Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli

Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli

Acha uongo utakuponza.
Mi nimerejea ile thread bosi, JF ni jukwaa huru na tujajua kutumia sheria za jukwaa, sijamtaja mtu kabisa wala kiongozi. Sema ule uzi hakika umeshiba na kusheheni newa matata za wahusika
 
Ndugu mpina ,Samia anasema kijitabu kijitabu,Kwanza ilitakiwa mabeyo akamatwe Kwa kuvunja katiba ,Nani alimwambia awe msemaje wa familia?

Yaani katiba inauzwa shs 10000 pale kariakoo alishindwa kwenda kusoma utaratibu wa Rais akifa Nani anafuata?Mabeyo akaisaidie polisi!Joni amekufa 2021 Kwa nini hiyo hadithi asimulie Sasa?
Karma is real, Kuna kitu kina muuma🤣🤣🤣🤣🪑🪑🪑💺💺💺🎶
 
....Mpina pigania maendeleo ya wananchi wa Kisesa
Bilashaka anaamini kua JPM angekuwepo, maendeleo Kisesa yangekua juu na hataki yajirudie anayohisi yalitokea kwa JPM.
 
Nimewahi kuandika humu na na ninaandika tena, kwa sababu kuna makundi mawili hasimu hayakukubaliana kuhusu mustakabali wa Tanzania baada ya Kifo cha Magufuli na kuvunja utaratibu wa kikatiba, licha ya Samia kuwa next in power succession, kwa sababu ya mapungufu ya kiufundi kwenye hichi kifo, Samia anaweza kuhesabika alifanya uasi, kama watu wakiamua kushikilia bango.

Samia na wafuasi wake wanaweza kuja kupewa kesi kubwa ya Uhaini, Majaliwa kuendelea kuwa Waziri mkuu kwa kujua au kutokujua inampa Samia aina fulani ya Kinga na kumuweka Majaliwa Mateka (Waziri mkuu asiye na nguvu, ila anazuia reaction ya kisiasa na kiutawala).

Hili Jambo watu wenye akili nchini walisuruhishe kabla halijawa armed conflits
 
Mbunge km huyu Kuna wananchi nao walipanga foleni kwenda kumpigia kura penginepo jua likiwachomaa😅😅
Yes ,siiuwahi kumpenda lkn ss nimegundua,ndo rais Bora
Hii nchi inatakiwa rais km huyu
 
Hili suala si la kuchezea maana wauwaji wote wapo, na walijipanga vizuri in a professional way, walianza na matukio kwanza kuchafua serikali kabla ya mauaji, hata mpina awe makini.

Ila kama upinzani walishiriki uovu wa ccm kwa mgongo wa democracy ni wajinga!!!
 
Ni Jambo Jema Sana ila nadhani wangeanza na uchunguzi wa waliomshambulia Lissu
Yote yata unganishwa hapo.

Je, waliotengeneza Mazingira yale, walifanya hivyo kutafuta kisingizio cha Kumwondoa? Ukifuatilia nyuzi hapa Jukwaani utaona kuwa kulikuwa mipango ya chini chini ya kumchafua, na kumdhoofisha. Lengo kuu likiwa ni kumwondoa kwa mbinu yeyote ile.
Lema, anayeitwa nabii, inawezwkana hakuwa nabii, ila alikiwa anajua mipango?

Maswali ni mengi kuliko majibu. Na Viongozi kadhaa wa CCM wanadhani kwamba Watanzania ni mazuzu, wanaokota propaganda za Mahasimu ambao pia upo uwezekano mkubwa kwamba wao ndio waliowatumia.

Wanafikiri haya madongo wanayotoa, hayana repurcussions. Wajitathmini. Itoshe bilankuwa waangalifu, CCM hii ndio hiyo inaenda kufa kwasababu ya Unafiki walioujenga baada ya kifo cha Hayat Rais.
 
Kwani hakutakiwa kufa? Kakufa kakufa TU
Hiyo ni sawa na kusema, hao mnaowatumia kama ndio kihalalisho cha kifo chake, mfano kina Ben saananee, Tundu Lissu Mdude n.k Kama ilishatokea, ishatokea. Mjadala ufungwe?

Watu wakisema 'kwani Akwilina hakutakiwa kufa' 'Kakufa tu' shida ipo wapi? Ama Tundu Lissu alikipata alichokuwa anakitafuta, shida ipo wapi? Au Ben saanane-Si walijitakia??

Unaona ukinzania wa hoja yako?
 
Kwa hao wote mbowe anahusika na genge lake la mabeberu walitaka kutengeneza taharuki. Akamatwe gaidi mbowe kwanza maana kesi alifutiwa na Dkt Samia
Tena hao ndio wa Kwanza.

Sasa si ndio maana wanataka kujificha kwenye lile chaka la "Maridhiano" kwamba yakitokea yale, kama ya kamisheni ya Truth and Reconciliation ya South Afrika yaani watubu na kusamehewa, mchezo kwisha, na ndio Maana Lissu hataki kusikia mambo ya kujificha nyuma ya pazia hilo. Maana yake naye atakuwa amekosa haki yake.
 
Back
Top Bottom