Lissu: Watoto wangu wote ni raia wa Marekani

George Weah ni Rais wa Liberia mtoto wake juzi kafunga bao na timu ya taifa ya marekani

So na George ni C.I.A?

Wakina Mandela waliishi Morogoro na Butiama wakati wa ubaguzi wa rangi south africa so hoja yako Haina mashiko.

Rais wa Congo wa Sasa aliishi Sana ubelgiji so na yeye ni mbelgiji?

Huyo trump mwenyewe na obama ukiwatazama hawana hata asili ya marekani lakini wametawala

Obama katumwa na kenya marekani na mke wake alitumwa na israel?

Hoja zako za kipumbavu Sana watu wataishi vipi kwenye nchi ambayo usalama wao hauna uhakika? Hakikisheni kwanza usalama wa watu ndio muanze kuwahukumu.

Wakina Akwilina, Azory, Mawazo wako wapi?

Akili za watanzania hizi!!!

Ndio maana tunapelekeshwa sana na wanasiasa.
 
Mnyalu Balali anadunda tu kama Elizabeth!

Lakini ni mtihani mkubwa sana Kwa kweli !
Inamaana hata Uhuru kamili wa kwenda popote.

Yaani mtu atangazwe kufa kwenye Taifa lake halafu isiwe kweli?! [emoji848]

Atakuwa ana -survive lakini kuishi bado hajaanza iwapo itakuwa ni kweli kuwa yupo hai!
 
Kauli hii ameitoa Tundu Lissu wakati akichangia mada katika space huko Twitter.

Kumbe wenzetu wanataka kuleta vurugu hapa nchini, wao wameshatanguliza familia zao nje ya nchi! Wanahamasisha watoto wetu waandamane, wapigwe rungu, wa kwao wako Trump Hotels wanakula baga na pizza.

Kwa nini Lissu hawaambii watoto wake wakane uraia wa Marekani ili wafaidi matunda ya anavyopigania? Je, Lissu sio mpango wa C.I.A katika taifa letu?

Muda utasema. Kwa sasa hana kazi ya kumuingizia kipato, lakini anatalii majiji ya Ulaya na Marekani akila maisha kwa fahari kuu, hatujui chanzo cha mapato yake.

Napiga picha ikulu yetu imejaa raia wa marekani, wanazurura tu katika bustani, wanajisaidia vyooni, na kuoga, wanaleta marafiki zao, ambao pengine no majasusi wanapandikiza kamera na vinasa sauti, wanachomoa mafaili na kuondoka nayo, na kuhaki computer zetu, au ku-recruit staff wa ikulu dhidi ya nchi yetu.
Marisasi yote yale lengo lilikuwa kuuliwa ulitegemea aendelee kubaki nchini ili wammalizie ngoja yakukute na wewe.
 
Hata ningekuwa mimi nimepata nafasi ningewabadilisha ukoo wangu wote uraia wa marekani

Uliona wapi nchi ina vyanzo kibao vya maji ila inaingia kwenye mgao wa maji na umeme
 
I wish angekuwa kweli huo mpango wa CIA ili atusaidie kuiondoa ccm madarakani.

Baada ya hapo tutajua cha kufanya. Ila kwa sasa adui wetu namba moja kama Taifa, ni ccm! Na siyo Tundu Lissu, au hao CIA.

Una sura na Mila za kibaraka wakutumiwa na wenye ngozi nyeupe
 
Napiga picha ikulu yetu imejaa raia wa marekani, wanazurura tu katika bustani, wanajisaidia vyooni, na kuoga, wanaleta marafiki zao, ambao pengine no majasusi wanapandikiza kamera na vinasa sauti, wanachomoa mafaili na kuondoka nayo, na kuhaki computer zetu, au ku-recruit staff wa ikulu dhidi ya nchi yetu.
Nimeona nisihangaike sana kupoteza muda, kumbe jibu tayari lipo ukumbini.
Hebu tazama jibu sahihi hapo chini, kwa hisani ya mkuu 'Tate Mkuu'.
I wish angekuwa kweli huo mpango wa CIA ili atusaidie kuiondoa ccm madarakani.

Baada ya hapo tutajua cha kufanya. Ila kwa sasa adui wetu namba moja kama Taifa, ni ccm! Na siyo Tundu Lissu, au hao CIA.
 
Kauli hii ameitoa Tundu Lissu wakati akichangia mada katika space huko Twitter.

Kumbe wenzetu wanataka kuleta vurugu hapa nchini, wao wameshatanguliza familia zao nje ya nchi! Wanahamasisha watoto wetu waandamane, wapigwe rungu, wa kwao wako Trump Hotels wanakula baga na pizza.

Kwa nini Lissu hawaambii watoto wake wakane uraia wa Marekani ili wafaidi matunda ya anavyopigania? Je, Lissu sio mpango wa C.I.A katika taifa letu?

Muda utasema. Kwa sasa hana kazi ya kumuingizia kipato, lakini anatalii majiji ya Ulaya na Marekani akila maisha kwa fahari kuu, hatujui chanzo cha mapato yake.

Napiga picha ikulu yetu imejaa raia wa marekani, wanazurura tu katika bustani, wanajisaidia vyooni, na kuoga, wanaleta marafiki zao, ambao pengine no majasusi wanapandikiza kamera na vinasa sauti, wanachomoa mafaili na kuondoka nayo, na kuhaki computer zetu, au ku-recruit staff wa ikulu dhidi ya nchi yetu.

Ni ushamba na uelewa mdogo tu wako. Ukizaliwa Marekani ni Raia na Marekani hakuna sheria za kikoloni za kukana Uraia. Marekani ni kama Kenya ukizaliwa Kenya ni Mkenya hakuna biashara za kunakana hili wala lile.
 
Back
Top Bottom