Wapigie hawa ndiyo madalali wa waganga wa kienyeji wa Bashite na kikundi chao 0715132277 seleman huyo ni msiri wa Bashite anajua vitu vingi vya Bashite ni mpenda pesa ukimpa pesa kidogo anasema kila kitu na pia yupo mwingine anaitwa pot 0713942322 hawa mda mwingi huhadithia story za Bashite popote wanapokuwa na ukiwapa bia pombe ndipo Siri zote huanikwa waziWatanzania ni watu wa ajabu saña hapa wataanza ramli zisizo na msingi
Lissu keshawafanya vibaya kiimani kiasi kwamba hamjui muendako
Maombi na dua zetu kwa Mungu ili Rais JPM awe na afya njema na aweze kutimiza majukumu yake kwa Watanzania katika nafasi yake ya Uongozi wa nchi.In whatever trouble that he might be facing now, I wish our President, Dr. John Joseph Pombe Magufuli, good health while in the hands of our Almighty God.
That is according to you. You need to recall that this govt projected tanzanians to pray for LISSU.Yet they want us to pray for them. God has no double standards.Not only Mr. Tundu Antipasi Lissu who deserves our prayers but also any person matters in this country including our President, Dr. John Joseph Pombe Magufuli. For biblical purposes, all two persons mentioned herein are human beings who need our utmost prayers.
Dogo acha porojo kwenye mambo muhimu ya mustakabali wa taifaMnapoteza muda wenu kufikiria negative/utopolo mbona kahudhuria
Wanavuta mlungula au wamegoma kupelekeshwa kihuni na M/kiti wa kamati ya ulinzi Mkoa wanaona future hakuna na kazi hatarishi?kigoma kuna movement zisizoeleweka kwenye idara zote nyeti
Heri Mimi sijasemaSichangii uzi huu
Wacha uzembeDah basi mama yetu mpendwa samia akae stendby. It will be the greatest gift of all to the neshen
Hata mimi.Sichangii uzi huu
mi nafwatilia tuHata mimi.
Amen Mungu ampiganie na kumlinda.Maombi na dua zetu kwa Mungu ili Rais JPM awe na afya njema na aweze kutimiza majukumu yake kwa Watanzania katika nafasi yake ya Uongozi wa nchi.
Mkono wa Mungu alie juu uendelee kutupa amani na utengamano wakati wote wa msiba na baada ya msiba.
Mungu yuko nasi, Watanzania
kwanini CIASichangii uzi huu
KINACHO FATA NI TARATIBU ZA MAZISHIHuyu Ni mpumbavu anaweka picha ya mtu anajidai ndio yeye.
Halafu anajiita daktari huku akiongea utopolo mtupu
Atakuwa ameenda liwatoniTaharuki. Haonekani kiti chake ki wazi, hatujui amepatwa na nini.
HahahaWacha uzembe
We pia nakupa u CIAYupo kazini mpigie huyo Dalali wa waganga wa kienyeji anaitwa sele 0715132277 atakueleza alipo sasa
imeshapinduliwa-pinduliwa mnooKwani ratiba ya leo inasemaje?
Tena amewafuata mwenyewe.Hahaha wale wazee wa Mtwara walioleta Upepo na Giza kipindi kile wameshafanya yao, Mzee hatokaa akanyage MTWARA tena.