Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli

Tunaunga mkono hoja wtz wazalendo.hiyo tume ikimaliza ichunguze pia matumizi mabaya ya pesa za umma Kwa yule anayesafiri mara Kwa mara na kupewa vyeti fake.
Mkuu hivi Jiwe na Bashite unajua kuwa walikuwa na vyeti feki. Wajua pia kuwa Jiwe kabla kujifanya Msukuma Wahaya walimkataa,kifupi hata uraia wake ni wa utata
 
Mkuu wewe na Mpina mko na tofauti gani, mbona kama akili zenu ziko sawa?
 
Aisee mpaka huwa nakuona kama Bashite. Je huwa unalipwa au umeamua tu kujivua akili?
 
Ha ha. Naona ujumbe wenu ni mmoja.

Kinacho kuuma ni nini wewe?

Majangili na mawakala wao yana weweseka.

Luhaga Mpina apewe Ulinzi.
Wewe ni mmoja ya wale mnajiita wanyonge na kumuita Jiwe kuwa ni Shujaa wenu
 
Jiwe alitakiwa afe baada ya CCM kufanya makosa. Hata miki ningekuwa mlinziwa wake ningempiga shaba nikozee jera
 
Jiwe alitakiwa afe baada ya CCM kufanya makosa. Hata miki ningekuwa mlinziwa wake ningempiga shaba nikozee jera
Watu hawataki dikteta atajwe kwa yale aliyokuwa anafanya.

Wanataka tuwe na plastic personality.
 
Sidhani kama nafasi za vyama vya upinzani zimeisha. Anzisha chama chako na wewe uwe mpinzani
Hee!
Kwani kuwa mpinzani ni lazima kuwa na chama. Hili sikulijuwa? Mimi sitafuti mamlaka ya kuendesha nchi, ila napingana na yanayofanywa na CCM kwa miaka ya hivi karibuni, na hata hii iliyopo sasa.
Na hivyo vyama vya upinzani vinavyotafuta madaraka ya kutimiza sera zao wakiwa kwenye madaraka sioni hata kimoja kinachokidhi matakwa hayo kwa sasa.
Lakini nasema hivi, nipo tayari kuunga mkono chama chochote kinachoonyesha nia ya dhati ya kuiondoa madarakani CCM, bila ya kujali sera zao nyingine. Sera kuu ni uwezo wa kuiondoa CCM madarakani, basi; mengine yanafuata baadae.
 
Mkuu wewe na Mpina mko na tofauti gani, mbona kama akili zenu ziko sawa?
Hujaeleza "zipo sawa" kwa vipi". Kama zipo sawa, kwani hilo ni kosa?
Tueleze za kwako zikoje kwanza.
Ahaaa. Kumbe zipo hivi:
"...CCM walifanya makosa...."

"Hata mimi ningekuwa mlinzi wake...."

Kwa hiyo CCM hii ya sasa ndiyo iliyoteka akili zako?
 
Aliyekufa kafa...acha aisubiri hukumu itakayotokana na matendo yake aliyoyatenda akiwa hai.
Ya nini kutumia rasilimali za Taifa kuchunguza kifo cha mtu ambaye historia ya afya yake ilishaonesha kuwa siku zake zisingelikuwa nyingi.
 
Magufuli is gone for good(deceased). Hata kama ilikosewa kuwa amefariki huku ukweli akiwa ofisini anachapa kazi! Tujue hatarudi daima milele. Tanzania lazima isonge mbele na waliopo hai.
 
Hujaeleza "zipo sawa" kwa vipi". Kama zipo sawa, kwani hilo ni kosa?
Tueleze za kwako zikoje kwanza.
Ahaaa. Kumbe zipo hivi:
"...CCM walifanya makosa...."

"Hata mimi ningekuwa mlinzi wake...."

Kwa hiyo CCM hii ya sasa ndiyo iliyoteka akili zako?
Mimi na CCM wapi na wapi, watu kama wewe ndiyo huwa nawafananisha na Bashite
 
Mimi na CCM wapi na wapi, watu kama wewe ndiyo huwa nawafananisha na Bashite
Unanikosea heshima sana mkuu 'Allency', juu ya hili; kwani nakufahamu siku zote kuwa tofauti na ulivyonielewa kwenye mada hii.
Utaanzia wapi kunifananisha na Bashite, kwa mfano! Kwa vile tu namwona Luhaga Mpina kuwa tofauti ndani ya CCM sasa hivi?
Rudi nyuma uangalie ni mara ngapi umekubaliana nami humu humu JF kwa kukubali nilichochangia kwenye mada mbalimbali, halafu leo kwa sababu ya Luhaga niwe kama Bashite?
Nasema hivi, mkuu wangu 'Allency', inapohusu ilipotufikisha CCM hii, nipo tayari kukubali lebo yoyote ili mradi nisiwe sehemu ya chama hiki kinachotudidimiza sote.
 



Ukweli ni huu na hautabadilika. Magufuli alipata Covid na alikuwa na matatizo ya moyo ambayo yalifanya awekewe pacemaker. Covid ile ilisababisha mashine ya pacemaker kutokufanya kazi vizuri.


Mpendwa wetu hakutaka kupata chanjo na alijiweka karibu na wadhirika wa Covid akiwa pamoja na katibu wake mkuu ambaye alifariki Dunia kwa tatizo hilo. Hivyo ubishi wake wa ugojwa na kutokufuata maelekezo ya madaktari ndiyo yaliyochangia kwa kiasi kikubwa kumpoteza mpendwa wetu.


Huu ndiyo ukweli mtatunga mengine yote lakini ukweli ndiyo huu hapa
 
Kuna msukumo unaofanya fikra zako zionekane kuwa finyu. Zingekuwa pana na huru ungetambua kuwa kuna ya ziada juu ya yanayosemwa kuwa mbunge kayatamka.

Tatizo wa Watanzania wakisoma kidogo wanaona wengine wote ni wajinga. Kifo cha magufuli ukweli unajulikana Mpina anatafuta mwamko tu wakisiasa hamna jipya hapa zaidi ya kutafuta kiki na uchawa.

Ukweli usiopingika ni kwamba (1) Magufuli alipata Covid (2) Magufuli alikuwa na pacemaker (3) Magufuli hakupata chanjo

Tatizo la covid lilifanya pacemaker isifanye kazi na kusababisha matatizo yake ya moyo. Yaani ni kama vile alikuwa hata pacemaker tena baada ya covid. tuache uzushi na uchawa

"The SARS-CoV-2 virus can infect specialized pacemaker cells that maintain the heart's rhythmic beat, setting off a self-destruction process within the cells, according to a preclinical study co-led by researchers at Weill Cornell Medicine, NewYork-Presbyterian and NYU Grossman School of Medicine.Apr 1, 2022"
 
Wote hawa ni Sukuma gang,ila kumbuka Sukuma gang siyo kabila ila ni kikundi
Kwa nini wasiitwe "magufuliGang", maana hiyo "Sukuma" ni wazi kabisa ni misnomer', na tena ni udhalilishaji wa kabila zima bila ya sababu zozote.
 
Walitaka aachwe na alikuwa anahujumu ulinzi wa usalama wa nchi na mipaka yake ??? Alikuwa na Nia ovu ya kuidhooofisha nchi kiulinzi na utendaji Kivita Huku machoni kwa watu akifunika na kufanya miradi ya haha na pale ..

Amiri jeshi gani miaka yake alisitisha ajira majeshini ?? na hata akitoa zilikua Chache sana tena kwa kulenga kuingiza watu Fulani Fulani …..

Hata Vijana alioaaahidi ajira akashindwa kuwapa…

MIAKA yake yote hakuwezesha jeshi kwa silaha wala mafunzo [ mafunzo ya nje ndio kabisaaa] , waliostaafu na kufariki hapakuwa na wa kufidia nafasi zao [ career gap ] …

ALIANZA Mkakati haramu ambao Mwisho ulikuwa Mpango haramu wa himaya ya hima kujipanua kuja hadi GEITA kwa jina la MKOA Mpya ya Chato ambao waliudai hadi msibani [ Baada ya kustukiwa Nia ovu hiyo umemsikia Nani anadai tena MKOA wa Chato?? ] ule baadaye ungedai kujitenga na kuwa sehemu ya nchi jirani Kama wanavyopata shida Goma Leo…



Sio Ajabu kuugua bila uwepo wa mke au ndugu …kwasababu alikuwa captive wa state ….treason against the sorveregnity of the state .
 
Tatizo wa Watanzania wakisoma kidogo wanaona wengine wote ni wajinga. Kifo cha magufuli ukweli unajulikana Mpina anatafuta mwamko tu wakisiasa hamna jipya hapa zaidi ya kutafuta kiki na uchawa.
Hili linahusiana vipi na hayo mengine uliyo andika huko chini.
Unataka kuonyesha kitu gani hapa?
 
Haya hapa yanashangaza na kustua; lakini ni vigumu kuyakataa.
Lakini mbona hiyo inayosemwa kuwa "Hima Empire" bado inapaliliwa na kurutubishwa humo ndani kwa ndani mwa serikali? Kusitisha uwepo wa mkoa wao ndicho kiwe kigezo cha kuizuia?
Sio Ajabu kuugua bila uwepo wa mke au ndugu …kwasababu alikuwa captive wa state ….treason against the sorveregnity of the state .
Lakini hili hapa, ni ujinga tu unaoendelea kulipalilia.
Hapa jina la mkuu 'Philemon Mikael' limetumika tu. Huu siyo mwandiko wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…