Anajikosha kwa nani? Hamjui nguvu aliyo nayo Rais wa nchi hii kikatiba hana sababu ya kumuogopa kenge yeyote.

Tena Mama ana sitara kubwa sana
Aliepita alikuwa anafukuza kama mbwa na waliogopa
Wengine walizimia na wengine kufa kabisa baada ya kutumbuliwa

Acha wapige kelele mziki bado sana
 
Mzee Mwinyi alimteua Lyatonga Mrema kuwa Naibu Waziri Mkuu cheo ambacho hakipo kikatiba ili tu kumdhibiti na mbio zake(wanavyodai wazee).

Leo Mama kawapa kazi Lukuvi na Kabudi kazi ambazo hazipo kwenye katiba wala muundo wa Serikali.
 
Tunywe supu nyama tutazikuta chini.
 
Changa la la macho baada ya kusema atapuga chini wanawaza kule sasa anawaosha kinamna ionekane bado wao wako upande wake
 
Wahenga walinena Funika kombe mwanaharamu apite ingawa La kuvunda halina ubani
 
Mzee Mwinyi alimteua Lyatonga Mrema kuwa Naibu Waziri Mkuu cheo ambacho hakipo kikatiba ili tu kumdhibiti na mbio zake(wanavyodai wazee).

Leo Mama kawapa kazi Lukuvi na Kabudi kazi ambazo hazipo kwenye katiba wala muundo wa Serikali.
Wana nguvu zisizoaminika lazima wawe karibu chini ya uangalizi wasilete madhara ..... watu wa bara hawaaminiki kihivyooo....wanapenda zungukana Sana. Edo Masai alizungukwa na swahiba watu gaaah
 
Kazi ya kusimamia mawaziri ni ya PM - Kassimu akae mkao wa kunyolewa! Bunge likishapata Spika, hiyo kazi ya Lukuvi ya usimamizi wa mawaziri inaanza rasmi kwa jina lake kupelekwa Bungeni kuthibitishwa!!!
 
Mwanasheria mkuu atakuwa anafanya kazi gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama Kanuna sana leo, hata sura yake inaonesha hana nuru. Huwenda kuna watu ndio wanaongoza nchi yeye yupo tu kwa cheo cha Urais
 
Watu wanasahau kuwa hata akina Mark Mwandoysa walikua ndani ya serikali hata walipokua hawana wizara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…