Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjinga wewe ukiwa hujalipwa posho zako huwa unaandika factBunge ni sawa na Halmashauri kuu ya CCM
Lile ni kusanyiko la tawi kuu la CCM wala hakuna bunge zaidi ya utapeliUsiwaze mkuu, Wataulizana maswali ya kupongezana.
Ndiyo kazi walionayo ni abu kubwa snHakuna wa kuhoji kila mbunge akisimama ni mwendo wa kumsifia bi mkubwa
Wakiuliza tu maswali magumu, Jaji anapigiwa cm hukumu inatoka chapMdee na genge lake watakava kila kitu, wala usiwe na shaka mbunge wetu mtarajiwa wa Jimbo la Kawe mhe Pasko Mayala.
Hatua moja huanzisha nyingine.
Wameleta aibu sn matokeo yake nchi haiendi imejaa ufisadi tupuSio maswali tuu bunge loote na vikao vyoote vimekosa impact na uhalali hasa kuwamo wale COVID ndani!!
Bunge likikosa ubora na usafi ni aibu Kwa taifa na nifunzo Kwa taasisi nyingine kunyima haki na kudharau katiba. SHAME!!
Wanabodi,
Naangalia Bunge live asubuhi hii, kusubiria hotuba ya hali ya uchumi, ndio nikakumbuka kumbe leo ni siku ya Alhamisi, ni siku ya maswali ya moja kwa moja kwa Waziri Mkuu, sasa naomba kuuliza, jee kuna uwezekano wa kukosekana kwa kambi rasmi ya upinzani Bungeni, kumepelekea kupunguza msisimko wa kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu hivyo sasa kipindi hiki kimekosa impact kama enzi zile za uwepo wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni? .
Enzi za uwepo wa kambi rasmi ya upinzani, kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu ilikuwa moto, sii ya kukosa, siku zote swali la kwanza lilitoka ama kwa kiongozi wa upinzani bungeni ama kwa mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani.
Je ni mimi tuu?, vipi nyinyi wenzangu? . Msikie JJ. Mnyika
View: https://youtu.be/r-SmiYZUOXc?si=VjwownS936rlz14K
Ushauri wa Bure kwa Mhe. Spika.
Pamoja na kutokuwepo kwa kambi rasmi ya upinzani Bungeni, kutokana na wapinzani kutokukodhi akidi, lakini kuna wapinzani bungeni, hivyo ili kurejesha msisimko wa Bunge la vyama vingi, wapinzani wote waliopo Bungeni waunde kundi la "the minority", to act kama kambi rasmi ya upinzani, hivyo kipindi cha maswali ya papo kwa papo kianze na maswali ya papo kwa papo swali la kwanza litoke kwa the minority.
Pia kitendo cha Chadema kutowatambua wale wabunge wake 19 na kuwaita covid 19, kumepelekea kuwavunja confidence wabunge wake machachari kama Mhe. Halima Mdee, Esta Bulaya, Ester Matiko and the like, wanaonekana wako wako tuu bungeni kwa ajili ya maokoto kwa kuvuta tuu bingo kusubiria Bunge kuvunjwa hapo mwakani.
Paskali
Kikao cha CCM Taifa 😃Bunge ni sawa na Halmashauri kuu ya CCM
Magu alikuwa rais wa ovyo kuwai kutokeaMagufuli ndio chanzo Cha bunge hilo kukosa mvuto kwa sababu ya kulazimisha kukubalika. Alianza kwa kuzuia bunge live, kisha akaleta habari sijui maswali kwa waziri mkuu yawe ya sera. Hakurudhika baada ya kulinyima bunge uhuru, akalifanya kuwa la chama kimoja Ili limuongezee muda wa kukaa madarakani. Hapo ndio alipoteza mvuto wote wa bunge. Haya unayoona Leo ni matokeo ya Magufuli kulazimisha bunge liwepo kwa utashi wake.
Honestly huyu bro nilikuwa namuona wa maana, ila Magufuli alipoingia madarakani sikuweza kuamini kiwango Cha wanafiki tulionao. Yaani ni kama Magufuli alikuja kutuanikia wanafiki. Saa hata akitoa ushauri wake najua tu ni mnafiki aliyepoteza ramani.Nikikumbuka ule uzi wako wa kwanza baada ya uchaguzi ukishutumu mwanaJF mmoja diaspora kuhojiwa na Newyork Times na kusema uchaguzi haukuwa huru na wa haki.
Huku wewe ukitetea na kupinga kwamba uchaguzi ulikuwa huru na wa haki tena uliongozwa kwa kufuatiliwa na watanzania wengi walionunua smartphones hadi internet ikazidiwa.
Hakika wewe ni moja ya wanadamu wanafiki niliowahi kuwafahamu na ipo siku tutaweka wazi role yako halisi huko serikalini.
Kwa usalama wa nafasi zao na matumbo yao wala hakuna anaeweza kuthubutu kuuliza maswali magumu kwa sasa.Wakiuliza tu maswali magumu, Jaji anapigiwa cm hukumu inatoka chap
Wanabodi,
Naangalia Bunge live asubuhi hii, kusubiria hotuba ya hali ya uchumi, ndio nikakumbuka kumbe leo ni siku ya Alhamisi, ni siku ya maswali ya moja kwa moja kwa Waziri Mkuu, sasa naomba kuuliza, jee kuna uwezekano wa kukosekana kwa kambi rasmi ya upinzani Bungeni, kumepelekea kupunguza msisimko wa kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu hivyo sasa kipindi hiki kimekosa impact kama enzi zile za uwepo wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni? .
Enzi za uwepo wa kambi rasmi ya upinzani, kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu ilikuwa moto, sii ya kukosa, siku zote swali la kwanza lilitoka ama kwa kiongozi wa upinzani bungeni ama kwa mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani.
Je ni mimi tuu?, vipi nyinyi wenzangu? . Msikie JJ. Mnyika
View: https://youtu.be/r-SmiYZUOXc?si=VjwownS936rlz14K
Ushauri wa Bure kwa Mhe. Spika.
Pamoja na kutokuwepo kwa kambi rasmi ya upinzani Bungeni, kutokana na wapinzani kutokukodhi akidi, lakini kuna wapinzani bungeni, hivyo ili kurejesha msisimko wa Bunge la vyama vingi, wapinzani wote waliopo Bungeni waunde kundi la "the minority", to act kama kambi rasmi ya upinzani, hivyo kipindi cha maswali ya papo kwa papo kianze na maswali ya papo kwa papo swali la kwanza litoke kwa the minority.
Pia kitendo cha Chadema kutowatambua wale wabunge wake 19 na kuwaita covid 19, kumepelekea kuwavunja confidence wabunge wake machachari kama Mhe. Halima Mdee, Esta Bulaya, Ester Matiko and the like, wanaonekana wako wako tuu bungeni kwa ajili ya maokoto kwa kuvuta tuu bingo kusubiria Bunge kuvunjwa hapo mwakani.
Paskali
Wanabodi,
Naangalia Bunge live asubuhi hii, kusubiria hotuba ya hali ya uchumi, ndio nikakumbuka kumbe leo ni siku ya Alhamisi, ni siku ya maswali ya moja kwa moja kwa Waziri Mkuu, sasa naomba kuuliza, jee kuna uwezekano wa kukosekana kwa kambi rasmi ya upinzani Bungeni, kumepelekea kupunguza msisimko wa kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu hivyo sasa kipindi hiki kimekosa impact kama enzi zile za uwepo wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni? .
Enzi za uwepo wa kambi rasmi ya upinzani, kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu ilikuwa moto, sii ya kukosa, siku zote swali la kwanza lilitoka ama kwa kiongozi wa upinzani bungeni ama kwa mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani.
Je ni mimi tuu?, vipi nyinyi wenzangu? . Msikie JJ. Mnyika
View: https://youtu.be/r-SmiYZUOXc?si=VjwownS936rlz14K
Ushauri wa Bure kwa Mhe. Spika.
Pamoja na kutokuwepo kwa kambi rasmi ya upinzani Bungeni, kutokana na wapinzani kutokukodhi akidi, lakini kuna wapinzani bungeni, hivyo ili kurejesha msisimko wa Bunge la vyama vingi, wapinzani wote waliopo Bungeni waunde kundi la "the minority", to act kama kambi rasmi ya upinzani, hivyo kipindi cha maswali ya papo kwa papo kianze na maswali ya papo kwa papo swali la kwanza litoke kwa the minority.
Pia kitendo cha Chadema kutowatambua wale wabunge wake 19 na kuwaita covid 19, kumepelekea kuwavunja confidence wabunge wake machachari kama Mhe. Halima Mdee, Esta Bulaya, Ester Matiko and the like, wanaonekana wako wako tuu bungeni kwa ajili ya maokoto kwa kuvuta tuu bingo kusubiria Bunge kuvunjwa hapo mwakani.
Paskali
Naheshimu maoni yako na asante kuchangia uzi wanguNikikumbuka ule uzi wako wa kwanza baada ya uchaguzi ukishutumu mwanaJF mmoja diaspora kuhojiwa na Newyork Times na kusema uchaguzi haukuwa huru na wa haki.
Huku wewe ukitetea na kupinga kwamba uchaguzi ulikuwa huru na wa haki tena uliongozwa kwa kufuatiliwa na watanzania wengi walionunua smartphones hadi internet ikazidiwa.
Hakika wewe ni moja ya wanadamu wanafiki niliowahi kuwafahamu na ipo siku tutaweka wazi role yako halisi huko serikalini.
Unakiri wewe mnafiki?Naheshimu maoni yako na asante kuchangia uzi wangu
P
Naheshimu maoni yakeUnakiri wewe mnafiki?
Naheshimu maoni yako na asante kuchangia uzi wanguHonestly huyu bro nilikuwa namuona wa maana, ila Magufuli alipoingia madarakani sikuweza kuamini kiwango Cha wanafiki tulionao. Yaani ni kama Magufuli alikuja kutuanikia wanafiki. Saa hata akitoa ushauri wake najua tu ni mnafiki aliyepoteza ramani.
Cc: Paskali Mayalla