Longido, Arusha: Vijana 70 wakamatwa na chuo chao kufungwa wakifundishwa karate na mafunzo ya siasa kali

Mimi nimeshangaa, mafunzo ya judo na karate china watoto wanajifunza tokea wakiwa watoto wadogo kabisa, cha ajabu ni nini watoto wakifunzwa mafunzo hayo??Labda waseme kuwa wameachishwa shule na kutoroshwa au hiko chuo hakina usajili sawa, ila mafunzo hayo yana kasoro gani?

Labda watuambie kuwa wamekuta silaha na mabomu labda, wanaacha mambo ya msingi wanakimbilia kupiga vita mafunzo ya ukakamavu?
 
NI UOGA TUH NA ISLAMOPHOBIA MKUU,HAKUNA SEHEMU YYTE MARTIAL ARTS IKWA THREAT KWA JAMII,NI UOGA TUH
Yawezekana ukawa sahihi ila nijuavyo kwa mfano jamii za ki Asia katika dini kama Buddhism wao wanaitumia martial arts kama ni moja ya utamaduni wao katika hiyo Imani na hata mafundisho yao yamejikita zaidi katika amani na jamii.

Shida kubwa sana huku kwetu tunapeana hayo mafunzo ukiichunguza kiundani zaidi kuna element za uvinjifu wa amani hapo ndipo tunasema hayo mafunzo yametumika sivyo.
 
Monitoring kama serikali ni muhimu, kwani wapo watu wanaoweza kutumia loophole kama hiyo na kumislead au kupotosha, kwa hilo sikatai, na hilo lipo kwa watu wa dini zote
 
Walivyo wasanii utasikia ni marekali hao[emoji1787]
 

Tuangalie pia hao walimu wao wanapata wapi pesa ya kuwaweka vijana kambini na kuwahudumia? Kama wazazi wao hawachangii hata buku wao wanatoa wapi pesa hizo? Kata mnyororo wa pesa zao jeuri yote itakwisha
 
Wanavisajiri hivyo vyuo na kila anayetaka kwenda kujifunza anaruhusiwa.

Ila hao Waislamu wanafanya hivyo kwa kificho ina maana hata mafundisho Yao wanafanya kwa kificho.

Sajirini hivyo vyuo, wakaguzi wakubali viwango vya ufundishaji ndipo mfundishe huku mkikaguliwa mtaala wa kufundishia.

Sio mnaiba watoto wa watu na kuwafundisha kwa siri kama Freemasonry.

Mnafundisha Ugaidi ndio maana hampendi kusajiri na kukaguliwa.
 
Wahusika wote yaana waanzilishi na wanaotoa fedha kufadhili hicho chuo wanatakiwa kukamatwa na kuchunguzwa. Makundi ya kigaidi yanaanza hivihivj.
 
wanalinda dini ya mwanyanzi Mungu tena kwa kutumia mikono na miguu. Mipumbavu ni mipumbavu tu. Shida kubwa ni elimu. Wakati huo huo biblia inatuambia "Bwana asipoulinda mji wakeshao wakesha bure" We ndio umlinde Mungu wakati sisi tunaomba ulinzi wake Mungu wetu. Hao ni wahaini wapigwe ndani na kufungwa maisha
 
Umemaliza kila kitu
 
Sasa Manufaa ya hiyo kareti ni nini Sasa ikiwa huruhuisiwi kupigana mtaani na Mtaani Ndiyo kuna tatizo?.
Ama mnajifunza kupigana na Colleagues wenzenu tu?.
 
Masta...
Mimi sina taarifa kamili ya hicho walichokuwa wanafundishwa hao vijana 70 wa Kiislam ambacho walioamua kufungia chuo chao wamekiona.

Ningefahamu hayo masomo yaliyoonekana ni itikadi kali ningeweza kujaribu kuchangia.
Kwanza ni kosa kisheria kumuachisha shule mtoto
 
Taasisi za kidini na mafunzo ya Mapigano hapana.Kamati za ulinzi lazima ziwe na taharuki kwa sababu huko kwenye mapigano ya waislam yalianza kama haya.Tuna mifano mingi sana wa haya.Cha kujiuliza kwa nini yanatamalaki kipindi hiki cha mama?
Fuatilia ujue how long hao vijana wamekuwa kwenye hayo mafunzo?
Uzembe na kukosa uzalendo ndo husababisha yote haya...
 
Hahahah
 
Waislam hamna michezo mingine ila karate na judo tena kwa kuwatoa watoto wadogo mashuleni na kuwafundisha mapigano? Usitufanye wajinga
 
Watanzania bado sanaa hawajui walitakalo wapo kama ngedere......hao ulinzi na usalama mbna wameshindwa kulinda waandishi wa habar waliouawa na wanasiasa walio pigwa risasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…