M23 wakamata mji FARDC na washirika wak wakimbia

huelewi lolote kuhusu hilo unatakiwa kujua kwann genera mwakibolwa chini ya JwTz aliwasambaratisha ,serikali yetu ilikumbana na nn baada yakikwete akiwa mwenyekiti jumuia ,baada yakubaili kanuni
 
Walisema wameachia baadhi ya Maeneo kwa Regional Force na Siyo FARDC kwahiyo jeshi la Kongo wakiingiza miguu yao kwenye hayo Maeneo lazima warudi upya.
 
Wewe unauelewa unachokifanya hapa.

Hao wanataka kupata mamlaka kamili ya Kivu Kusini kama wewe ni serikali upo tayari kuwaachia?
 
Congo wameamua kuwa wahuni wanawafanyia genocide raia wake wa Banyamurenge, huwezi kukaa ndani unasubiri waje wakuue, only solution ndio hii moto kwa moto, sitashangaa wakipiga mpaka Kinshasa kama walivyomfanyia Mobutu
Hao ni wanajeshi wa jeshi la Rwanda sio Wakongo.

Ndio maana mgogoro ni kati ya M23 na Kongo halafu wanaokaa kwenye maridhiano ni serikali ya Rwanda na Kongo DR.
 
Upo tayari kuwaachia Rwanda wautawale mkoa wa Kagera?
 
Rwanda bado inaendeleza uhuni wake kwa mgongo wa Uasi.

Moronight walker
 
Tsisekedi Mjinga, kuwa kataa M23, kuwa bagua na kuua familia zao ndio ita mcost kupoteza hilo eneo.
Hakuna USHAHIDI wowote unaoonyesha felix Kaua mtu congo.
Felix KUINGIA madarakani kakuta nchi inashida tena yeye ndo anasimama mstari wa mbele KULETA amani, na kulinda banyamulenge.
Usidanganye watu hapa.
NYIE tuu rwandese mnachuki tuu na congo hakuna lolote .
M23 ni RDF wapo askari wengi sana wa RDF waliokufa congo

HAWA WAHACHE ILA WAPO WENGI.
KWANZIA MWEZI WA 4 2022 MPAKA MWEZI 11 2022 .
WALIKUFA MILLITARY OFFICERS ZAIDI YA 34 HAO WANAOTABULIKA.

Proved mtu chake
 
Rwanda hawapo Congo, kaeni chini mmalize matatizo yenu na muache kuua Banyamulenge, Tshesekedi anguko lake litakuwa ni hao banyamulenge maana hawatendei haki kabisa
Mzozo ni kati ya Kongo na M23 lakini mazungumzo ya maridhiano ni kati yaRwanda na Kongo. Rwanda inaingiaje sasa?????
 
Hakuna nchi inayokosa Kikosi cha anga wengine mnaita jeshi la anga,wacho kikosi cha anga /jeshi la anga lakini halina maboresho kabisa kwa ujumla jeshi la Congo lilitawaliwa na uzandiki na hujuma maana maafisa wengi walikua na asili sio ya Congo walijua wanachofanya bwana mkubwa Mh Felix Tshekedi anapaswa alisuke haswa kinidhamu na medani za kivita aombe hata msaada maeneo kadhaa apewe wakulaumiwa kwanza ni Hipolite Kanambe a.ka Joseph Kabila kwa kulichezea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…