Mmh!! Hzo position hazina title??

Anyway,, kwa Lukuvi nilishangaa na kusikitika,, ila najua baada ya wadau wengi kusikitika Kama mim hadharan,, ndo maana wamepewa backup option!!
Itakuwa yeye mwenyewe ameona reaction ya Watu Juu ya kuwaondoa hao ndio maana amesema hivyo ili kuwatafutia position.
 
Je, Kassim Majaliwa na Mkuchika Wameshindwa kumsaidia rais? Kwanini Lukuvi na Kabudi wawe juu yao?
Babu Maza kaaambua kutoa mpira golini, kwa kifupi hapo amezuga, Ikulu kwa cheo gani ambacho hakina jina, then na wewe unasema kabisa kuwa watakuwa juu ya PM, kwa cheo kipi, muundo upi, maza kashauliwa ili kuwapunguza 2025 fever walete huku utakuwa ushawabana, ndo alichofanya!
 
Acha makasiriko Mama kaamua najua mnaumia sana ila ndo hakuna namna!
 
kwanini sasa alimtoa wizara ya mambo ya nje
 
Mk
Hao waliovutwa Ikulu kwa kazi maalum wakikubali tu wameliwa vichwa!
Nyendo zao zitachunguzwa na hawatofurukuta

Mkuu unadhani wanaweza kukataa?
Unadhani wakikataa watachukuliwaje?

Wakikataa aliewapa hiyo kazi hatakuwa na raha, na wao pia hawatakuwa na raha.
Maana itaonekana wamemkatalia mkuu wa nchi, na unajua madhara ya kuonyesha kiburi kwa mkuu wa nchi hasa ukiwa ni mtu mwenye ushawishi.
 
Samia kashavurugwa na mifumo mibovu, na waliomzunguka wanamgeuza wanavyotaka. Kwa kifupi nchi haina Rais hii.

Katiba mpya ni lazima ili kuliponya taifa.
Tunakoelekea siko kabisa.
 
Ridhiwani ana tatizo gani!? Mfano akifika Lukuvi hiyo wizara ndio haitokuwa na wakuiweza tena

Kuondolewa lukuvi na kuwekwa lizi moja kwenye hiyo wizara hata wewe unaona aibu hapoulipo.
 
Hivi hii mikataba na mambo yanayofanana na hayo hayapo kwa mwanasheria mkuu wa serikali. Au kazi ya mwanasheria mkuu ni nini? Au kutengeneza kesi za michongo?
 

Maneno maneno yalikua mengi filimbi zimemzidia Mama akaona akubali yaishe
 
Hivi hii mikataba na mambo yanayofanana na hayo hayapo kwa mwanasheria mkuu wa serikali. Au kazi ya mwanasheria mkuu ni nini? Au kutengeneza kesi za michongo?

Na wale wasaidiZi wake maalum wale aliowatuaga binafsi wakiwemo wanasheria na wachumi wale je. Hao wamepelekwa kusoma magazeti msemo wa zamani ule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…