Humilis
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 889
- 1,070
Sijakataa kwamba sio muhimu,nimesema sio jambo muhimu pekee.Acha utani wewe...kula mbususu ndio jambo muhimu katika mahusiano period.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijakataa kwamba sio muhimu,nimesema sio jambo muhimu pekee.Acha utani wewe...kula mbususu ndio jambo muhimu katika mahusiano period.
Wako ni mume ila mke wangu ni kimeo?Wewe pambana tuu na kimeo chako mkuu,..hata mimi hizo situations za long distance nilishakutana nazo sana kiasi nilicheat na wao pia hivyo hivyo,. lakini hayakuwa mafungu yangu,huyu ni MUME ambaye alifanya mengi pengine kunizidi na ndiye ubavu wangu..ndio maana nadiriki kusema "hatuwezi kuchitiana" labda mmoja atangualie mbele ya haki,.hakuna jipya la kutushtua asee😄
😝😝😝🤸🤸🤸Wako ni mume ila mke wangu ni kimeo?
Naona unatafuta vita
Ndio la kwanza katika umuhimuSijakataa kwamba sio muhimu,nimesema sio jambo muhimu pekee.
🤣🤣🤣🤣🤣 Sasa kucheat kubaya na imani hiyo hiyo unayokubaliana nayo kuwa kucheat kubaya inasema kunyetuka kubaya but here u share a different view....tuachage double standards.Kila mtu abaki na imani yake
Tatizo lenu nyie mnakazia exceptions. Hizo zitakuwepo tuu. Anachoongelea mtoa mada ni majority.Mtoa uzi unayatafsiri mapenzi kama ni kupigana mti tu lakini kuna mambo mengi yanajenga mapenzi mkuu. Kuna thread nyingi humu za wadada kudai kua hawahisi genye ama hawaskii raha wakinjunjana na wasiowapenda si ajabu hiyo ikasaidia sana kama mpenzi wake yuko mbali. Kwahiyo mkuu usikalili sio binadamu wote wana roho ya uzinzi kama yako.
Yani kujiwekea kidole au sabuni ukapunguza ashki vinafana na kukutana kimwili na mtu??! Usinilazimishe kufata imani yako aisee🤣🤣🤣🤣🤣 Sasa kucheat kubaya na imani hiyo hiyo unayokubaliana nayo kuwa kucheat kubaya inasema kunyetuka kubaya but here u share a different view....tuachage double standards.
Kweli kabisaa,. Mimi na "my wangu" miezi mi5 tuko mbalimbalisasa,lakini hata kuwaza kumsaliti sijawahi...lol and likewise..tunatunziana wenyewe😋
Hapa hatulazimishani....tunajadili mada.Yani kujiwekea kidole au sabuni ukapunguza ashki vinafana na kukutana kimwili na mtu??! Usinilazimishe kufata imani yako aisee
Mtoa uzi unayatafsiri mapenzi kama ni kupigana mti tu lakini kuna mambo mengi yanajenga mapenzi mkuu. Kuna thread nyingi humu za wadada kudai kua hawahisi genye ama hawaskii raha wakinjunjana na wasiowapenda si ajabu hiyo ikasaidia sana kama mpenzi wake yuko mbali. Kwahiyo mkuu usikalili sio binadamu wote wana roho ya uzinzi kama yako.
Nahitaji kujifunza zaidi maana nahisi roho inaniuma kwa uzi huu na coment za wachangiaji
So sad, maana najikuta tu natafakari ninakoelekea nilifungwa macho kwa kitambaa be foreMapenzi ya mbali yako hivi. Km ww haucheat basi mwenzio ana cheat mara moja moja.
Cha kushangaza, mwenzio anakuwa anapatikana muda wote, kukuaminisha hacheat. Huwezi ona mapenzi yamepungua ila akinogewa ndiyo utaona mawasiliano yamepungua.
Walokole huwa wanakiri hadharani mkuu.Nani aliwahi kukiri dhambi hadharani?
Mungu ndo anakujua na watu baadhi wanashuhudia
Mwenzako je?Kweli kabisaa,. Mimi na "my wangu" miezi mi5 tuko mbalimbalisasa,lakini hata kuwaza kumsaliti sijawahi...lol and likewise..tunatunziana wenyewe[emoji39]
So sad, maana najikuta tu natafakari ninakoelekea nilifungwa macho kwa kitambaa be fore
Yeye ndo hata kuota haoti tuu kunisaliti,.Mwenzako je?