Kwa taarifa yako mikutano ya Lisu ya kampeni tuliiona, na idadi iliyojitokeza hata dhalimu na genge lake hawakutegemea, ndio maana wakanajisi matokeo ya uchaguzi kwa kiwango cha juu, huku wakipika idadi ya wapiga kura waziwazi. Mwitikio alioupata Lisu ulichangia ugonjwa wa moyo wa dhalimu kupanda, ndio maana akawa garage kila mara wakati wa kampeni. Na hata baada ya matokeo kutoka, bado ibilisi alipoteza furaha yake, kwani matokeo ya kweli aliyajua, na kuwa watanzania wengi walikuwa hawampendi yeye binafsi na chama chake, pia aliufahamu vyema.
Kitendo cha Lisu kupata uungwaji mkono kilimuudhi sana yule shetani, hadi akaagiza atekwe maana ilimuwia vigumu kuishi na adui yake aliyekubalika kuliko yeye. Hatimaye Mungu akamuondoa muovu na kumuacha Lisu akiwa mzima.