madindigwa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 2,488
- 2,904
TrueHapa nasikia Harufu ya North and South Kive Republic![emoji1787][emoji1787]
Ukiona Serikali inaanza ku target Raia wake kama BASHIR kule SUDAN alicho kifanya Darfur basi hivo.
Mark my Word!
Tarehe 27/01/2023
1994 waliuawa wahutu wengi kuliko watusiUsijitoe akili mpuuzi wewe, unafikir 1994 wahutu walikaribia kuwamaliza watusi wote kwa sababu walikuwa wanawapenda, na nani amesema watanzania wanachukia watusi mpuuzi sana wewe
Takwimu ni kwamba waliuawa watu 1m,wengi wao watusi,wachache wahutu wasio na msimamo mkali,lakini mwaka 1994 palikua na watusi laki nane tu rwanda,ingekua kweli waliouawa wengi watusi pasingekua na mtusi Leo RwandaAkili za kipuuzi hizi, endelea kujitoa ufahamu
Wewe mtusiUkweli hausiani na ukabila brother!!
ACHANA nae hajui1994 waliuawa wahutu wengi kuliko watusi
Sihitaji kujua hizo sumu zenuACHANA nae hajui
Nijibu swali la juu hapo.Sihitaji kujua hizo sumu zenu
Hakuna mashindano hapa, ila please acha kuwalisha watu sumu humuNijibu swali la juu hapo.
WATU WAJUE NANI NI MUHONGO KATI YA MIMI NA WEWE.
Hakuna mashondano hapa KWANI tunatafita tuzo hapa.Hakuna mashindano hapa, ila please acha kuwalisha watu sumu humu
Hapa kuna mchezo unachezeshwa na watu fulani, bahati mbaya wanaochezewa hawajui kama wanachezewa na anayechezesha yupo pembeni anakuja kuongea na wewe mwenyewe.ao jamaa wanatisha kama mpaka sasa majeshi kama Kenya,Munusco n,k bado wanajiuma kucha kuwafurusha hao awagusiki,gusa unate.
Mbona JWTZ chini ya Mwakibolwa aliwachapa mpaka wakakimbilia Rwanda kipindi cha JK.
huelewi lolote kuhusu hilo unatakiwa kujua kwann genera mwakibolwa chini ya JwTz aliwasambaratisha ,serikali yetu ilikumbana na nn baada yakikwete akiwa mwenyekiti jumuia ,baada yakubaili kanuni
Wewe unauelewa unachokifanya hapa.
Hao wanataka kupata mamlaka kamili ya Kivu Kusini kama wewe ni serikali upo tayari kuwaachia?
Upo tayari kuwaachia Rwanda wautawale mkoa wa Kagera?
Na wewe huwapendi wahutu....mpo sawa tu...Boss unaonekana uko hapa kueneza propaganda tuu na unaonekana hupendi watusi
Kagame mwenyewe alitaka kumuua felix
View attachment 2497274
Hiyo ilikuwa janja ya nyani tu. Ninakazia hawa si wa kusikilizwa wala kupongezwa. Hawa ni wa kufurushwa kibabe tu.
Walianza mwaka gani