List ya wasanii wa Bongo ambao walipata umaarufu na mafanikio makubwa, lakini leo wako juu ya mawe

Kila uzi unaomhusu Mr Nice kuna watu lazima wamkande[emoji23][emoji1787] .

Utasikia ni mtu wa hovyo sana , kuna mwingine akianzisha anamnanga Mr Nice kwa mambo hizi unazisema[emoji1787][emoji1787]
 
Kila uzi unaomhusu Mr Nice kuna watu lazima wamkande[emoji23][emoji1787] .

Utasikia ni mtu wa hovyo sana , kuna mwingine akianzisha anamnanga Mr Nice kwa mambo hizi unazisema[emoji1787][emoji1787]
Mr Nice alitakiwa awe kioo bora cha jamii kwa kuonesha watu mfano mzuri wa kimaisha kama ilivyokuwa kwa hayati Kanumba na Diamond wa leo.

Lkn kwa bahati mbaya aliendekeza sana vyupi. Ndio maana leo hii yuko juu ya mawe anatubu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…