Ma brother wa miaka 35+ hebu tupeni wadogo zenu, ushauri wowote wa kuhusu maisha

Mtoto akililia wembe mpe,Kua uyaone mwenyewe utajua kuzaa au kutozaa ni kipi deal pale kipara kitatoka kwa ada za EMS na kutoa kitambi cha stress na mkeo kutoa matako makubwa na kujaa mafuta hata dudu yake inakuwaje search now or later
Duh haujaeleweka mkuu, au Umesha piga 2-3 😁😂
 
Miaka 35 unaona mingi kwakuwa mnakula na kulala bure kwa shemeji, siku mkianza kujitegemea mtajua 35 ni namba tu !
Mkuu kwanza get your facts right, mimi sili kwa shemeji au wazazi.

Hustle nime Anza toka nikiwa 18 mzee, nyumba yangu ya kwanza nime ipata kabla ya kufikisha 21.

Nina harakati kadhaa, zinazo saidia uchumi wangu kwenda vyema.
 
Barikiwa Sana mkuu, mawazi mazuri haya.
 
mkuu gari ni mafanikio makubwa Sana kwako?, maana una penda kutolea reference sana 🙄
 

Kamwe, usimpe mwanamke moyo wako wote, usiache cycle ya watu wako baada ya kuoa, Usimwamini mwanamke, ukioa usikimbilie kuzaa; ukiweza usioe!
 
📌📌📌📌Kama unajiweza miliki ndiga/kiberiti chako mapema hata vits au ractis au buti la jeje RUMIO. Huwezi kuja kulialia mapenzi hapa jamvini🤝🤝🤝

📌📌📌Ushauri mwingine ili uishi maisha marefu usipende kutembelea rimu wala kupima oil kizembe.UKIWEZA MILIKI VILE VIDUDE VYA KUPIMIA UKIMWI NA KASWENDE ( DUO RAPID TEST).


NAWASILISHA🤝
 
Kamwe, usimpe mwanamke moyo wako wote, usiache cycle ya watu wako baada ya kuoa, Usimwamini mwanamke, ukioa usikimbilie kuzaa; ukiweza usioe!
KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…