Kuna utata gani kwenye kifo Cha magu!?Naunga mkono hoja ya Luhaga Mpina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna utata gani kwenye kifo Cha magu!?Naunga mkono hoja ya Luhaga Mpina
Unaogopa nini kitafichuliwa? Hutaki kujua Kwanini Tundu Lissu alipigwa Risasi? Je, kupigwa kwa Tundu Lissu Risasi kulikuwa na njama za kujibu shambulizi?Huyu anafosi uwaziri, Zama za Sukuma gang zimepita.
Huyu anafosi uwaziri, Zama za Sukuma gang zimepita.
Pamoja na hoja kuwa nzuri lakini mwambieni Mpina pia apiganie kuundwa kwa Tume ya kuchunguza waliopanga na kumpiga risasi Mh. Tundu Antipas Lissu. Bila hivyo itakuwa ni unafiki wa haki!Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge wenzangu kuruhusu kuunda Tume huru ya kuchunguza utata wa kifo cha Rais wa awamu ya Tano, Dkt. John Joseph Pombe Magufuli ili kumtendea haki lakini na watu wengu waliotajwa ama kwa wema au kwa ubaya katika suala hili.”
Ameongeza “Pia tume hiyo itabaini hata watu waliokataa kuapishwa kwan Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa Tanzania wakati ilikuwa ni takwa la kikatiba. Kwa mambo yaliyosemwa na Taasisi ambayo sio ya kutiliwa mashaka na mtu ambaye si wa kutiliwa mashakaa kuna haja ya hii tume kuundwa.”
View attachment 2968571
Pamoja na hoja kuwa nzuri lakini mwambieni Mpina pia apiganie kuundwa kwa Tume ya kuchunguza waliopanga na kumpiga risasi Mh. Tundu Antipas Lissu. Bila hivyo itakuwa ni unafiki wa haki!
Inauhusiano gani na hoja yake mmeanza kupumulia chiniHuyu anafosi uwaziri, Zama za Sukuma gang zimepita.
Uko nje ya Maada, yeye anazungumzia Uchunguzi na sio teuziHuyu anafosi uwaziri, Zama za Sukuma gang zimepita.
Luhaga Mpina anayo rekodi inayozungumza yenyewe. Wenye "njaa" wamejazana humo humo ndani ya CCM, wakipigana vikumbo kujionyesha mbele za aliyekuwa na njaa kabla ya kudondokewa na embe chini ya mti wa mchongoma ili asisahau kuwapa kamba ndefu za kutosha kukidhi mahitaji ya njaa zao.Ushauri wangu,mama afanye kama Magufuli,mtu mwenye kelele kelele kama huyu ampe post,kwani kama kweli yuko serious anaweza kuwa msaada kwa nchi,na akionekana ni njaa ndio ilikuwa inamsumbua atupwe pembeni tu...
YamepitaMbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge wenzangu kuruhusu kuunda Tume huru ya kuchunguza utata wa kifo cha Rais wa awamu ya Tano, Dkt. John Joseph Pombe Magufuli ili kumtendea haki lakini na watu wengu waliotajwa ama kwa wema au kwa ubaya katika suala hili.”
Ameongeza “Pia tume hiyo itabaini hata watu waliokataa kuapishwa kwan Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa Tanzania wakati ilikuwa ni takwa la kikatiba. Kwa mambo yaliyosemwa na Taasisi ambayo sio ya kutiliwa mashaka na mtu ambaye si wa kutiliwa mashakaa kuna haja ya hii tume kuundwa.”
View attachment 2968571
Iabda iundwe tume ya kifo cha Filikujombe na kupigwa risasi hadharani Mh Lissu...sio vifo vya magonjwa ya Corona mix ukichaa tafadhali...kazi iendelee Nani kama mama.Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge wenzangu kuruhusu kuunda Tume huru ya kuchunguza utata wa kifo cha Rais wa awamu ya Tano, Dkt. John Joseph Pombe Magufuli ili kumtendea haki lakini na watu wengu waliotajwa ama kwa wema au kwa ubaya katika suala hili.”
Ameongeza “Pia tume hiyo itabaini hata watu waliokataa kuapishwa kwan Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa Tanzania wakati ilikuwa ni takwa la kikatiba. Kwa mambo yaliyosemwa na Taasisi ambayo sio ya kutiliwa mashaka na mtu ambaye si wa kutiliwa mashakaa kuna haja ya hii tume kuundwa.”
View attachment 2968571
Kwa hao wote mbowe anahusika na genge lake la mabeberu walitaka kutengeneza taharuki. Akamatwe gaidi mbowe kwanza maana kesi alifutiwa na Dkt SamiaIundwe kamati huru kuchunguza kupotea kwa Ben Saanane na Azory Gwanda .
Kifo cha Leopold Lwajabe.
Shambulio la Tundu Lissu Dodoma.
Kutekwa kwa Roma Mkatoliki na Mohamed Dewji.
Sababu za kuvamiwa Clouds Media Group studio.
Hapa itakuwa tumeutendea haki umma wa watanzania na familia za hao watu.
Mabeberu ni akina nani??Kwa hao wote mbowe anahusika na genge lake la mabeberu walitaka kutengeneza taharuki. Akamatwe gaidi mbowe kwanza maana kesi alifutiwa na Dkt Samia
Aisee hii wakiweza kuunda tume hakika taifa litapona. Yule anayejifanya lishe mara moyo anajifanya watanzania ili wasahau wakati ndiye master mind. Ila iko siku Dkt Magufuli atatendewa haki.Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge wenzangu kuruhusu kuunda Tume huru ya kuchunguza utata wa kifo cha Rais wa awamu ya Tano, Dkt. John Joseph Pombe Magufuli ili kumtendea haki lakini na watu wengu waliotajwa ama kwa wema au kwa ubaya katika suala hili.”
Ameongeza “Pia tume hiyo itabaini hata watu waliokataa kuapishwa kwan Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa Tanzania wakati ilikuwa ni takwa la kikatiba. Kwa mambo yaliyosemwa na Taasisi ambayo sio ya kutiliwa mashaka na mtu ambaye si wa kutiliwa mashakaa kuna haja ya hii tume kuundwa.”
View attachment 2968571
Kuna msukumo unaofanya fikra zako zionekane kuwa finyu. Zingekuwa pana na huru ungetambua kuwa kuna ya ziada juu ya yanayosemwa kuwa mbunge kayatamka.Mbunge km huyu Kuna wananchi nao walipanga foleni kwenda kumpigia kura penginepo jua likiwachomaa😅😅.
Badala ya kupigania serikali iachee kuiba na kuleta maendeleo ,yupo busy kumuwaza marehemuu..
Shenzi kabsView attachment 2968569
Kwa hio unakiri aliuwawa, ndio hicho watanzania wanataka kujua nani muhusika, hao aliowaua yeye, serikali ndio muhusika, je yeye?Kwahiyo yeye wakati anaua wenzake uchunguzi ulikuwa hautakiwi ila kwasababu muuaji kauliwa ndio wanataka uchunguzi what a bloody fool