Low IQ Tanzania, wanafurahia Polisi kuondolewa barabarani!

Low IQ Tanzania, wanafurahia Polisi kuondolewa barabarani!

Trafiki wetu siyo waadilifu, wanalalamikiwa kwa kutofanya kazi zao scientifically, rushwa kwanza mengine baadaye
Trafiki polisi Tanzania ni kero kubwa. Lakini hii haihalalishi mwanasiasa mzee aliyekwisha kaa kwenye uongozi mpaka akapitiliza muda wake, na ambaye ni mmoja ya watu waliotengeneza hilo tatizo, kujaribu kutoa solution kwa tamko la jukwaani. Haya mambo yafanyike kitaalam!
 
Trafiki wetu siyo waadilifu, wanalalamikiwa kwa kutofanya kazi zao scientifically, rushwa kwanza mengine baadaye
Lakini mada imehama kutoka rushwa kuwa kuondolewa.
Chonde chonde IGP na makamishina wako, msiwaondoe matrafiki. Maskini wa nchi hii ndio watakufa. Kinana na wanasiasa wengine wana magari binafsi. Hawategemei order of public transport.
 
Tatuzo sio JPM kufa au kufufuka tatizo ni ccm tangu tumepata Uhuru wameshindwa kujenga miundo mbinu kutaka madalakani awataki matoke yake nchi mzima kero tupu
''Seen and endosed''. Asante. Mimi msimamo wangu huu hapa: ''Trafiki polisi Tanzania ni kero kubwa. Lakini hii haihalalishi mwanasiasa mzee aliyekwisha kaa kwenye uongozi mpaka akapitiliza muda wake, na ambaye ni mmoja ya watu waliotengeneza hilo tatizo, kujaribu kutoa solution kwa tamko la jukwaani. Haya mambo yafanyike kitaalam!''
 
Lakini mada imehama kutoka rushwa kuwa kuondolewa.
Chonde chonde IGP na makamishina wako, msiwaondoe matrafiki. Maskini wa nchi hii ndio watakufa. Kinana na wanasiasa wengine wana magari binafsi. Hawategemei order of public transport.
Traffic wanahaha hivi sasa maji shingoni
Tuwekeze kwenye teknolojia siyo watu kuacha kulinda raia na mali zao
 
Kila siku wanazika watu, wanalemaa, ukienda hospitalini majeruhi wa ajali wamejaa, nchi ambayo Dereva amebeba roho za watu zaidi ya 50 anakuja asubuhi kuanza safari amelewa tayari.

Kiongozi wao anasema Polisi waondoke barabarani kwamba wanagasi madereva, swali ni kwamba and it’s rhetorical, je, Polisi huwa anakuonea akikumata au ni kweli unakuwa na kosa?

90% ya ajali Tanzania ni uzembe wa madereva au kutokufwata Sheria za barabarani, kwa nchi kama Tanzania ile tu kujua kwamba kuna Polisi barabarani kunaokoa maisha ya watu wengi tu, lkn leo hii some psychopaths wanaondoa Polisi na anasifiwa, lkn yeye ajali hazimhusu kwani ana msafara kila mahali.

Jamii yenye low IQ ni ile isiyoweza kujifunza na kurudia makosa yale yale kila siku, mpaka siku lori au basi linaloendeshwa na Mlevi limalize familia yako yote mkiwa njiani kwenda Xmas labda akili itawajia waliobakia, …
Naomba nitofautiane na wewe,Kati ya Kinana na Polisi nani Wana taaluma ya ulinzi na Usalama?

Tutakuwa na Polisi wapumbavu kama watafuata ushauri ambao kwao wanaona sio sawa..
 
Nilazima watu wawajibike kwakutokuwa na mipango ya muda mrefu

Wasio na hatia pay the ultimate price- their lives.

Bongo bila traffic ni fungulia mbwa.
 
Polisi hawajawahi zuia ajali....

Polisi wajiwekeze kwenye technolojia, waweke Camera na Speed Radars, mapato yataongezeka maradufu maana utawekewa angalizo na usipotii camera zitanasa gari lako na kukubill...
Waanze pilot study kwa Jiji la Dsm, wilaya 1 tu, afu ndo wasambazo nchi nzima...
 
Hizi ajali zote zinazotokea Trafiki hawakutosha? Suluhisho la ajali barabarani ni mwendokasi kuwe na vidhibiti mwendo au abiria wawe wanamdhibiti dereva. Pia barabara ziwe angalau na upana unaotosha na sio kujaza trafiki.
Kwenye ubora wa magari na matairi, magari mengi yamezingatia...
Tatizo ni miundo mbinu, barabara zinaviraka sana, nyingine unakuta zimetobolewa tayari
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Trafiki polisi Tanzania ni kero kubwa. Lakini hii haihalalishi mwanasiasa mzee aliyekwisha kaa kwenye uongozi mpaka akapitiliza muda wake, na ambaye ni mmoja ya watu waliotengeneza hilo tatizo, kujaribu kutoa solution kwa tamko la jukwaani. Haya mambo yafanyike kitaalam!

Haikatazwi kutoa maoni
We umetoa maoni nayeye ametoa maoni.
 
Nani kaongea hoja ya kipumbavu kiasi hicho? Kwamba police watoke barabarani? Hivi wanajua wanachokiongelea? Madereva wapuuzi kabisa anaendesha gari anasinzia kumbe katoka bar saa 11, afu saa 12 ndo dereva anae tegemewa.

Kuna siku moja nilikuwa nasafiri, yule traffic hadi leo namkumbuka. Alitusalimia baadae akamuendea dereva na kile kidude chao cha kupima walevi, akamwambia, endesha mwendo wa kawaida, wewe una watoto? Una wazazi? Una ndugu wanakutegemea? Basi kama ndio na hizi ni siku za sikukuu fata nilicho kwambia.

Tulifika kwa kuchelewa ila salama.
Nadhani huu ni utani police hata hizi daladala zitatumaliza. Jitu linakuwa mwendo kasi na alijafunga mkanda akimuona askari unaona kapunguza mwendo na kufunga mkanda.

Hi imenikera wasokuwa na lesen watajaa barabarani eeh Mungu tunusuru.
Hujaelewa, hawajasema wondoke, alimaanisha polisi wamezidi, kutoka Kawe hadi KKOO unakutana na Polisi mara 6

Huko Iringa ni hatari
 
Inawezeka wewe Ndio mwenye IQ ndogo , sio kweli kwamba 90% ajali ni uzemba wa madereva bali madereva wamekuwa wakisingiziwa ukweli ni kwamba barabara ninyembaza sana magari ni mengisana barabara njia moja pia ubora wa baraba pamoja kuwa nyembamba magari yanapisha kwa ovartake badala ya magari yanakwende kupita kwenye njia zake na magari ya kurudi kupita kwenye njia zake bila kupita njia moja. Kwakifupi 90% ni uzembe wa serekali kukusanya kodi kubwa kwenye magari mafuta bila kujenga barabara za kutosha, kama kungekua na barabara zinazoendana na wingi wa magari ajali zisingekuwepo na hawa usalama barabara automatically wapotea kutana wingi wa barabara za njia moja. Matrafic ni wasumbufu sana barabaraba sio kweli kwamba wanazua ajali zaidi kukusanya pesa ifike muda vioongozi wakisiasa wajiuzulu kwakushindwa kujenga barabara zinazokwenda na wakati siokuzingizia maderevaView attachment 2308580
Mkuu hili swala nilishawahi kulianzishia na ka Uzi kabisa humu
 
Kila siku wanazika watu, wanalemaa, ukienda hospitalini majeruhi wa ajali wamejaa, nchi ambayo Dereva amebeba roho za watu zaidi ya 50 anakuja asubuhi kuanza safari amelewa tayari.

Kiongozi wao anasema Polisi waondoke barabarani kwamba wanagasi madereva, swali ni kwamba and it’s rhetorical, je, Polisi huwa anakuonea akikumata au ni kweli unakuwa na kosa?

90% ya ajali Tanzania ni uzembe wa madereva au kutokufwata Sheria za barabarani, kwa nchi kama Tanzania ile tu kujua kwamba kuna Polisi barabarani kunaokoa maisha ya watu wengi tu, lkn leo hii some psychopaths wanaondoa Polisi na anasifiwa, lkn yeye ajali hazimhusu kwani ana msafara kila mahali.

Jamii yenye low IQ ni ile isiyoweza kujifunza na kurudia makosa yale yale kila siku, mpaka siku lori au basi linaloendeshwa na Mlevi limalize familia yako yote mkiwa njiani kwenda Xmas labda akili itawajia waliobakia, …
Tangu hilo tamko litoke ndio nasoma post ya mtu anaefikiri zaidi ya urefu wa pua. Watz wana unafiki sana. Mtu anaendeshwa na msafara unaopita wrong side,asiejali watumiaji wengine analalamika wingi wa trafiki, huyu hawatakii mema
 
Conl Kinana ana haki ya kutoa maoni yake baada ya kusikia kero za Barabarani. Alitakiwa ajibiwe kisayansi sio kisanii.
Tatizo ni Sheria za Barabarani kuwa nyingi lakini pia mahakama zetu nazo Kuna wakati zinachelewesha kesi .

Kuna wakati mtu hataki kuandikiwa faini mpaka mahakamani. Sasa mziki wake unakua ni wa kupotezeana muda na taratibu mara za kukaa kizuizini n.k.

Wanadili Sheria TU na faini ziwe ndogo. Kila kosa liwe na kiwango chake Cha faini. Faini iwe Elfu kumi kama bodaboda. Na iwe askari akimkamata mtu amhudumie Kwa haraka na asiyetoa ushirikiano na Polisi wakati wa kuandika faini basi afikishwe mahakamani.
Hii itapunguza rushwa. Na pesa nyingi zitaingia Serikalini.

Lakini pia miundo mbinu inachangia sana ajali

Hivi Kwa mfano Kwa Nini pasiwe na Barabara inayekwenda Arusha au Kigoma Kwa sambamba na reli. Hiyo iwe ni Kwa ajili ya magari madogo na malori.
Kwanza Haina Kona nyingi na milima.
Polisi watoke njiani

Camera na Speed Radar ziongezwe

Mfumo wa usajili magari, namba ya mwenye gari iwepo ili Speed Radar ikidaka overspeed, mwenye gari anatumiwa details ie location, control number

Faini ya overspeed iwe kubwa watu wataheshimu sheria tu, hapo hawatakuwa na njia ya bargain maana hajadakwa na mtu
 
Kwani wabongo wanatofauti gani raia wa nchi zingine?

Hutujui wabongo sio? Wabongo hatuendi bila fimbo waafrika kwa ujumla esp watanganyika.

Ustaarabu, utaratibu, kufuata sheria bila shurti sio utamaduni wetu ipo wazi wala tusiume maneno.

Hii ishu ita-backfire tu huwezi mpa mbongo uhuru asikufurahishe.
 
Hoja ya msingi hapa iwe kupanua barabara na askari watimize wajibu wao.

Ninapoishi kabla jpm hajafariki, watu walikuwa wametangaziwa wote wenye maduka ambayo yako eneo la barabara wasilipe kodi ya zaidi ya miezi 3 maana barabara ilibidi ipanuliwe mwezi wa sita 2021.

Wapuuzi hao wenye biashara zao maduka yao yako eneo la barabara walifurahi sana kusikia msiba ule. Wengine niliona wakifurahi kabisa eti hawaondoki tena.

Serikali nasikia wamewaambia waendelee barabara haipanuliwi tena.

Matokeo yake kila siku ya Mungu hii barabara lazima ichinje hasa zile gari zinazotoka stend saa 12 za mikoani , barabara ni ndogo sana. Bus kubwa kupisha ni kwa shida sana.

Rip jpm wetu kila siku tunakukumbuka.
Polisi hawana msaada, ziwekwe speed radars, camera hii itasaidia sana maana watu watafata sheria, faini kwa speeding iwe kubwa hata 100,000 na hapo utaletewa tu taarifa yenye control number ambapo utapewa siku za kulipa.

Speed radars auto ni ngumu kwa mtu kuanza lia apunguziwe
 
Ajali za barabarani Tanzania zinachangiwa zaidi na hali ya miondombinu ya barabarani.
Tunahitaji double roads.
 
Back
Top Bottom