Lugha za wasakatonge wa awamu ya 5 zilizoyeyuka mithili ya theluji wakati wa kiangazi

Lugha za wasakatonge wa awamu ya 5 zilizoyeyuka mithili ya theluji wakati wa kiangazi

Unaambiwa sasa hivi hata tukichelewa kurudi nyumbani usiku hatupigiwi simu kuulizwa kama tumetekwa , umeelewa nini ?
Mweleze kabisa huyo MATAGA. Kwisha Habari zao. Mwambie tuko na MATHA tu. Tanzania imerudi kuwa nchi na siyo kisiwa cha Udikteta.
 
Mkuu Yani unavyolalamika nimecheka sana,
Kwa Sasa uchaguzi kwetu sio kipaumbele kwetu ,yapo Mambo ya msingi Sana kwa Sasa kulikochaguzi ,tutashiriki chaguzi mda mhafaka na kwa wakati muhafaka,
Ni lalamike kwa kipi mkuu?

Nilalamike kwani kuna ktu gani nmekosa? Hii ndio ccm mkuu, kuna wakati unajiunga nasi kuisifu kama hivi, na kuna wakati unaanza kujutia tena..

Kaa kwa kutulia utafurahia tu show ya maza
 
nyinyi ndio wenye ushawishi,mmeshindwa hata kumchallenge aachie uenyekiti!!!!mna ushawishi wa kitu gani hapo??

Kwanza mimi sio muumini wa kiongozi yoyote wa kuchaguliwa kukaa madarakani zaidi ya miaka 10. Hili haijalishi kuwa ni Rais, mbunge, kiongozi yoyote wa chama ama Mbowe in specific. Na misimamo yangu kuhusu hili iko wazi hapa jukwaani. Sitaki Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm zaidi ya miaka 10, sio kwa hizo sababu za kiccm za kufuata mkumbo, bali utafiti wangu unaonyesha kiongozi huisha ubora wake baada ya miaka 10 akiwa kwenye nafasi 1, na mifano halisi ya huko ninayo.

Kuwa na ushawishi sio lazima uwe ni ushawishi wa kumtoa kwenye nafasi yake iwapo wengi wanamchagua kwa hiari yao, isitoshe ushawishi wangu sio kutaka atolewe. Kama unataka Mbowe atolewe kwenye hiyo nafasi yake, washauri wanaccm wenzako mchukue kadi za cdm muingie kwenye vikao vya maamuzi ili mumtoe, simple as that.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Eti kuongea na Mungu,

Hivi kilichofanya msishiriki uchaguzi mdogo wa jimbo la kule kigoma ni kitu gani wakati mlishaongea na mungu wenu akampeleka huyo ibilisi wenu motoni?

Bado tunaongea na Mungu wetu aandoe na mifumo yote inayoruhusu maibilisi kuchezea kura zetu. Hivyo hatuko tayari kushiriki maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Muda unaenda kasi sana! Wale wapambe wa kusifia kulikozidi kuabudu na misamiati yao ya kishamba naona sasa wanapukutika utadhani mbelewele za Mtama wa Kongwa.

Eti Tunampambania, anatupambania! Too low! Hivi mtu anayetekeleza majukumu yake na analipwa pesa ndefu na nyingine anabeba na kugawa barabarani huyo anakupambania nini? Hivi mtakuwa watu duni hadi lini wanafiki nyie! bora mmetoweka wenyewe, mlikuwa mnatia aibu sana!

Kwa sasa hivi ndiyo wanapata mateso ya mbwa koko.
 
Ila lile Dubwana la Chato sijui kwa nini lilishindwa kuwaweka wazi kuwa moyo wake una mifunza
 
Hata Lisu alipokuwa kwa amsterdam ubelgji alikuwa na nawazo kama haya, alipofika field akaishia kusingizia kwamba anataka kutekwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa taarifa yako mikutano ya Lisu ya kampeni tuliiona, na idadi iliyojitokeza hata dhalimu na genge lake hawakutegemea, ndio maana wakanajisi matokeo ya uchaguzi kwa kiwango cha juu, huku wakipika idadi ya wapiga kura waziwazi. Mwitikio alioupata Lisu ulichangia ugonjwa wa moyo wa dhalimu kupanda, ndio maana akawa garage kila mara wakati wa kampeni. Na hata baada ya matokeo kutoka, bado ibilisi alipoteza furaha yake, kwani matokeo ya kweli aliyajua, na kuwa watanzania wengi walikuwa hawampendi yeye binafsi na chama chake, pia aliufahamu vyema.

Kitendo cha Lisu kupata uungwaji mkono kilimuudhi sana yule shetani, hadi akaagiza atekwe maana ilimuwia vigumu kuishi na adui yake aliyekubalika kuliko yeye. Hatimaye Mungu akamuondoa muovu na kumuacha Lisu akiwa mzima.
 
Sasa ukitegemea Lissu asipate watu kabisa?

Mbona Magufuli alipofariki kuna maelfu ya watu walijipanga barabarani na kumsindikiza huku nyie mkisema alikuwa anachukiwa?

Kupata watu kwenye mikutano ni kitu kingine na kushinda ni kitu kingine.
 
Mtama wa Kongwa.

Hahahaaa namwona mtu anakasirika ati yeye ndiye anasemwa kwa kila jambo
1620906830338.png
 
Muda unaenda kasi sana! Wale wapambe wa kusifia kulikozidi kuabudu na misamiati yao ya kishamba naona sasa wanapukutika utadhani mbelewele za Mtama wa Kongwa.

Eti Tunampambania, anatupambania! Too low! Hivi mtu anayetekeleza majukumu yake na analipwa pesa ndefu na nyingine anabeba na kugawa barabarani huyo anakupambania nini? Hivi mtakuwa watu duni hadi lini wanafiki nyie! bora mmetoweka wenyewe, mlikuwa mnatia aibu sana!

Achana na ushabiki usiokuwa na maana. Angalia maisha yako yame improve kwa kiasi gani tangu JPM aondoke. wenzio wamepewa ma benz na nyumba
 
Hawa jamaa wana wakati mgumu sana hivi sasa.
Wewe na wao mwenye wakati mgumu nani. Mtu kachaguliwa ubunge anapata mil 11 na marupurupu kibao unasema ana wakati mgumu, jinga kabisa.
 
Back
Top Bottom