Luhaga Mpina awekewe ulinzi iwapo kweli tuna maana ya kupiga vita ufisadi!

Mbali na ujinga wako, nchi haitasimama' nchi ni kama kokolo,

Wavua samaki wanajua, kokolo huwa linakokota kila aina ya uchafu

Sikushangai wewe maana uko ndani ya kokolo
 
Ma CHAWA kama wew ni mzigo kwa Taifa la kesho
 
Ma CHAWA kama wew ni mzigo kwa Taifa la kesho
Na wewe uko ndani ya kokolo, kokolo halibakishi kitu, mpaka mizoga ya kambale linabeba,

Kokolo ni sawa na ilivyo nchi, wajinga nao wamo na inabidi twende nao tu!
 
Itapendeza sana mkianza kutajana !!
 
Mbali na ujinga wako, nchi haitasimama' nchi ni kama kokolo,

Wavua samaki wanajua, kokolo huwa linakokota kila aina ya uchafu

Sikushangai wewe maana uko ndani ya kokolo
Makokolo ni wale waliokuwa wakiamini kauli za lile marehemu katili,lilikuwa jizi,litesaji katili,liuwaji na liongo lilokuwa likipenda sifa hadi kuzindua upya miradi iliyoachwa na Kikwete ili lionekane lenyewe ndio limefanya alifanya hivyo kwenye mwendokasi,alifanya hivyo kule Rukwa kwenye barabara na akajifanya yeye ndiye Mungu na kuanza kuhoji eti bila yeye ndege zitakuwaje,sijui SGR itakuwaje hadi Kikwete akampiga kijembe kimoja kitakatifu kwamba asijimwambafy likaja juu.
Sasa limekufa na nchi inasonga mbele bila kudhurika mtu kwa kweli lilikuwa jitu la ovyo sana ni mapunguani wenzake ndio walimudu kufanya kazi naye kama huyo Mpina.
 
ni mtu anayejitahidi sana na kutuaminisha. ila nikikumbuka kuwa anatoka kwa kina magufuli, sitaki kumuamini, hatutakiwi kufanya tena makosa watanzania. tunatakiwa kuwa tumejifunza kutokana na makosa.
 

Wakati wa dhalimu alikuwa upande wa kuumiza kila mpiga kelele wa wizi wa awamu ile, sasa hivi anavuna matunda ya siasa za kikatili alizoshiriki kuzipandikiza. Acha wamuue hakuna mtu ana muda wa kutetea hao sukuma gang, kwani wao ndio sehemu ya utawala mchafu wa awamu ya dhalimu. Apambane na hali yake.
 
Mbwa wewe acha ujinga wako!
 

Pumbavu kabisa huyo Mpina, anadhani hatumjui kwa tabia, kipindi cha utawala wa dhalimu alikuwa anafanya siasa za kuumiza watu, saa hii anajifanya mzalendo, wakati analeta nongwa kwa kukosa ulaji. Atawachota wajinga wasiojua lolote. Rangi yake halisi tuliiona wakati wa utawala wa kidhalimu wa Magufuli.
 
Mdogo mdogo utachizika tu
 
Tokea kipindi hiko bado hujawa timamu, milembe bado inakuhusu
 
Mdogo mdogo utachizika tu
Kama sukuma gang mnategemea Kupata support tena ya watu basi mmechemsha. Kwa ule ukhanithi mlifanya kipindi cha dhalimu mtasubiri sana. Tajeni wezi wa sasa mtakavyo, lakini hatuna hamu na nyie.
 
Kama sukuma gang mnategemea Kupata support tena ya watu basi mmechemsha. Kwa ule ukhanithi mlifanya kipindi cha dhalimu mtasubiri sana. Tajeni wezi wa sasa mtakavyo, lakini hatuna hamu na nyie.
kipindi kile msukuma yeyote ukikutana naye alikuwa anajifanya TISS, na alijua nchi hii ni yao tu. aisee, mimi sitaki kushabikia ukabila ila tuwe makini na aina za watu fulani.hadi tumeonekana kituko dunia nzima. wasubiri kwanza tuwaweke kwenye uangalizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…