Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Wakuu
Huwa nawashangaa sana watu eti ana mchumba yupo mwanza kikazi na yeye yupo Dodoma kikazi ...halafu wanadai eti wanaaminiana ..!
Kiuhalisia wote wawili ni wachepukaji wazuri sanaa ila ukiwakuta wanaongea kwenye simu sasa "ooh nimekumisi hadi naumwa".. Huo uongo hata shetani anashangaa.
Kijana gani au binadamu gani avumilie genye kwa miezi kama sio mwaka? Tena kijana wa 20's to 30's?
Tuache huu ujinga wa kulea penzi kwa simu kwani ndio hayo mambo ya case study zinajirudia na magonjwa ..
Usiposkia shauri yako