Long distance ni mapenzi ya uongo vijana acheni ujinga

Long distance ni mapenzi ya uongo vijana acheni ujinga

Wewe pambana tuu na kimeo chako mkuu,..hata mimi hizo situations za long distance nilishakutana nazo sana kiasi nilicheat na wao pia hivyo hivyo,. lakini hayakuwa mafungu yangu,huyu ni MUME ambaye alifanya mengi pengine kunizidi na ndiye ubavu wangu..ndio maana nadiriki kusema "hatuwezi kuchitiana" labda mmoja atangualie mbele ya haki,.hakuna jipya la kutushtua asee😄
Wako ni mume ila mke wangu ni kimeo?
Naona unatafuta vita
 
Mtoa uzi unayatafsiri mapenzi kama ni kupigana mti tu lakini kuna mambo mengi yanajenga mapenzi mkuu. Kuna thread nyingi humu za wadada kudai kua hawahisi genye ama hawaskii raha wakinjunjana na wasiowapenda si ajabu hiyo ikasaidia sana kama mpenzi wake yuko mbali. Kwahiyo mkuu usikalili sio binadamu wote wana roho ya uzinzi kama yako.
 
Tatizo lenu nyie mnakazia exceptions. Hizo zitakuwepo tuu. Anachoongelea mtoa mada ni majority.
Ata chanjo ya corona itabumu kwa certain percentage ya population lakin kwa asilimi akubwa itakuwa mukide.
 
Kuna jirani yangu yamemkuta,anafanya kaz ofisi moja na mkewe,kurudi wote ,outing wote...but cha ajabu kamkuta mkewe analiwa upenu wa nyumba na shamba boi.Eti ana kawaida ya kumwambia natoka nje kidogo
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Sasa kucheat kubaya na imani hiyo hiyo unayokubaliana nayo kuwa kucheat kubaya inasema kunyetuka kubaya but here u share a different view....tuachage double standards.
Yani kujiwekea kidole au sabuni ukapunguza ashki vinafana na kukutana kimwili na mtu??! Usinilazimishe kufata imani yako aisee
 
Usiusemee moyo wa mwenzio. Km ww haucheat mwenzio ana cheat.
Ss wanaume ndiyo wachepukaje wakubwa. Unaweza kumpigia simu wife, upo nje, ndani kuna mwanamke. Baada ya kumaliza kuongea na simu. Unaenda kuipiga K. Endelea kujisifu
Ugonjwa mkubwa wa mwanaume awe na hela tu. Unaamka asubuhi unaenda kufanya kazi, unarudi jioni, salio linasoma. Usipokuwa na mwanamke, inabidi ukapimwe akili. Utakuwa kichaa
Kweli kabisaa,. Mimi na "my wangu" miezi mi5 tuko mbalimbalisasa,lakini hata kuwaza kumsaliti sijawahi...lol and likewise..tunatunziana wenyewe😋
 
Yani kujiwekea kidole au sabuni ukapunguza ashki vinafana na kukutana kimwili na mtu??! Usinilazimishe kufata imani yako aisee
Hapa hatulazimishani....tunajadili mada.
Point ni kwamba huyo aliekataza kukutana kimwili kabla ya ndoa ndio amekataza hiyo nyeto...hilo ndio point ya msingi.
 
Nahitaji kujifunza zaidi maana nahisi roho inaniuma kwa uzi huu na coment za wachangiaji
 
Km asikii raha na ww mkibanjuana basi yupo anayemfanya ajisikie raha. Wanawake wapo selective sana. Km hakupendi, hawezi kuolewa na ww na km ikitokea, hiyo ndoa utakuja kuivunja ww mwenyewe.
Kitu kinachokuunganisha na mkeo ni kupigana miti, hayo mingine ni ubatili mtupu.
Mtoa uzi unayatafsiri mapenzi kama ni kupigana mti tu lakini kuna mambo mengi yanajenga mapenzi mkuu. Kuna thread nyingi humu za wadada kudai kua hawahisi genye ama hawaskii raha wakinjunjana na wasiowapenda si ajabu hiyo ikasaidia sana kama mpenzi wake yuko mbali. Kwahiyo mkuu usikalili sio binadamu wote wana roho ya uzinzi kama yako.
 
Mapenzi ya mbali yako hivi. Km ww haucheat basi mwenzio ana cheat mara moja moja.
Cha kushangaza, mwenzio anakuwa anapatikana muda wote, kukuaminisha hacheat. Huwezi ona mapenzi yamepungua ila akinogewa ndiyo utaona mawasiliano yamepungua.
Nahitaji kujifunza zaidi maana nahisi roho inaniuma kwa uzi huu na coment za wachangiaji
 
Mapenzi ya mbali yako hivi. Km ww haucheat basi mwenzio ana cheat mara moja moja.
Cha kushangaza, mwenzio anakuwa anapatikana muda wote, kukuaminisha hacheat. Huwezi ona mapenzi yamepungua ila akinogewa ndiyo utaona mawasiliano yamepungua.
So sad, maana najikuta tu natafakari ninakoelekea nilifungwa macho kwa kitambaa be fore
 
Back
Top Bottom