Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Mama p wangu nipo nae hapa hapaPole kwa kuchapiwa haibadili ukweli lakini..acha na wenzio wachapiwe kama wewe. kua mpole tafadhari
Nani aliwahi kukiri dhambi hadharani?Jisemee wewe tafadhali
Kweli kabisaa,. Mimi na "my wangu" miezi mi5 tuko mbalimbalisasa,lakini hata kuwaza kumsaliti sijawahi...lol and likewise..tunatunziana wenyewe😋Long distance relationships ni kwa watu wakomavu kifikra na wenye nidhamu binafsi ya hali ya juu.Sio kwa kuwa haifanyi kazi kwa wengi,basi haifanyi kwa wote,hapana.
Kukosea kupo,kama ilivyo kwenye mahusiano ya kawaida,lakini nidhamu na ukomavu kifikra husaidia wenza kutotoka kwenye lengo lao kuu.
Kila mtu anasemaga hivi hiviKweli kabisaa,. Mimi na "my wangu" miezi mi5 tuko mbalimbalisasa,lakini hata kuwaza kumsaliti sijawahi...lol and likewise..tunatunziana wenyewe😋
WatabishaUkweli mchungu ndio huu sasa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]. Anyway acha wakusaidie tu
Swala la msingi ni kutunza uaminifu kwa kutokukutana kimwili na mtu yeyoteHao wanaishiaga kuwa masters of masturbation tuu hamna lolote.
Hilo sio kabisaa. Hiyo ni dhambi wewe.Swala la msingi ni kutunza uaminifu kwa kutokukutana kimwili na mtu yeyote
Acha utani wewe...kula mbususu ndio jambo muhimu katika mahusiano period.Nadhani pia tunakosea sana tunapoyatafsiri mahusiano katika maana ya kula mbunye tu.Ni kweli haipaswi wenza kuchepuka,lakini kula/kulana/kuliwa sio jambo 'muhimu' pekee katika mahusiano.Mahusiano yana mambo mengine muhimu mengi sana.
Nadhani mahusiano imara yenye furaha na amani na yanayodumu sio kwamba watu hawasalitiani,lakini inapotokea(kwa nadra), wahusika hujua namna ya kusuluhisha mambo yao.
Kila mtu abaki na imani yakeHilo sio kabisaa. Hiyo ni dhambi wewe.
Muongo mkubwa wewe, hakuna dhambi inaitafuna dunia kama uzinziKweli kabisaa,. Mimi na "my wangu" miezi mi5 tuko mbalimbalisasa,lakini hata kuwaza kumsaliti sijawahi...lol and likewise..tunatunziana wenyewe[emoji39]
Wewe pambana tuu na kimeo chako mkuu,..hata mimi hizo situations za long distance nilishakutana nazo sana kiasi nilicheat na wao pia hivyo hivyo,. lakini hayakuwa mafungu yangu,huyu ni MUME ambaye alifanya mengi pengine kunizidi na ndiye ubavu wangu..ndio maana nadiriki kusema "hatuwezi kuchitiana" labda mmoja atangualie mbele ya haki,.hakuna jipya la kutushtua asee😄Kila mtu anasemaga hivi hivi
Endelea kujidanganya,. kuna watu wako kwenye ndoa na mapenzi yasiyoghoshiwa,.. nyie endeleeni kujipakaza mavi ya ulaghaiMuongo mkubwa wewe,hakuna dhambi inaitafuna dunia Kama uzinzi