Usibabaishwe na majina mkuu. Huyo Lukuvi wanaomjua ni tofauti kabisa na unavyomuongelea wewe.

Usimhukumu mtu kwa jina lake, usikariri majina ya watu ukadhani na ufanisi wao wa kazi utakuwa hivyo hivyo.
 
Mmh!! Hzo position hazina title??

Anyway,, kwa Lukuvi nilishangaa na kusikitika,, ila najua baada ya wadau wengi kusikitika Kama mim hadharan,, ndo maana wamepewa backup option!!
Hivi mnajua Lukuvi na maofisa wake wa ardhi wamedhulumu wananchi wangapi Mali zao na ardhi nyie mnaosema ni mchapa kazi??
 
MH. SSH aliteleza sana ktk hotuba ile, kutokana na mhemko wa uchaguzi wa 2025 mpaka akasema Kuna watu wanamkwamisha hivyo atawaondoa.

Sasa kwa hili suala la Lukuvi na Kabudi kupewa kazi maalumu Ikulu ni hakika anataka kusawazisha au kutuliza hali ya hewa.
 
MH. SSH aliteleza sana ktk hotuba ile, kutokana na mhemko wa uchaguzi wa 2025 mpaka akasema Kuna watu wanamkwamisha hivyo atawaondoa.

Sasa kwa hili suala la Lukuvi na Kabudi kupewa kazi maalumu Ikulu ni hakika anataka kusawazisha au kutuliza hali ya hewa.
 
Nadhani sio vizuri kusema Rais ni MWONGO ila hapa amedanganya baada ya kelele kuwa nyingi kuhusu utenguzi wa Lukuvi.
 
Ameamua kuwaosha baada ya watu kuongea saana kwenue Mitandao ya kijamii! Kikubwa Mama ajaribu kupuuza mihemko ya watu wa mitandaoni itamharibia kama atakuwa kila kelele ya mtandaoni anataka kuitolea ufafanuzi! Sijaona haja ya kulisema hilo
Ni kweli si unawaacha tuu kwani wao Wana hati miliki? Hakuna sababu ya kuanza kufurahisha watu mitandaoni.
 
Nashukuru kwa kugundua Lukuvi ni jembe, aendelee kusimamia vijana waliopewa ardhi kwani ni ngumu sana. Hongera baba Lukuvi kwa kusimamia vizuri ardhi.
Angelina Mabula siyo kijana. Labda kama unasema Kikwete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…