Lukuvi: Tukipitisha serikali tatu jeshi litatawala nchi

Lukuvi: Tukipitisha serikali tatu jeshi litatawala nchi

namsikiliza..shida ambayo tunayo tunashindwa kujibu hoja kwa mantijki na facts,

they should convince us..yy anatishia tuuuuuuuu...jamani..!!!
 
Mkuu ndicho umeona cha maana
kuandika hapa sijaona hoja hata moja pengine jipange vizuri utulie na
ujenge hoja kwa kutueleza nini unachokitaka kutueleza vema lakini kwa
hizi hoja ni nyepesi sana.

Hujaona hoja halafu hoja ni nyeperi sana!! Loh unajua ni kwanini? AKIRI ZAKO UMEHAMISHIA VISIGINONI nakushauri toka kwanza halafu ukirudisha akiri zako mahali pake uludi utaina hoja tu.

BACK TANGANYIKA
 
Hata mini sijaelewa kama anatoa ufafanuzi wa tuhuma ama anachangia? Na je Warioba aliyetuhumiwa ka mengi hapo bungeni ataitwa pia?
 
Mm ninazaidi ya miaka 50 nisengependa kuanza maisha nisiyozoea lazima jesh litachukua nchi tukiruhusu muundo wa serikali3 sbb jesh litashndwa kulipwa sbb serikali ya mungano haina vyanzo vyakipato,
 
Hakuna hoja hapo zaidi ya unafki,kama rasimu imeletwa ili iboreshwe kwa nini isiboreshwe kwa serekali tatu...
 
Sita anasema ni mgonjwa wamemzuia airpot akielekea India kwa matibabu
 
Hivi ile kanuni ya Muda dakika 10 imetenguliwa? naona Lukuvi anachangia nusu saa sasa
 
Anazidi kusisitiza kuwa Serikali tatu zitasabbisha vita na hakuna atakayemzuia kuamini
na kusema hivyo, hayo yametokea kati ya Korea kusini na kaskazini hivyo Zanzibar na Tanganyika
itakuwa vivyo hivyo.
 
Huyu Mwenyekiti kafeli sana, hivi Lukuvi si mchangiaji kama wengine? inakuwaje kapewa mda wote huu kuelezea mawazo yake, mimi ninachoona ni uoga waliongia nao sasa. AIBU YAO.
 
Kweli simwelewi. Hata hivyo anakwenda kwenye matibabu msameheni
 
Lukuvi anaonge sasa bungeni sijaelewa anajibu hoja alizotuumiwa jana na UKAWA, anachangia hoja kuuu au anajibu kama waziri wa nchi?

Sijaelewa lengo lake sasa ana dakika kumi na tano zaidi ya kumi kuu anatamba tuuuu.... sijamuelewa kabisa.

.
Aisee leo ndio nimeamini kweli Lukuvi kichwa kitupu kabisa.
Na mbona Sitta kavunja kabuni za bunge? Huyo lukuvi ni zaidi ya bunge? Sitta nanga la utawala bora.
.
 
Hili zee lenye elimu ya form four jinga kweli kweli , halina hoja ni upuuzi mtupu
 
inashangaza,,lukuvi ameitwa kuja kujibu tuhuma za uchochezi wa kidini kanisani,,
lakini mbona amejikita kwenye muundo wa serikali na mambo mengine,,,,amajilita kwenye vijembe na mipasho,,,

ajibu tuhuma na sio kukwepa,,,,
Huko kulewa madaraka,na mwenyekiti anampa muda mwingi tu wakat anaongea ujinga tu,kwenye masuala ya katiba unazungumziaje dini na kabila za watu hana anachoongea kaz kutaja watu tu,akil ndogo huzungumzia watu.
 
Kwa sababu jeshi
wameshapewa 'go on' na watawala sasa huu ni wakati wao nao kula matunda
ya nchi, wachukue nchi tu wakamate watawala wawauwe wote wakalie nchi
nao.
Wameshapewa uhakika wa kuchukua nchi, watawala wame-surrender.
Jeshi kamateni nchi sasa.

Umeona mkuu ni jambo la kusikitisha sana kuanza kulisingizia jeshe mambo ya kijinga kwa hoja za kupinga serikali tatu kuna watu wameanza kuharibikiwa kwenye ubongo wao!

BACK TANGANYIKA
 
Back
Top Bottom