Live Bungeni: Kukosekana kwa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Kumepelekea Kipindi cha Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu Kukosa Impact?

Kiukweli jiwe alikuwa mtu ovyo sana sana
 
Magu alikuwa rais wa ovyo kuwai kutokea
 
Nikikumbuka ule uzi wako wa kwanza baada ya uchaguzi ukishutumu mwanaJF mmoja diaspora kuhojiwa na Newyork Times na kusema uchaguzi haukuwa huru na wa haki.

Huku wewe ukitetea na kupinga kwamba uchaguzi ulikuwa huru na wa haki tena uliongozwa kwa kufuatiliwa na watanzania wengi walionunua smartphones hadi internet ikazidiwa.

Hakika wewe ni moja ya wanadamu wanafiki niliowahi kuwafahamu na ipo siku tutaweka wazi role yako halisi huko serikalini.
 
Honestly huyu bro nilikuwa namuona wa maana, ila Magufuli alipoingia madarakani sikuweza kuamini kiwango Cha wanafiki tulionao. Yaani ni kama Magufuli alikuja kutuanikia wanafiki. Saa hata akitoa ushauri wake najua tu ni mnafiki aliyepoteza ramani.

Cc: Paskali Mayalla
 
 
 

Attachments

  • Odinga Bunge.mp4
    9.3 MB
Naheshimu maoni yako na asante kuchangia uzi wangu
P
 
Bunge la sasa Kila mchangiaji anachoweza kusema ni miradi mingapi ''mama'' kapeleka kwao hakuna michango nchi Ina kwenda wapi?
 
Naheshimu maoni yako na asante kuchangia uzi wangu
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…