwa watanzania dhidi ya serikali yao,ndio sababu wakati wote wamekuwa wakitoa maneno yenye sumu ili kuwamezesha watanzania waichukie serikali yao,ndio sababu wakati wote maombi yao yamekuwa ni kutaka kuona serikali ikishindwa ili ichukiwe na watanzania,Ndio sababu kuna wakati wamewahi kusema kuwa nchi haitatawalika
Chadema hawapendi kusikia habari za mama kutoa maelfu ya ajira kwa vijana takribani elfu 42, kwa kuwa wanataka kuona vijana wakihangaiika mitaani Kama vibaka kusudi wawatumie kubeba hasira na sumu mioyoni mwao ya kuvuruga amani ya nchi yetu kwa kuwa wanajuwa watoto wao wapo ulaya na familia zao na wao wenyewe watakimbilia huko halafu wawe wanarusha picha mitandaoni kwa makubwa zao,Hakika chadema Ni vibaraka, Ni wasaliti wa nchi yetu ,wapo Tayari kwa lolote ilimradi tu wapate madaraka,wanachoomba wao Ni machafuko tu yatokee ili watafute njia ya mkato
Kibaya zaidi Ni kuwa safu ya uongozi ya Chadema nidhaifu Sana kwa Sasa na iliyopoteza matumaini na kujikatia Tamaa,imejikatia Tamaa yakutwaa Dola kwa njia ya kidemokrasia,imepoteza ushawishi kwa watanzania,haionyeshi matumaini ya kesho,Hakuna anayeiunga mkono,imebaki Ni mkusanyiko wa watu waliokata na kujikatia Tamaa ndio maana wanaona njia fupi ni kama Ile aliyoitangaza Lisu uchaguzi uliopita ili watanzania waandamane mitaani wakati huo yeye Anayo tiketi ya kukimbia nchini na kajificha ubalozini
Watanzania Tumeshayajuwa ya sirini na dhamira ya Chadema,wamejiumbua wao wenyewe,Ndio hasara ya kuwa na kiongozi mropokaji Kama Tundu Lisu,Tusiwape nafasi chadema ya kuharibu Taifa letu kwa kuleta machafuko na kupandikiza chuki miongoni mwetu,wao hawatakuwepo hapa nchini na Wala hawataumia kwa chochote,Tusiwaunge mkono,Tuwapuuze na kuwadharau kwa lolote watamkalo maana hawana Nia nzuri na Taifa letu
Ushauri kwa Idara yetu ya usalama wa Taifa(TISS) Ni kuhakikisha wanakuwa chonjo na nyendo zote za viongozi wa chadema katika safari zao za nje ya nchi,wasiruhusu mapesa yakaingia kiholela hapa nchini ambayo yakaja kufadhili mipango Yao miovu,wawe makini na kufuatilia matamshi yao ,wasiwaruhusu wakapandikiza mbegu za chuki kwetu watanzania,Tumeona siku za hivi karibuni wakijaribu kutaka kupandikiza mbegu ya ukanda na ukabila Kama kete ya kupata uungwaji mkono ambao walisha upoteza muda mrefu
Watanzania Tuendelee kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani katika kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe,Nadhani tumeshatambua kwanini Chadema ipo msitari wa mbele kupinga juhudi za mh Rais,Tumeshatambua ni kwa kuwa hawana uchungu na sisi watanzania Bali wanaombea tuteseke ili waje watutumie kufanikisha ajenda zao, Tusiwape nafasi hiyo. Tuwe bega kwa bega na Rais wetu na Tusikubali watimize malengo yao kupitia mikono yetu,Tulipende Taifa letu na Tulipiganie kwa nguvu zote,Ni Rahisi kulibomoa Taifa kuliko kulijenga na kuliinua mpaka tulipo nalo hapa penye amani utulivu na usalama,Tukumbuke watu wengi wanatuonea wivu watanzania kwa namna tulivyo na mshikamano, hivyo tusije jiroga tukavuruga amani yetu tuliyo nayo
Mwisho tukumbuke kuwa matatizo yetu tutayatatua sisi wenyewe kwa kushirikiana na serikali yetu,matatizo na kero ndogondogo Tuwe wavumilivu na wenye subira wakati serikali yetu ikiendelea na juhudi na jitihada za kukabiliana nazo.serikali yetu ipo kazini muda wote na Rais wetu tunaona akifanya kazi usiku na mchana kututumikia watanzania.
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Mimi ndio dawa yako nitakunyoosha humuhumu mpaka upoyoyo wa lumumba majiz ya kura ukuishe.Tanzania chini ya uongozi wa CCm inasonga mbele kimaendeleo kwa Kasi ya mshale, Hatua za Maendeleo zimepigwa kwa kila secta
Nyie wapuuz mnaofisi ipi majengo ya serikali mliyoyageuza ofisi za lumumba ndo mnaona mnaofis ndio maana uzezeta hautawaisha na chadema ikishika madaraka jiandaeni kujibu kesi za uhujumu uchumi kwa mali za umma.Ofisi Tu za chama zinewashinda kuzijenga licha ya mamillioni kwa mamilioni mliyokuwa mnayapokea Kama Ruzuku,