Ansah Miles
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 392
- 175
Mnaofikiria biashara ya unga wa sembe ni bora zaidi ukinunua mahindi mikoani hasa kipindi cha mavuno kinachoanzia mwezi wa tano mwishoni gunia mojanhufika hadi sh 15 elfu yanapigwa dawa unayahifadhi ghalani tayari kwa uzalishaji muda wowote..
Mashine moja complete motor HP 25 inacheza kwenye 1.5M. Kama upo Dar nenda Auto Sokoni Nkrumah Street phone 0754 520 786. Biashara unaweza kupata kitu hapa Siri Ya Mafanikio: Biashara ya kununua mahindi, kukoboa, kusaga na kuuza unga wa sembe kwa wateja. Hii ni Biashara nzuri kama utakuwa makini kwenye utekelazaji wake...
Mashine za kukoboa zinapatikana madukani hapa utahitaji kinu cha kukoboapia madukani vipo na bei ya kawaida.packaging waweza wasiliana na SIDO watakusaidia.Kama upo kanda ya ziwa mwnza maeneo ya Nyerere road utapata mashne hizo.
Mawazo mazuri ila mnaishia juu juu, kuna watu wanapesa wanaweza kushawishika kuinvest wakakosa nyama....ila thread nimeipenda.
Naona idea nyingi ni za uzalishaji,unajua ni ngumu sana kuwa na biashara kubwa kwa kufanya uchuuzi wa bidhaa za mwenzako. Utaishia tu kuwa mfanyabiashara wa kati,haya mambo ya kuigana kufungua bar,barber shop,guest house,boutique utaishia kuwa mchuuzi.
Kuna biashara kama ya fenicha, vifungashio, viungo vya chakula,pedi nk.
Niliona mshikaji mmoja Kenya anatengeneza maji ya mvua anauza. Nilipenda sana idea yake sijui kibongobongo watu kama wataielewa coz jamaa yupo mtaani bado hajakua kivile ila anauza sana.
1. mobile toilets business
2. house flipping business
3. Renovate, Operate, Transfer..kuna watu uswazi wana nyumba zimechakaa, wanakusanya kodi kidogo mno, unaingia nao mkataba, una convert nyumba kulingana na soko, au unaipendezesha, unaifanya ya status flani, unakodisha kwa gharama kubwa kidogo, baada ya kupata Return on Investment na kupata faida, au baada muda mliokubaliana, unamrudishia nyumba yake.. Unaenda sehemu nyingine and you do the same,.
kwa tanzania itawezekana kweli biashara hii mana wengi wetu hatujawa wabunfu na wachunguzi wa biashara hii
Wadau tafuteni youtube kipindi kinaitwa safari show tv1...kuna mambo makubwa sana wanafanmya wabongo wenzetu kinazalishwa na mecky kaloka kijana mdogo sana toka ngome videos. Hapa utasoma huku unatazama hauna haja ya kushika kitabu
Ingia hapa utakubali
safari tvshow - YouTube
https://www.youtube.com/channel/UCyylB7aqic1jj5yQBCbKfpA
Haya maji ya mvua anakinga wakati wa mvua halafu anauza?? au inakuwaje??
Very True, nimekutana sana na ubaguzi Wa aina hii.Sisi kama vijana ni lazma tupaze sauti zetu abt this issue.Biashara nyingi hapa ni rahs na zinalipa maana nyingi tunaagiza china, lkn sasa urasimu wa serikali Yetu. Unaweza usifanikiwe, wazungu wanasamehewa kodi miaka 10 matazamio, siku ukianzisha kiwanda lets say cha toothpick siku iyoiyo TRA watataka Kodi kwasababu tu wewe ni Mzawa