Lowassa aliwezaje kumvumilia Nape bila kumtamkia jambo hadi anafariki? Nape aliwezaje kutokuomba radhi hadi Lowassa amefariki?

Jamani hadi leo mnamjadili nape?
Huyu ni domo kaya ila kichwani zero!
Ni mtu asiye na tija kwa Taifa!
 
Wenzake wote waliotamka hayo walishatangulia mbele za haki, lakini naye Nape hajui kesho yake tusubiri Mungu atamlipa nini
Siku MDH wakisitisha dose tu baba jane
 
Huyo ambaye hakuwa wa majaribio, tingatinga, mzee wa kazi… mbona alitangulia kabla yake aliyemuita mgonjwa?

Kama wanasiasa hawajajifunza kuweka akiba ya maneno kupitia hili basi.
 
Ni zamu yake sasa kwenda na yeye kujisaidia nyumbani kwa Lowasa... ( Kujisaidia kwa tafsiri yako unayesoma hapa)
 
Lowassa angekuwa rais, wanaccm wote wangemuomba msamaha hata kama wangekuwa hawajamtukana. Kuna namna wanaccm wametokea kuabudu madaraka na wenye madaraka ili watoke kimaisha. Na kadiri siku zinavosogea, huko ccm kiwango Cha uchawa kinazidi kuongezeka Hadi unashindwa kujua kama kiongozi anafanya vizuri ama la.
 

Yamepita kivipi, na ww utaruka na nani, ww kama nani labda?
 
Nepi ni mtoto haram...wale hawana malezi watoto kuokoteza kila kitu....hivyo hakuna kumlaumu ni makuzi ...kuokota okota.....haram kabisa
 
Msikilize alivyokosa utu alivyommwagia Marehemu Lowasa matusi na kejeli
Mfukuzeni kwenye msiba , hizi siyo siasa hata kidogo



View: https://twitter.com/lifeofmshaba/status/1756595193858388476?t=spL6CAk93UF-2fZdeXA9Sg&s=03
That's too bad..

Sijui huyu Nape anajisikiaje anapojitazama na kujisikiliza sasa kwenye hili.?

Natumai atakuwa amegundua kosa lake, akalijutia na kutubu..

Kama bado, basi aikumbe hii kanuni muhimu ya maisha isemayo;

"... for every action, there's equal and opposite reaction..."

Tafsiri na maana yake isiyo rasmi:

Kwamba, kila tendo (jema au baya) mtu mmoja amtendeaye mwingine au kauli (nzuri au baya) aitamkayo mtu kwa mwingine, basi kwa namna hiyo hiyo alivyofanya au kutamka ndivyo itakavyokuwa kwake kwa wakati na majira yake yafikapo..
 
Katika wanadamu wajinga huyo jamaa namuweka namba moja. Huwa hapimi kauli zake. Nakumbuka issue ya wizi wa bando alitoa jibu la aibu sana
 

Lowassa ni mzungu mweusi, hawez kuweka small things

Yule mwamba alikuwa na maturity , ni mtu sana na hanaga chuki
Niliwahi mara kadhaa kwenda kwake,hata watoto zake ni disminder

Very pure heart man

Chuki ni nyie wapwani wacheza ngoma
Kaskazin hatunaga majungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…