Mweleze kabisa huyo MATAGA. Kwisha Habari zao. Mwambie tuko na MATHA tu. Tanzania imerudi kuwa nchi na siyo kisiwa cha Udikteta.Unaambiwa sasa hivi hata tukichelewa kurudi nyumbani usiku hatupigiwi simu kuulizwa kama tumetekwa , umeelewa nini ?
Ni lalamike kwa kipi mkuu?Mkuu Yani unavyolalamika nimecheka sana,
Kwa Sasa uchaguzi kwetu sio kipaumbele kwetu ,yapo Mambo ya msingi Sana kwa Sasa kulikochaguzi ,tutashiriki chaguzi mda mhafaka na kwa wakati muhafaka,
nyinyi ndio wenye ushawishi,mmeshindwa hata kumchallenge aachie uenyekiti!!!!mna ushawishi wa kitu gani hapo??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Eti kuongea na Mungu,
Hivi kilichofanya msishiriki uchaguzi mdogo wa jimbo la kule kigoma ni kitu gani wakati mlishaongea na mungu wenu akampeleka huyo ibilisi wenu motoni?
Kwa sasa hivi ndiyo wanapata mateso ya mbwa koko.Muda unaenda kasi sana! Wale wapambe wa kusifia kulikozidi kuabudu na misamiati yao ya kishamba naona sasa wanapukutika utadhani mbelewele za Mtama wa Kongwa.
Eti Tunampambania, anatupambania! Too low! Hivi mtu anayetekeleza majukumu yake na analipwa pesa ndefu na nyingine anabeba na kugawa barabarani huyo anakupambania nini? Hivi mtakuwa watu duni hadi lini wanafiki nyie! bora mmetoweka wenyewe, mlikuwa mnatia aibu sana!
Kwa taarifa yako mikutano ya Lisu ya kampeni tuliiona, na idadi iliyojitokeza hata dhalimu na genge lake hawakutegemea, ndio maana wakanajisi matokeo ya uchaguzi kwa kiwango cha juu, huku wakipika idadi ya wapiga kura waziwazi. Mwitikio alioupata Lisu ulichangia ugonjwa wa moyo wa dhalimu kupanda, ndio maana akawa garage kila mara wakati wa kampeni. Na hata baada ya matokeo kutoka, bado ibilisi alipoteza furaha yake, kwani matokeo ya kweli aliyajua, na kuwa watanzania wengi walikuwa hawampendi yeye binafsi na chama chake, pia aliufahamu vyema.Hata Lisu alipokuwa kwa amsterdam ubelgji alikuwa na nawazo kama haya, alipofika field akaishia kusingizia kwamba anataka kutekwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na bado sanaNaona bado unaendelea kupambana na mzimu wa Mwenda zake.
Hili liwe fundisho kwa waliosaliaTuwasamehe bure kwani hawakujua waliyekuwa wanampambani ni binadamu kama wao.
Amualo Mwenyezi Mungu halipingiki popote
Sasa ukitegemea Lissu asipate watu kabisa?Kwa taarifa yako mikutano ya Lisu ya kampeni tuliiona, na idadi iliyojitokeza hata dhalimu na genge lake hawakutegemea, ndio maana wakanajisi matokeo ya uchaguzi kwa kiwango cha juu, huku wakipika idadi ya wapiga kura waziwazi. Mwitikio alioupata Lisu ulichangia ugonjwa wa moyo wa dhalimu kupanda, ndio maana akawa garage kila mara wakati wa kampeni. Na hata baada ya matokeo kutoka, bado ibilisi alipoteza furaha yake, kwani matokeo ya kweli aliyajua, na kuwa watanzania wengi walikuwa hawampendi yeye binafsi na chama chake, pia aliufahamu vyema.
Kitendo cha Lisu kupata uungwaji mkono kilimuudhi sana yule shetani, hadi akaagiza atekwe maana ilimuwia vigumu kuishi na adui yake aliyekubalika kuliko yeye. Hatimaye Mungu akamuondoa muovu na kumuacha Lisu akiwa mzima.
Wewe acha kutukumbusha ya kayafa. Kafa, kazikwa kaoza na sasa anaungua jehanamu. Soon naenda kukojolea kaburi lake.Fikiria mpaka sasa hivi hakuna la maana mnalofanya zaidi ya kupambana na marehemu!
Kama iliyo kichwani mwako?Ila lile Dubwana la Chato sijui kwa nini lilishindwa kuwaweka wazi kuwa moyo wake una mifunza
Kwanini usikojolee pale kwa mazaako kabisa?Wewe acha kutukumbusha ya kayafa. Kafa, kazikwa kaoza na sasa anaungua jehanamu. Soon naenda kukojolea kaburi lake.
ππππ Mkuu Sina mbavuKwa sasa hivi ndiyo wanapata mateso ya mbwa koko.
Hamna hoja mkuu!! Umeandika ujinga tupu!Unaambiwa sasa hivi hata tukichelewa kurudi nyumbani usiku hatupigiwi simu kuulizwa kama tumetekwa , umeelewa nini ?
Mtama wa Kongwa.
Achana na ushabiki usiokuwa na maana. Angalia maisha yako yame improve kwa kiasi gani tangu JPM aondoke. wenzio wamepewa ma benz na nyumbaMuda unaenda kasi sana! Wale wapambe wa kusifia kulikozidi kuabudu na misamiati yao ya kishamba naona sasa wanapukutika utadhani mbelewele za Mtama wa Kongwa.
Eti Tunampambania, anatupambania! Too low! Hivi mtu anayetekeleza majukumu yake na analipwa pesa ndefu na nyingine anabeba na kugawa barabarani huyo anakupambania nini? Hivi mtakuwa watu duni hadi lini wanafiki nyie! bora mmetoweka wenyewe, mlikuwa mnatia aibu sana!
Wewe je? Maisha yako yapojeHawa jamaa wana wakati mgumu sana hivi sasa.
Achana nalo Hilo halijielewiUtapanic sana na bado!
Wewe na wao mwenye wakati mgumu nani. Mtu kachaguliwa ubunge anapata mil 11 na marupurupu kibao unasema ana wakati mgumu, jinga kabisa.Hawa jamaa wana wakati mgumu sana hivi sasa.