Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,042
- 19,787
Umeona eeeeh
Kabisaa...kuna watu hata walimkataa Yesu, baadae walikiri...Lowassa ndio mpango wa Mungu wa mbinguni...!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona eeeeh
Ndo nmetoka kanisani, Mimi sio muhuni kama unavojiona wala hayo uyasemayo siyajuiMkuu vip? mbona mada yako haieleweki? umepiga kitu cha Arusha au cha Mbeya!!
team fisadi at work...ukawa wamesemaje!? wapi!? nani kasema na kasema nini!? unawaza tumbo tu!
CHADEMA wakimchukua Lowassa watajivua nguo hadi aibu
Siko tayari KUISHI KWA MATUMAINI KTK HIYO SAFARI YENU, usinijumuishe TAFADHARI.Nashukuru kutunanga, whatever u like, say it all.... mtabakia mnalipwaaa...!!!
Days are coming, UTAKUWA KTK SAFARI YA MATUMAINI... nakuombea heri na baraka tele duniani, Tunaelekea Canan, so jiunge nasi, tutakuacha...!!!
Thubutu!! Sinunuliki.Hiki kirusi cha njaa naona kinabeba watized wengi sasa! Naona mleta mada nawe ushaathirika hatimaye! duh, eeh mola tuepushe na hili janga!
Taarifa Yake ameitoa kwenye gazeti la jambo Leo
Thubutu!! Sinunuliki.
Nataka kuwaambia wana Chadema na hata UKAWA pia,kumbukumbu zangu zinaonyesha Chadema ni chama kinachochukia Ufisadi haijapata kutokea.Hivyo hakuna namna ya kumu-accomodate Lowasa ndani ya CHADEMA.Niwakumbushe kauli ya Mwenyekiti Mh.A.Mbowe kuwa Lowasa kwenye kukemea ufisadi ni Bubu.Vilevile Katibu Mkuu Dr.Slaa mbali na kumuweka Lowasa kwenye List of Shame amesisitiza kuwa Watanzania wanahitaji Safari ya Uhakika na sio ya Matumaini.Hivyo basi kwa wana Chadema wanaomtaka Lowasa nawashauri watangulie ACT Tanzania atawakuta huko.TAHADHARI:Kama Chadema mtamsafisha Lowasa mjiandae kwenda na Maji,na kabla ya hapo mmeze kwanza matapishi ya List of Shame.c.c Mungi, Crashwise, MWANAKIjiji
umeleta habari kishabiki sana,as if Ukawa wanamtaka Lowasa awe mgombea wao,kumbe sivyoTuombe Mungu hayo yasitokee
Nasikitka kwa jambo hili . Soma mtanzania gazeti la leo .Mbowe amesema kuwa Anaona kama CCM wanamwamini sana Lowassa akasema UKAWA wanamsubiri ulingoni wao hawamhofii ni cha mtoto tu na hatamweza mgombea wa ukawa kwani kocha wa yanga akisema nawataka simba hata kesho maana yake simba ije kuwachezea mechi? hata kama tunaishi bara kiswahili si kigumu hivyo