Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahaha,M23 kwenye mitandao mbn wepesi tu, Sasa ulizia waliofika Field watakuambiaMkuu nadhani hiki ulichosema ndicho kinawafanya watu waseme DRC ina jeshi dhaifu miaka yote wameshindwa kuwaeliminate m23, maana nchi yoyote inayojielewa na ina jeshi imara haiwezi kulea timbwili linalohatarisha usalama wa nchi yake.
Hizo ni story ukweli waliongoza vita wakiwa nyuma au wakiwa na ulinzi mkali sana sema historia lazima iwakumbuke waoMkuu,
Kwenye falme za zamani watawala wa falme ndio waliongoza battle field mfano kina mfalme daudi pia hata kule Korea kina JUMONG.
Ni kawaida kwa kamanda alie iva vizuri kutamani kuongoza askari wake kuwapa molari mstari wa mbele vitani..
hukuweka wewe ni vyombo vya habari vya ulimwengu aljazeera, bbc nk vyote vimeripoti Gomba is down to M23Niwekee thread hiyo unayodai niliweka jana kuwa Goma imeangushwa
Mfano general Mbona kabla hajawa CDF.Hizo ni story ukweli waliongoza vita wakiwa nyuma au wakiwa na ulinzi mkali sana sema historia lazima iwakumbuke wao
Kabla hujawa general ni kweli kabisa lazima uanzie huko chini ila ukishakuwa juu basi kazi Yako inakuwa kutoa muongozo kutokana na uzoefu wakoMfano general Mbona kabla hajawa CDF.
Kwenye vita ya Kagera inasemwa mboma ndege aliyo kua anaendesha ilitekwa..Ila alifanya overlapping na kuwaachia manyoya askari wa Uganda.
Huoni kua hata angepata cheo kwa kua ana ujuzi mkubwa wa kuendesha ndege za kivita anaweza kuutumia popote..
Mfano mtu Kama CHE GUEVARA alikua mstaari wa mbele..mpaka akafa
🤣🤣🤣mwanasheria wako anapokea simu kwa wakatiIkawe heri kama ni kweli,,, na pia nasikia baba wa majeshi Africa ya mashariki JWTZ nao wametia timu kwenda kupiga tafu hawa ndugu zetu wakongo , wanachojua kukata viuno na kupaka mkorogo ila kulinda nchi yao aaaah
Hahahhaha daahIkawe heri kama ni kweli,,, na pia nasikia baba wa majeshi Africa ya mashariki JWTZ nao wametia timu kwenda kupiga tafu hawa ndugu zetu wakongo , wanachojua kukata viuno na kupaka mkorogo ila kulinda nchi yao aaaah
Sahihi mkuu.Kabla hujawa general ni kweli kabisa lazima uanzie huko chini ila ukishakuwa juu basi kazi Yako inakuwa kutoa muongozo kutokana na uzoefu wako
Mleta mada, bado upo?! Ebu tuhabalishe yanayojili M23 waliokimbizwa wamefikishwa wapi!? Utakuwa umefananisha Simba na kinyago si bure
Leo asubuhi Askari wa M23 wamekamata kituo cha mpakani kati ya Goma na Gisenyi nimeona video zao wakipiga magoti na kusali.Hiki chanzo chako cha habari unakiamini ?
SureMkuu,
Kwenye falme za zamani watawala wa falme ndio waliongoza battle field mfano kina mfalme daudi pia hata kule Korea kina JUMONG.
Mkuu wako yuko front anapambana, wewe unaanzaje kukosa morari?Ni kawaida kwa kamanda alie iva vizuri kutamani kuongoza askari wake kuwapa molari mstari wa mbele vitani..
KIONGOZI akiwa hajaiva vizuri hawezi kua tayar kuongoza mstar wa mbele..Sure
Mkuu wako yuko front anapambana, wewe unaanzaje kukosa morari?
Naona raia wanawashangilia rebels, what is the meaning of this? Why are the refugees fleeing to Rwanda of all the places? Aren't they supposed to be enemies?Many bodies on streets, hospitals struggle as Goma battles intensify
The M23 rebel group has declared the key city of Goma under its control, signalling a big blow to the Congolese army.www.aljazeera.com
Tuwekee videos basLeo asubuhi Askari wa M23 wamekamata kituo cha mpakani kati ya Goma na Gisenyi nimeona video zao wakipiga magoti na kusali.
Siyo kituo. Uwanja wa ndege, uliokuwa ukilindwa na Walinzi wa raisi. DaadekiLeo asubuhi Askari wa M23 wamekamata kituo cha mpakani kati ya Goma na Gisenyi nimeona video zao wakipiga magoti na kusali.
Hakuna ndege inayoweza kutua hapo itaangushwa na Rebels sasa hao wanaopigana hapo wanasubiriwa tu risasi ziwaishie nasikia baadhi yao wamenyoosha mikono na kupeperusha Bendera nyeupe na wengine haswa wale wanaojiita "Wazalendo" ambao ni FLDR bado wamejichimbia Airport wanajua wakijisalimisha wanakamatwa na kupelekwa Rwanda kushitakiwa.Siyo kituo. Uwanja wa ndege, uliokuwa ukilindwa na Walinzi wa raisi. Daadeki