Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Very deep down, kila mtu ni mbinafsi by nature na anaangalia maslahi yake kwanza na familia yake. Tofauti tu ni kwamba wanasiasa wanafanya openly bila aibuLowasa ni mchumia tumbo asiyeshiba wala kutosheka, yeye anelekea kule harufu ya pilau iko.
Bado Mbowe akishindwa ubunge anarudi Ccm.Ndiyo rangi halisi ya ma CCM
Mnalipwa kiasi gani kwa siku sikuhizi?Bado Mbowe akishindwa ubunge anarudi Ccm.
Ahaaa, ahaaa,nani alikudanganya? Na hayo yanatoka wapi?Mnalipwa kiasi gani kwa siku sikuhizi?
Huyo fisadi ndio makamanda walitaka awe rais wetuAnashangaa fisadi anakumbatiwa na ccm
Kesha pona ugonjwa wake wa kujinyeaHuyu mzee ni bora anyamaze ajilie zake pension huko! Cdm ilimsitiri sana!
Watu wengine watatu watarudi CCM uchaguzi ukiisha nao ni Lisu,Zitto kabwe na Maalim Seif.Bado Mbowe akishindwa ubunge anarudi Ccm.
InakujaHakuna serikali za majimbo nchi hii
Lowassa anazuga tu anaipenda CHADEMA Sana ,yupo CCM lakin moyo upo CHADEMA, hata wakati wa kurudi nyumbani aliwashukuru Sana chadema ,Ndiyo rangi halisi ya ma CCM
Miaka 5, tena mpaka hivi sasa tumeishi na tunaishi maisha magumu, tunahitaj mabadilikoHaiwezi kutokea
Chadema ilimstiri au yeye ndie aliwastri chadema?
Baada ya kula pesa yake ndio mnamtukana subirini majibu ya Yale mafuriko yake aliyorudi nayo CCM tarehe 28 OctoberAliwasiri kivipi chadema? Alivyokuwa anaharibu, nani alikuwa akimpa mapampasi...!? Huyo si mtu wa kusitir..!?
Soma, soma tena kwa utaratibu ndipo utakapo muelewa huyo mzee anasema nini! Taabu yenu ni kuwa ulisha funga akili yako kwa mambo wanayosema wa upande huo, wewe unataka kusoma na kusikiliza ya upande wako/huu tu! Hiyo mentality itakudumaza.Aliyemuelewa huyu mzee afafanue kwa kirefu alichoongea 😃😃