Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda Mwanza utakuta mbunge siyo msukuma utakuta diwani mchaga ila nenda uchagani uone kama wewe chasaka utatambuliwa zaidi ya kukutafuta wakuue. Wasukuma hawana ukabila kabisa ila ni ujinga weny mliopandikizwa na msoga na akina lema na mafisadi, yaani mlitafuta jina baya kwa wasukuma ili waonekane wanaukabila, na hii itatumika kama ticket ya kushawishi wasukuma wapige kura kwa mtu anayewakubali wasukuma ila nyie timu msoga msipoangalia wasukuma watawakosesha ikulu.Kafa Kama wengine, shida ya watu wa Kanda ya ziwa ni ukabila wa kishamba
Luhaga atakuwa amevuta bangi kwa Meya Jacobo,lakini maoni yake yaheshimiweMbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge wenzangu kuruhusu kuunda Tume huru ya kuchunguza utata wa kifo cha Rais wa awamu ya Tano, Dkt. John Joseph Pombe Magufuli ili kumtendea haki lakini na watu wengu waliotajwa ama kwa wema au kwa ubaya katika suala hili.”
Ameongeza “Pia tume hiyo itabaini hata watu waliokataa kuapishwa kwan Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa Tanzania wakati ilikuwa ni takwa la kikatiba. Kwa mambo yaliyosemwa na Taasisi ambayo sio ya kutiliwa mashaka na mtu ambaye si wa kutiliwa mashakaa kuna haja ya hii tume kuundwa.”
View attachment 2968571
Hahahaha naona mnaogopaLuhaga atakuwa amevuta bangi kwa Meya Jacobo,lakini maoni yake yaheshimiwe
Uko sahihi wasukuma hawana ukabilaNenda Mwanza utakuta mbunge siyo msukuma utakuta diwani mchaga ila nenda uchagani uone kama wewe chasaka utatambuliwa zaidi ya kukutafuta wakuue. Wasukuma hawana ukabila kabisa ila ni ujinga weny mliopandikizwa na msoga na akina lema na mafisadi, yaani mlitafuta jina baya kwa wasukuma ili waonekane wanaukabila, na hii itatumika kama ticket ya kushawishi wasukuma wapige kura kwa mtu anayewakubali wasukuma ila nyie timu msoga msipoangalia wasukuma watawakosesha ikulu.
Tanzania hii ya sasa nina mashaka sana kama iwapo jambo hili aliloliongea Mpina akabaki salama chamani.Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge wenzangu kuruhusu kuunda Tume huru ya kuchunguza utata wa kifo cha Rais wa awamu ya Tano, Dkt. John Joseph Pombe Magufuli ili kumtendea haki lakini na watu wengu waliotajwa ama kwa wema au kwa ubaya katika suala hili.”
Ameongeza “Pia tume hiyo itabaini hata watu waliokataa kuapishwa kwan Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa Tanzania wakati ilikuwa ni takwa la kikatiba. Kwa mambo yaliyosemwa na Taasisi ambayo sio ya kutiliwa mashaka na mtu ambaye si wa kutiliwa mashakaa kuna haja ya hii tume kuundwa.”
View attachment 2968571
Iundwe kamati huru kuchunguza kupotea kwa Ben Saanane na Azory Gwanda .
Kifo cha Leopold Lwajabe.
Shambulio la Tundu Lissu Dodoma.
Kutekwa kwa Roma Mkatoliki na Mohamed Dewji.
Sababu za kuvamiwa Clouds Media Group studio.
Hapa itakuwa tumeutendea haki umma wa watanzania na familia za hao watu.
Yaani iko hivi, ukali wa kukemea ufisadi wa Dkt Magufuli waliutumia mabeberu kupitia mbowe na kundi lake kutekeleza mauaji ili kusema Dkt Magufuli ni Dikiteta na muuaji, hivyo inasemekana Mbowe alimuua azory, kamuua ben, alimkosa kosa tundu lisu etc. Hata Mo alitekwa na kundi la akina mbowe na msoga ili kuleta taharuki kuwa serikali inateka watu. Kwa ufupi Dkt Magufuli was very humble and kind sana, ila baadhi ya watanzania walimzidi kete kwa kufanya matukio na kuwahi haraka haraka kuripoti kwenye vyombo vya habari. Kwa ufupi wakisema wachunguze kwa kutumia tume wengi watafungwaMabeberu ni akina nani??
Hao wote walimfanyia nini Mbowe?
Sukuma Gang will always be there. Je, unajua Mwenge wa Uhuru utazimwa Mwanza? Kwanini?Huyu anafosi uwaziri, Zama za Sukuma gang zimepita.
Sisiem wajanja sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Dah umenikumbusha hiyo thread, yaani imeanika uhusika wa current ceo na born town yaani hawa watu ni wauji na kibaya kabisa damu ya Dkt Magufuli inawasumbua hawakai kimya lazima wakiongea tu wanajikuta wameropoka viashiria kuwa wao ndiyo walimuua ili wafanya ufisadi etcTanzania hii ya sasa nina mashaka sana kama iwapo jambo hili aliloliongea Mpina akabaki salama chamani.
Nimewaza sana. Kuna mengi tumesoma humu na pia kuna thread ya Dark Days imeeleza mengi kupitia codes kuhusu kifo cha Mwendazake
Mbunge km huyu Kuna wananchi nao walipanga foleni kwenda kumpigia kura penginepo jua likiwachomaa😅😅.
Badala ya kupigania serikali iachee kuiba na kuleta maendeleo ,yupo busy kumuwaza marehemuu..
Shenzi kabsView attachment 2968569
Tumechoshwa na matume tume....tunataka maendeleo yanayoonekana.Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge wenzangu kuruhusu kuunda Tume huru ya kuchunguza utata wa kifo cha Rais wa awamu ya Tano, Dkt. John Joseph Pombe Magufuli ili kumtendea haki lakini na watu wengu waliotajwa ama kwa wema au kwa ubaya katika suala hili.”
Ameongeza “Pia tume hiyo itabaini hata watu waliokataa kuapishwa kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa Tanzania wakati ilikuwa ni takwa la kikatiba. Kwa mambo yaliyosemwa na Taasisi ambayo sio ya kutiliwa mashaka na mtu ambaye si wa kutiliwa mashakaa kuna haja ya hii tume kuundwa.”
Hao ndo walioshika mpini. Hivyo Mpina ajiandae kukwaruzana na vimbwenelehi machawaDah umenikumbusha hiyo thread, yaani imeanika uhusika wa current ceo na born town yaani hawa watu ni wauji na kibaya kabisa damu ya Dkt Magufuli inawasumbua hawakai kimya lazima wakiongea tu wanajikuta wameropoka viashiria kuwa wao ndiyo walimuua ili wafanya ufisadi etc
Acha uongo utakuponza.Dah umenikumbusha hiyo thread, yaani imeanika uhusika wa current ceo na born town yaani hawa watu ni wauji na kibaya kabisa damu ya Dkt Magufuli inawasumbua hawakai kimya lazima wakiongea tu wanajikuta wameropoka viashiria kuwa wao ndiyo walimuua ili wafanya ufisadi etc
Ccm huwa hatuogopi,tunachukua tahadhari.labda nyie chama cha mbowe.Hahahaha naona mnaogopa
Hakika🤣🤣🤣🤣🪑🪑🪑💺🎶🎶Kumekucha
Watakimbiana😂😂Iundwe kamati huru kuchunguza kupotea kwa Ben Saanane na Azory Gwanda .
Kifo cha Leopold Lwajabe.
Shambulio la Tundu Lissu Dodoma.
Kutekwa kwa Roma Mkatoliki na Mohamed Dewji.
Sababu za kuvamiwa Clouds Media Group studio.
Hapa itakuwa tumeutendea haki umma wa watanzania na familia za hao watu.