Luhaga Mpina awekewe ulinzi iwapo kweli tuna maana ya kupiga vita ufisadi!

Hek 1000 wapi umesikia haruhusiwi kumiliki? Tunanza kwa hesabu
Mshahara wake wa ubunge
Kazi zake nje ya ubunge

Je hek 1000 hawezi?
ekar 1000x200000=tsh.200,000,000/= ,ni halali yake kumiliki maana hata mtu wa kawaida anaweza kununua kwa mil.hizo
 
ekari zenye thamani ya mil.200 NI kawaida Sana .
 
Ungekuwa una akili timamu usingedanganywa na mwehu!
Aliyedanganywa ni wewe! Kwa sababu hata unachodhani unamwambia, hawezi kukusikia, zaidi sana unajionyesha tu huna akili na inabidi uzoee, kama fagio lake lilikupitia, huna namna,

Wewe kazana kubweka sasa utadhani unamkomoa aliyelala
 
Ni dhahiri kutokana na andiko hili, wewe ni mshiriki muhimu katika maovu yanayolikumba taifa hili kwasasa.

Ni wazi pia kwamba kati yako na genge lako na Luhaga Mpina, Luhaga Mpina ni bora zaidi katika kupigania maslahi ya nchi hii.
Ushauri kwako ni huu, jiandaeni tu, hamsalimiki safari hii. Mtazolewa tu kama takataka.
 
Ni jambo zuri
 
Sasa hapo kuna lipi la kushangaza mkuu 'zitto junior'?

Huu ni mfano mmoja mzuri sana unaoweza kueleza udhaifu fulani katika misimamo yako kuhusu baadhi ya maswala muhimu.

Kwa hiyo maana yako ni kwamba, kwa vile sasa hana uwaziri, basi hatakiwi kufanya kazi kama mbunge? Anyamaze tu!
Asiwaharibie ambao ni mawaziri sasa hivi?

Niseme tu kwamba pengine "unafiki" unaouzungumzia wewe ni tofauti na unafiki niujuavyo mimi.
 
Hana lolote mzushi huyo amekosa cut yake , akipewa cheo au hela hatutamsikia
 
Wewe unachopinga hapa ni unafiki au unatetea 1.7t kupigwa? Maana hueleweki!
 
Kwa hiyo maana yako ni kwamba, kwa vile sasa hana uwaziri, basi hatakiwi kufanya kazi kama mbunge? Anyamaze tu!
Asiwaharibie ambao ni mawaziri sasa hivi?
Hapana nachosema ni kwamba huyo shida sio kupambana na ufisadi Bali anataka uwaziri akishaupata atakana maneno yake yote.

Nasema hivi maana huko nyuma tuliwahi support kina Bashe ila walipopata uwaziri wote mmeona majibu Yao ya kejeli kwa shida za wananchi maskini.

Mfano huyu Mpina hakuunga mkono katiba mpya enzi za Jiwe ila Kwa Sasa eti ndio amegundua ni ya muhimu kama sio unafiki ni Nini?
 
Aliyedanganywa ni wewe! Kwa sababu hata unachodhani unamwambia, hawezi kukusikia, zaidi sana unajionyesha tu huna akili na inabidi uzoee, kama fagio lake lilikupitia, huna namna,

Wewe kazana kubweka sasa utadhani unamkomoa aliyelala
Kuna kulala huko! Anakula mijeledi kwa kwenda mbele.
 
Wewe unachopinga hapa ni unafiki au unatetea 1.7t kupigwa? Maana hueleweki!
Unafiki wa watu wasio na Nia ya dhati kupambana na ufisadi. Huo mkataba wa SGR ulisainiwa tokea JPM akiwa Rais mbona hakupiga kelele? Kasubiri kafariki ndio anadai Kuna ufisadi? Hawa ni wanafiki tu, sitowahi amini mwana CCM anaweza pigania haki ya maskini. Subiri apate uwaziri nitarudi humu kufukua nyuzi zenu.
 
Chini ya huyu Mama uporaji umetamalaki halafu tunaopigwa ni sisi tunaokatwa tozo na kodi.
Na bado, tutapigwa mpaka tulie meee kama mbuzi. Nyie mlianza kumsifia mapema mkituambia anaupiga mwingi, sasa ngoja tupigwe mwingi na hao waporaji.
 
Tuutathimini kwanza uwazari wake alifanya nini aliaacha legacy gani? Wabongo ni wingi wa fitina Sana, unaweza ona yote hayo ana chuki na mtu
Nimeona
mkuu wa wilaya mwngine anaambiwa hasalimii watu[emoji1787][emoji1787]
Huo wiz ni kwa mujibu wa CAG na sio hoja binafsi ya mpina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…