Lucas Mwashambwa toa maoni yako kuhusu kauli ya Rais Paul Kagame

Nimefika na kumaliza madarasa yote hapa Nchini kuanzia chini hadi juu wanakoshindwa kufika watu wengi.
Ila mimi sijaongea kisiasa kama wewe unavyoongea kwa kujilinganisha na jumuiya ya kitanzania unaposema wengi hawajafika. Je una data and statistics za ku prove point yako malafyale?
 
Lucas Mwashambwa kwa kweli umesahau wajibu wako. Sijaona sehemu umesifia watanzania walivyoupiga mwingi wakiwa Korea. Hijaongelea ule mkutano wa wakorea wanne na watanzania lukuki huku kukiwa na Lulu yule aliyekua na kesi ya mauaji na wasanii wenzake.
Hebu tupe taarifa kwa undani.
 
Ila mimi sijaongea kisiasa kama wewe unavyoongea kwa kujilinganisha na jumuiya ya kitanzania unaposema wengi hawajafika. Je una data and statistics za ku prove point yako malafyale?
Ndio ninazo na zipo wazi kabisa kwa yeyote ambaye akizitaka.
 
Haka kazee Kapuuzi Puppet wa wazungu wanakatumia kufanya machafuko DRC Congo Ili waibe madini, alafu kampuni ya Total ilimtumia kupeleka wanajeshi wake Msumbiji kakafeli.
 
"If the owners of the natural resources go around begging, then you should know there's something wrong with their minds”

View attachment 3009379
Mwashambwa yaani tafsiri yake ni kwamba anashangaa kuona nchi yenye rasilimali nyingi kama tanzania kwenda kuombaomba kwa wazugu na kwamba lazima kuna tatizo kwenye vichwa vya viongozi wa CCM
 
Umesahau lile neno lako pendwa "mama anaupiga mwingi"
 
Kuna Raisi mmoja Alishawahi kusema "uchumi mnao ila mmeukalia", mkadhani anawatukana.
 
Yule mtutsi itakuwa tumemkanda mahali si bure, na sasa tuongeze majeshi yetu yakawakumue zaidi M23 watokomee kwao Rwanda na wakija bongo tuwadake tuwakabidhi kwa serikali ya Congo DRC.

Ni hatari mno kuruhusu waasi wa Congo toka Rwanda kumiliki sehemu ya Congo maana wakitamalaki huko Goma lazima watatest mitambo bongo.

Sisi bongo hatuombi tunakopa na uwezo tunao tunalipa, mtutsi anajitekenya na kucheka mwenyewe. Hayo ni aina tu ya mayowe ya mkosaji.

Mama Sa100 mbele kwa mbele
 
Acha ujinga wako wewe. kwa hiyo unafikiri kuna pesa zinazogawiwa kama njugu huko Duniani ?
Mimi niwe "mjinga" wewe utakuwa nini? Kwanza tayari wewe ni chizi, hata kwenye ujinga humo.

Hapo unaposema "pesa zinazogawiwa", umesoma popote nilikoeleza hivyo? Wewe unachojuwa ni pesa tu basi! Wigo wa elimu mnayopata inawanyima uwezo wa kutumia akili alizowapa muumba wenu. Hasa wewe ni kiazi kweli kweli.
 
Acha dharau zako wewe. Mimi nimepiga shule sana na nilikuwa kinara wa kuongea kizunguu kwenye mijadala shuleni mpaka wanafunzi wanashangilia kwa kelele za shangwe huku wanabubujikwa na machozi ya furaha.
Kuongea na kuandika ni vitu viwili tifauti, tuwekee audio kuthibitisha hayo unayoyasema au ungeandika kwa kithungu ukijibu comment yake, ukweli ni kwamba umepitia darasani lkn haukuelimika na yawezekana ukawa masters degree.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…