Long distance ni mapenzi ya uongo vijana acheni ujinga

Long distance ni mapenzi ya uongo vijana acheni ujinga

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Wakuu

Huwa nawashangaa sana watu eti ana mchumba yupo mwanza kikazi na yeye yupo Dodoma kikazi ...halafu wanadai eti wanaaminiana ..!

Kiuhalisia wote wawili ni wachepukaji wazuri sanaa ila ukiwakuta wanaongea kwenye simu sasa "ooh nimekumisi hadi naumwa".. Huo uongo hata shetani anashangaa.

Kijana gani au binadamu gani avumilie genye kwa miezi kama sio mwaka? Tena kijana wa 20's to 30's?

Tuache huu ujinga wa kulea penzi kwa simu kwani ndio hayo mambo ya case study zinajirudia na magonjwa ..

Usiposkia shauri yako
 
Long distance relationships ni kwa watu wakomavu kifikra na wenye nidhamu binafsi ya hali ya juu.Sio kwa kuwa haifanyi kazi kwa wengi,basi haifanyi kwa wote,hapana.

Kukosea kupo,kama ilivyo kwenye mahusiano ya kawaida,lakini nidhamu na ukomavu kifikra husaidia wenza kutotoka kwenye lengo lao kuu.
 
Kweli kabisaa,. Mimi na "my wangu" miezi mi5 tuko mbalimbalisasa,lakini hata kuwaza kumsaliti sijawahi...lol and likewise..tunatunziana wenyewe😋
 
Nadhani pia tunakosea sana tunapoyatafsiri mahusiano katika maana ya kula mbunye tu.Ni kweli haipaswi wenza kuchepuka,lakini kula/kulana/kuliwa sio jambo 'muhimu' pekee katika mahusiano.Mahusiano yana mambo mengine muhimu mengi sana.

Nadhani mahusiano imara yenye furaha na amani na yanayodumu sio kwamba watu hawasalitiani,lakini inapotokea(kwa nadra), wahusika hujua namna ya kusuluhisha mambo yao.
 
Acha utani wewe...kula mbususu ndio jambo muhimu katika mahusiano period.
 
Kila mtu anasemaga hivi hivi
Wewe pambana tuu na kimeo chako mkuu,..hata mimi hizo situations za long distance nilishakutana nazo sana kiasi nilicheat na wao pia hivyo hivyo,. lakini hayakuwa mafungu yangu,huyu ni MUME ambaye alifanya mengi pengine kunizidi na ndiye ubavu wangu..ndio maana nadiriki kusema "hatuwezi kuchitiana" labda mmoja atangualie mbele ya haki,.hakuna jipya la kutushtua asee😄
 
Back
Top Bottom