Longido, Arusha: Vijana 70 wakamatwa na chuo chao kufungwa wakifundishwa karate na mafunzo ya siasa kali

Longido, Arusha: Vijana 70 wakamatwa na chuo chao kufungwa wakifundishwa karate na mafunzo ya siasa kali

Mods Naona mmefuta comment yangu niliyosema Uislamu ni laana, muislamu yeyote yule amelaaniwa bila shaka mod aliyefuta hii comment nae ni mfuasi wa mnyazi mungu.

sasa nasema hivi dawa ipo palepale na mwendo ni uleule

Muhimu: Uislamu ni laana, muislamu yeyote yule amelaaniwa.
 
Hii dini miyeyusho sana,wao wanawaza tu vurugu,hii dini inafanya dunia isiwe mahali salama, sasa ndo nini dini kufundisha judo na karate? Wakitoka hapo wanaenda kuwa vibaka na kubaka watoto

Sent using Jamii Forums mobile app
Dab...
Shutuma hizo ulizotoa zingeweza kutusaidia endapo pangekuwa na ushahidi kuwa kesi zilizopo mahakamani za ''chembelecho,'' vibaka zingeonyesha kuwa watuhumiwa wengi wametokea kwenye misikiti wanayofunza karate.
 
Umemaliza kila kitu
Tena bokoharam ilivyoanza ilikua ngumu kuwadhibiti manake mtu anajivisha Bomu anakuja katikati ya umati Wa watu iwe sokoni, msikitini popote anajilipua, ugumu ulikua kumtambua mtu aliyejivika mabomu, sasa na sisi hawa watoto watakapoanza kujitoa mhanga katikati ya makundi ya watu itakua too late kuwadhibiti, serikali ichukue hatua, Mimi naamini uislamu na dini ya kiislam haina shida Bali kuna watu au vikundi vya watu vinatumia mwamvuli Wa dini hii kuendeleza agenda zao sasa wadhibitiwe na wasiichafue dini ya kiislamu.
 
Mods Naona mmefuta comment yangu niliyosema Uislamu ni laana, muislamu yeyote yule amelaaniwa bila shaka mod aliyefuta hii comment nae ni mfuasi wa mnyazi mungu.

sasa nasema hivi dawa ipo palepale na mwendo ni uleule

Muhimu: Uislamu ni laana, muislamu yeyote yule amelaaniwa.
Mimi ni mkristo ila we we mpare huna akili kabisa hii ni kashfa mbaya sana kwa waislamu na dini yao, unachuki na laana wewe mwenyewe usiwasingizie waislamu na dini yao.
 
Nigeria walipuuzia hayo mafunzo. Yamekuja kuwatesa sana mbeleni. Boko haram ilianza kama utani.

Hao vijana kiislam wanaitwa المُهَاجِرْ "al-Muhājir,"

Wanachukuliwa kutoka kwa wazazi wao toka wadogo wanapelekwa mbali na nyumbani kwao kambini na kuanza kufundishwa uislamu tu wenye siasa kali.. hawatakiwi kusoma elimu dunia maana itawafanya wajanjaruke.

Hao ndio wanatumika kwenye kujitoa muhanga. Maana uislam unakuwa ume wa brain wash wamefanyiwa indocrinations. Hawaogopi kufa hao. Wao jukumu lao ni kupigania dini

Nigeria boko haram ndio inatumia hao vijan waliopitia mafunzo ya al-Muhājir .. wanawekwa kambini mbali na nyumbani kwao wanafundishwa siasa kali za uislam.

Wikipedia imeandika muanzilishi wa Boko haram Sheikh Muhammad Yusuf was a graduate of the Almajiri Madrassa who did not had the opportunity to attend the formal education.

Wazazi wa hao vijana ni wale waislamu maskini.. wasio na exposure. Na unajua waislamu wanazaliana sana sababu ya ndoa zao za mitala na kupeana talaka na kuoa upya kila mara. Hivyo unakuta baba ana watoto 20 ila kuwahudumia wala kuwasomesha hawezi.. hivyo huyo mzee anafosi watoto wapelekwe kambi za المُهَاجِرْ "al-Muhājir," wakafundishwe uislamu huku wanakula chakula cha bure.

Huwezi kukuta mtoto wa muislamu mwenye maisha huko. Mfano kikwete ama bakhressa watoto wake hawajui hata maana ya al-Muhājir ni nini japo ni waislamu
Watakan kata.....!!!

Umesema ukweli Mtupu, umemaliza yote
 
Hawa ndio watu mzee wetu Mohamed Said anatuambia walikua wameelimika kabla ya kuja wamissionary, hili nalo anaweza kusema ni mfumo kristo ndio unawazuia vijana kujifua kwenye misikiti na kufundishana itikadi kali. Sema wahuni huzeeka pia.

[b]Mohamed Said
ni Mzee mmoja Mdini, Mwongo, Mzushi na anayejifanya Mjuaji...hana tofauti na baby wake Ajuza FaizaFoxy
 
hii kitu kama vyama vya upizani(chadema) wanahusika aitawacha salama wallah
 
the founder of the Boko Haram Muhammad Yusuf was a graduate of the Almajiri school who did not had the opportunity to attend the formal school,

Kwa kiswahili maana yake muanzilishi wa Boko Haram anaitwa muhammad yusufu alipitia hayo mafunzo ya almajiri huko north nigeria. Na hakuwai kusoma elimu dunia
Hata Mtume wetu Mwamedi hakupata Ilmu lakini akawa Nabii wa Allah
 
Unaamini kuna gaidi huko ulipopataja zaidi ya propaganda tu, gaidi akae mkuranga!

Msikiti wa ikwirir ndio ulikua ngome yao ya kihifadhi silaha na mafunzo,myo rufiji ungekua unasema ungesema mengi,kiufupi wakirudi tena kibiti watakua hawana akili.
 
Kule Gaza wanadai Israeli imewapokonya ardhi ndio maana wanafanya ugaidi. Sasa huku Tanzania nani kawadhulumu ardhi yao? [emoji848]

Mfumo kristo lile neno kwenye katiba linalosema nchi haina dini lina wauma sana wanatamani nchi iwe chini ya sharia za kiislamu.
 
Hamko serious. Mnafanya upotoshaji wa makusudi kugeneralize matendo ya watu wachache na Uislam kwa ujumla. Kuna matukio ya ajabu sana yanafanyika/yamefanyika na viongozi au waumini wa kikristu lakini kamwe hatuwezi sema ukristo ni tatizo.

Matatizo ya watu wachache hayaifanyi dini husika kua mbaya. Kuna waislam safi, kuna wakristu safi, kuna waislam wabaya na kuna wakristu wabaya.​

Ila uislam halisi ndio huu
IMG_4822.jpg
 
Ila wanahistoria nao wanatupiga chabga la macho. Utasikia Africa had the same level of development as Europe bybthe 15th Century.

Evidence utasikia presence of Early Universities. Uliza sasa ni zipi. Utasikia in Timbuktu and Kumbi Salehe, there were early Universities. Sasa hapo unaweza kudhani hizo ni kama Oxford au Edinburg kipindi kile. Wapi Bwana, kumbe ni madarasa ya kufundisha Qurani.

[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Niliwahi kusema humu siku moja. Haya malalamiko ya akina Mzee fulani na Bibi fulani humu yanaakisi harakati fulani zilizofichika. Ukisoma wanachoandika kwa jicho la tatu utayaona haya. Basi hizi taasisi ziko kila mkoa na ni mkakati maalum.
Soon ya Panya road wa kiislam yataonekana

Mzee saidi sio wakucheka naye huyo ni gaidi aliyejificha.
 
Habari hii imerushwa ITV saa 2 hii usiku.

Kamati ya Ulinzi na usalama Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha imekifunga chuo kimoja cha mafunzo ya kiislam kwa kutishia Amani na usalama wa nchi ambapo wamewakuta vijana walioachishwa shule za msingi na sekondari walioenda kufunzwa Imani Kali na mapigano (Karate na judo)

Mkuu wa Wilaya ha Longido amefanya hilo leo baada ya kamati ya usalama kupata taarifa juu ya mafunzo yanayofanywa kwenye chuo hiko kisichosajiliwa.

Kimsingi vyuo hivi vipo sehemu mbalimbali nchini na ni hatari kwa usalama wa nchi kwani vijana hawa huchukuliwa sehemu mbalimbali kwa lengo la kuja kufundishwa dini na itikadi mbali.
hao ni magaidi kabisa, wameona awamu hii yupo rais muislam, ni mwanya wa wao kuimarisha ugaidi na kuharibu hii nchi. ajabu sana. kikwete kama yupo karibu na samia amshauri vizuri.
 
Back
Top Bottom